Je, Meli ya Mv Victoria ni mbovu?

Je, Meli ya Mv Victoria ni mbovu?

Kwa vijana wa chadema? Waongo hao ndo unaamini habari zao? Hujui kuwa sera ya chama chao ni kuponda kila kitu? We ona tu wanavyoponda hata zahanati na health center zinazojengwa!
Huu uvumi ulianzia facebook, aliyeuweka akaukana na kusema account yake ya facebook ilidukuliwa, alichosahau pia kwenye account yake zipo picha na jumbe mbali mbali za ki- kamanda wa chama kile cha rais wa Ubelgiji....nadhani jamaa atakuwa anasaidia TCRA, ujinga huo naona umeletwa hapa na Mods wapo kimya tu! Tunampa shida Melo kulinda ujinga wetu huu!
Kwa mantiki hii usilete hoja mfu kwenye mambo ya kitalaamu,eti miradi ya awamu hii ni substandard! Kama ni hivyo tungeshuhudia Kila majengo na barabara yanabomoka.
Asante wakuu, kweli miongoni mwa jamii ya kitanzania kuna viumbe wa kushangaza. Walianza kwa kudhamiria kuwa, nchi haitawaliki.

Wakaja na kuhesabu siku 100 za mwanzo.

Ikafuata na kusema, tutashitakiwa na nchi kufilisika kwa kulipa fidia (wakifurahia ndege zetu kukamatwa).

Kama haitoshi, wakasema hakuna kilichofanyika.

Wakaona hainogi, wakasema ni maendeleo ya vitu na sio watu. Kilio kwa jamii ya kimataifa (mabeberu) wanaona kinapuuzwa, wakashangilia vituko vya magaidi (Msumbiji) na wanaodhuru wananchi - Mtwara.

Kwa taarifa yenu, wananchi wanawaangalia tu. Mambo yote yamefanyika kwenye sanduku la kura.

Hii ya SUBSTANDARD ni toleo jipya. Nadhani yajayo yanafurahisha
 
Back
Top Bottom