Je, Meli ya Mv Victoria ni mbovu?

Je, Meli ya Mv Victoria ni mbovu?

Kuna post humu ndani nilimwambia mmwaga sifa mmoja wa serikali hii kuwa miradi mingi ni substandard, mfano barabara, majengo nk, alikuja sana, nikamwambia mingi haitafukisha miaka mitano itaanza kuharibika, kwani serikali ya sasa inachojali ni wingi na sio ubora. Kama kuna hilo la meli huo ni muendelezo wa mtazamo wangu.
Wewe tindo una utalaamu gani wa quality control kiasi cha kujua kuwa hii barabara,jengo ni substandard? Wewe unadhani ubora wa barabara unapimwa kwa macho? Kwa hiyo unataka kusema mataluma yanayotumika kwenye Sgr ni substandard? Na ulipima kwa kutumia nini?

Acha wivu wa kishamba, maendeleo yanayofanyika ni kwa manufaa ya umma.
 
Huko Moshi treni vipi bwashee?

Imewapunguzia gharama za usafiri!!!
Nilitaka kusafiri na hiyo treni ili nijionee maboresho, nikaenda booking office ila nilivyoambiwa hakuna first class na hiyo second class sleep chumba kimoja watu sita nikaona ni upuuzi mtupu, nikaenda kupanda zangu BM coach VIP class burudani kabisa.

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Hilo mimi huwa nawaambia watu mara kwa mara, hii meli hadi iue watu ndo waamini kwamba ilishachoka
 
Wewe tindo una utalaamu gani wa quality control kiasi cha kujua kuwa hii barabara,jengo ni substandard? Wewe unadhani ubora wa barabara unapimwa kwa macho? Kwa hiyo unataka kusema mataluma yanayotumika kwenye Sgr ni substandard? Na ulipima kwa kutumia nini?

Acha wivu wa kishamba, maendeleo yanayofanyika ni kwa manufaa ya umma.

Nimecheka kwa nguvu huu utetezi wako dhaifu, siku za nyuma kulikuwa na gavana mmoja wa bank kuu aliyekuwa anaitwa Beno Ndulu, noti zetu haswa ya shilingi mia tano zilikuwa zinachuja sana, watu wakapiga kelele kuwa ni substandard, akijitokeza na kufoka sana kwamba watu hawana utaalam wa hela. Lakini baada ya muda noti zile zikaboreshwa, na noti ya shilingi mia tano ikazidi kuondolewa kwenye mzunguko na kuingia ya sarafu!

Hapo kwenye blocks za Magufuli mlimani kulikuwa na ufa kwenye majengo, picha zikasambaa mitandaoni, serekali wakaja juu sana na maelezo ya kutetea udhaifu ule wa ujenzi, lakini baada ya muda mfupi sana majengo yale yalirekebishwa! Hivyo sihitaji kuwa mtaalamu wa barabara ninapoona mashimo, tena kwenye barabara isiyo kuwa hata na miaka miwili kujua kuwa ni substandard.

Ila kwakuwa ww umeshikiwa akili, kalia kimya udhaifu ili kuendekeza uzalendo uchwara, acha sisi tupige mawe ya ukweli ili kupata ubora.
 
Huko Moshi treni vipi bwashee?

Imewapunguzia gharama za usafiri!!!
Ratiba ya Treni ya kutoka Moshi kuja Dar ni ngumu sana, kwanza ni siku tatu za wiki, pili huchukua wastani wa masaa yasiyopungua 16.
Nauli ni rahisi kwa daraja la walalahoi (Elfu 16), huduma za kawaida.

Kwa wakazi wa Mikoa ya Kaskazini treni sio chaguo lao la kwanza la usafiri. Wengi wenye kipato cha chini na kati hupendelea mabasi (Available, Everyday, Luxury, Nauli elfu 25 wastani, masaa 8 Moshi-Dar)na wale wenye kipato cha juu hupendelea ndege na usafiri binafsi.

Treni ni chaguo la mwisho au mbadala kwao hususani kwa wanaotaka kusafiri usiku au kipindi cha mwisho wa mwaka.
 
Unatukana ili iweje .. binafsi nilikuwa kwenye io meli siku io
Katukane ndugu zako sio kila kitu ulete dharau bana kama unaona huwezi kuandika bila kutukana watu pita katukane boda boda wa mtaani kwako
Ulisafiri lini kwenda Mz Kutokea Kwa mtogole mkuu!!
 
Hilo ziwa lina mawimbi makubwa yanayoweza kuyumbisha meli na hata ikazima, dawa ni kununua meli mpya kubwa.
 
Fedha zilizotolewa kwa ajili ya ukarabati ni nyingi Sana
Ukarabati ilifanyika
Kampuni iliyohusika inajulikana na inazo sifa

Ni vigumu kuamini Kuwa Kampuni husika iliamua kulipua kazi ili ikose kazi nyingine!

Labda kuna tatizo jingine!
 
Hili sina uhakika nalo, ila kuwa miundombinu mingi ni substandard ili kusaka political millage, hilo halina mjadala. Inawezekana mzigo haukifaulishwa bali watu ili kuokoa maisha yao. Lakini kwakuwa vyombo vya habari haviko huru, huwezi kusikia hili kwenye vyombo rasmi vya habari zaidi ya huku mitandaoni. Hivyo wangalau tunaona 50% kuna ukweli, na 50% tunasubiri udhibitisho.
Vyombo vy ahabari viaripoti amabacho wanachouhakia nacho (hasa chanzo cha taarifa). Si rahisi kutoa habari bila kudhibitishwa na japo vyanzo viwili. Kwa mfano, suala la meli kuzima, ataulizwa Nahodha au mtu mwingine ambaye ni mhusika, alafu abiria nao wataeleza kilichotokea, hapo chombo cha habari kinaweza kuandika au kutangaza taarifa kama hiyo. La sivyo itaonekana mwndishi hakufuata weledi wa taaluma yake
 
Watairekebisha tu msijali ni matatizo ya kiufundi tu hayo kwani titanic ilikua na tatizo gani mpaka ikaua watu
Titanic ilikuwa na tatizo ndiyo maana iliua watu. Tatizo lisingekuwepo isingeua, right?
Tunasema, an accident is a chain of events linked together...
Mfano: ukishaona gari linazimika zimika, breki inaleta mushkeli na msululu wa matatizo mengine lukuki, tambua kuwa hizo ni surface causes ambazo zikirundikana hutengeneza ajali zikishirikiana na root cause na direct cause.
 
Nimecheka kwa nguvu huu utetezi wako dhaifu, siku za nyuma kulikuwa na gavana mmoja wa bank kuu aliyekuwa anaitwa Beno Ndulu, noti zetu haswa ya shilingi mia tano zilikuwa zinachuja sana, watu wakapiga kelele kuwa ni substandard, akijitokeza na kufoka sana kwamba watu hawana utaalam wa hela. Lakini baada ya muda noti zile zikaboreshwa, na noti ya shilingi mia tano ikazidi kuondolewa kwenye mzunguko na kuingia ya sarafu!

Hapo kwenye blocks za Magufuli mlimani kulikuwa na ufa kwenye majengo, picha zikasambaa mitandaoni, serekali wakaja juu sana na maelezo ya kutetea udhaifu ule wa ujenzi, lakini baada ya muda mfupi sana majengo yale yalirekebishwa! Hivyo sihitaji kuwa mtaalamu wa barabara ninapoona mashimo, tena kwenye barabara isiyo kuwa hata na miaka miwili kujua kuwa ni substandard.

Ila kwakuwa ww umeshikiwa akili, kalia kimya udhaifu ili kuendekeza uzalendo uchwara, acha sisi tupige mawe ya ukweli ili kupata ubora.
HIVI pale jangwani panahitaji mtaalamu wa QC ili aone?
 
Hiyo source yako tuu imenichosha aisee, hao abiria walikuwa wanaenda engine room,wanaikagua meli hadi uvunguni?

Sawa bwana ili mradi tuu tuonekane kila serikali inachokifanya hakifai.
 
Siyo kazi ndogo wanayoifanya kina Zitto na Lissu!!

Mwishowe mmeshika somo sasa!

Yaani mnaamua kuwa waongo mchana kweupe kuwashinda hata walimu wenu siyo?

Yaani mzigo unaobebwa na Meli ufaulishwe kwenye boti??

Pumbavu
Hawa watu wanahitaji brain surgery kwakweli, watu ambao hawana jema aiseeee.
 
Nimecheka kwa nguvu huu utetezi wako dhaifu, siku za nyuma kulikuwa na gavana mmoja wa bank kuu aliyekuwa anaitwa Beno Ndulu, noti zetu haswa ya shilingi mia tano zilikuwa zinachuja sana, watu wakapiga kelele kuwa ni substandard, akijitokeza na kufoka sana kwamba watu hawana utaalam wa hela. Lakini baada ya muda noti zile zikaboreshwa, na noti ya shilingi mia tano ikazidi kuondolewa kwenye mzunguko na kuingia ya sarafu!

Hapo kwenye blocks za Magufuli mlimani kulikuwa na ufa kwenye majengo, picha zikasambaa mitandaoni, serekali wakaja juu sana na maelezo ya kutetea udhaifu ule wa ujenzi, lakini baada ya muda mfupi sana majengo yale yalirekebishwa! Hivyo sihitaji kuwa mtaalamu wa barabara ninapoona mashimo, tena kwenye barabara isiyo kuwa hata na miaka miwili kujua kuwa ni substandard.

Ila kwakuwa ww umeshikiwa akili, kalia kimya udhaifu ili kuendekeza uzalendo uchwara, acha sisi tupige mawe ya ukweli ili kupata ubora.
Huu sio utetezi dhaifu, kujua ubora wa barabara au jengo hakuwezi kufanyika kwa macho! Ndio maana kunakuwa na watalaamu na mkandarasi mshauri. Na kunakuwa maabara maalumu za kupima ubora wa zege hata cement inayotumika.

Kujua kuwa hii noti ni laini haina ubora kuna hitaji shule? Ukiishika tu utaitambua.

Jengo kupata ufa ndio substandard? Ufa unaweza sababishwa na madhara ya mabadiliko ya ardhi. Acha ushabiki wa kishamba kupinga maendeleo kwa kueneza uongo usio na mashiko.
 
Watu wameshapiga cha juu. Hapo mkizidi kuhoji watapewa jeshi kama kivuko cha Bagamoyo ili msiendelee kuhoji
 
Hiyo meli niliipanda Bukoba-Mwanza 2013, dalili nilizoziona niliapa hata kama mbeleni itaboreshwa iweze hata kupaa kama bombardier sitokaa nisafiri na meli hiyo.

Pia usafiri wa majini kwa ujumla ni risk sana, hata ukerewe huwa napanda MV Nyehunge kwa tabu sana.
 
Huu sio utetezi dhaifu, kujua ubora wa barabara au jengo hakuwezi kufanyika kwa macho! Ndio maana kunakuwa na watalaamu na mkandarasi mshauri. Na kunakuwa maabara maalumu za kupima ubora wa zege hata cement inayotumika.

Kujua kuwa hii noti ni laini haina ubora kuna hitaji shule? Ukiishika tu utaitambua.

Jengo kupata ufa ndio substandard? Ufa unaweza sababishwa na madhara ya mabadiliko ya ardhi. Acha ushabiki wa kishamba kupinga maendeleo kwa kueneza uongo usio na mashiko.
Uza ubongo huo, mabadiliko ya ardhi yako kwenye jengo moja tu, huku majengo mengine yakiwa mazima?
 
Back
Top Bottom