Tindikali Kali
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 544
- 396
Ikizima haisikiki!Ina maana wewe mwenzetu ni kiziwi kiasi kwamba ukipanda pantoni pale feri halafu injini ikazima huwezi kusikia?
Hizi akili zenu ni study case zinahitaji kufanyiwa utafiti.
Ikizima haisikiki!Ina maana wewe mwenzetu ni kiziwi kiasi kwamba ukipanda pantoni pale feri halafu injini ikazima huwezi kusikia?
Hizi akili zenu ni study case zinahitaji kufanyiwa utafiti.
me sipandi ng'oooo ntatumia mabasi tu😂😂😃😎Hii meli ilipark pale bandari ya Mwanza kusini (Mwanza South Port) kwa miaka mingi.
Hivi karibu kwenye utawala wa Magufuli meli hii imekarabatiwa kwa kupakwa rangi na kutengenezwa baadhi ya sehemu, inasemekana hadi Injini ilibadilishwa.
Hivi majuzi kuna jamaa yangu wa karibu alisafiri na hii meli kwenda Bukoba, kwa kweli kwa maelekezo yake hii meli ni Kimeo, ilizimika Mara kadhaa njiani wakati Mvua inanyesha na baadhi ya maeneo kupitisha maji.
Siku kadhaa nyuma meli ilizima tena ikabidi watu wafaulishwe kwenye maboti.
Meli imekaribia bandari ya kemondo ikazima tena.
Sasa muhimu kuchukua tahadhali mapema ili kuepusha majanga.
Serikali isipende sifa kwamba imetengeneza meli kumbe meli yenyewe mtego tu wa kuua watu.
Source: abiria wa kwenda BkView attachment 1633137
😀😁😅😄😃😁😂😅me sipandi ng'oooo ntatumia mabasi tu😂😂😃😎
Si kuna mabasi!Nilikuwa nataka kwenda Mwanza xmass from bk itabidi nisiende kwanza
Turky kafa lini??Usafiri wa majini wa uhakika unatolewa na Azzam tu na yule mbunge mstaarabu aliyegharamia ndege iliyompeleka Lisu Nairobi marehemu Turky Mungu ampumzishe Firdaus pepo ya juu kabisa.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Sasa kama hii habari tuambie unataka aweke ushahidi gani..Mimi sio mwana CCM kabisa but huwa napenda mtu anapoleta post kama hii angalau kuwe na ushahidi..
Coz habari bila ushahidi zinafanya tunaochangia tuonekane hatuna akili pls wekeni habari na ushahidi ili JF iendelee kuwa bora..
Kama Madai yako haya ni ya Kweli basi naziomba Mamlaka husika usimamishe Huduma yake Kwanza kwani hatutaki ya 21/5/1996 yajirudie nchini.Hii meli ilipark pale bandari ya Mwanza kusini (Mwanza South Port) kwa miaka mingi.
Hivi karibu kwenye utawala wa Magufuli meli hii imekarabatiwa kwa kupakwa rangi na kutengenezwa baadhi ya sehemu, inasemekana hadi Injini ilibadilishwa.
Hivi majuzi kuna jamaa yangu wa karibu alisafiri na hii meli kwenda Bukoba, kwa kweli kwa maelekezo yake hii meli ni Kimeo, ilizimika Mara kadhaa njiani wakati Mvua inanyesha na baadhi ya maeneo kupitisha maji.
Siku kadhaa nyuma meli ilizima tena ikabidi watu wafaulishwe kwenye maboti.
Meli imekaribia bandari ya kemondo ikazima tena.
Sasa muhimu kuchukua tahadhali mapema ili kuepusha majanga.
Serikali isipende sifa kwamba imetengeneza meli kumbe meli yenyewe mtego tu wa kuua watu.
Source: abiria wa kwenda BkView attachment 1633137
Kwa mantiki hii usilete hoja mfu kwenye mambo ya kitalaamu,eti miradi ya awamu hii ni substandard! Kama ni hivyo tungeshuhudia Kila majengo na barabara yanabomoka.
Ikizima haisikiki!
Na wewe unaweza kuisikia injini ikiwa imezima?Font nyekundu uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara.
Na wewe unaweza kuisikia injini ikiwa imezima?
Aliyeleta hii habari amesema ameitoa kwa abiria, Mamlaka zinazotakiwa zikachunguze meli na kuhakikisha ni salama, hata akileta ushahidi haitasaidia. maisha ya watu yana samani kubwa sana.Mimi sio mwana CCM kabisa but huwa napenda mtu anapoleta post kama hii angalau kuwe na ushahidi..
Coz habari bila ushahidi zinafanya tunaochangia tuonekane hatuna akili pls wekeni habari na ushahidi ili JF iendelee kuwa bora..
Nilikuwa nataka kwenda Mwanza xmass from bk itabidi nisiende kwanza
Ni maandishi we kichwa maji!Nasema hivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilikuwa na JackWatairekebisha tu msijali ni matatizo ya kiufundi tu hayo kwani titanic ilikua na tatizo gani mpaka ikaua watu
Naunga mkono hojaHuu uvumi ulianzia facebook, aliyeuweka akaukana na kusema account yake ya facebook ilidukuliwa, alichosahau pia kwenye account yake zipo picha na jumbe mbali mbali za ki- kamanda wa chama kile cha rais wa Ubelgiji....nadhani jamaa atakuwa anasaidia TCRA, ujinga huo naona umeletwa hapa na Mods wapo kimya tu! Tunampa shida Melo kulinda ujinga wetu huu!
me ntapanda lilee la yule Tajili wa KIJIJISi kuna mabasi!