amakyasya JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 3,480 Reaction score 918 Dec 12, 2014 #1 Hivi Mcharo wa airtel mkopo anaweza kuwa mtamu zaidi ya hii kitu japo sijui mcharo ni samaki au senene?
Hivi Mcharo wa airtel mkopo anaweza kuwa mtamu zaidi ya hii kitu japo sijui mcharo ni samaki au senene?
kyalankota JF-Expert Member Joined Jul 27, 2014 Posts 2,594 Reaction score 1,463 Dec 12, 2014 #2 Kitimoto ndo habari ya mujini papaa!
CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,183 Dec 12, 2014 #3 cc. FaizaFoxy Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
amakyasya JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 3,480 Reaction score 918 Dec 12, 2014 Thread starter #4 allan clement said: cc. FaizaFoxy Click to expand... Mate yatamtoka, full maudenda kwa kutamani utamu wa hiyo kitu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
allan clement said: cc. FaizaFoxy Click to expand... Mate yatamtoka, full maudenda kwa kutamani utamu wa hiyo kitu.
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,337 Reaction score 2,907 Dec 12, 2014 #5 allan clement said: cc. FaizaFoxy Click to expand... Huu uchokozi sasa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
amakyasya JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 3,480 Reaction score 918 Dec 12, 2014 Thread starter #6 Kyenju said: Huu uchokozi sasa. Click to expand... Uchokozi kivipi mkuu?
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,395 Reaction score 99,253 Dec 12, 2014 #7 Ebwana eheee Mcharo kawa mtamu kwa mkopo wa jero wa airtel.
amakyasya JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 3,480 Reaction score 918 Dec 12, 2014 Thread starter #8 King Kong III said: Ebwana eheee Mcharo kawa mtamu kwa mkopo wa jero wa airtel. Click to expand... Teh teh teh!
King Kong III said: Ebwana eheee Mcharo kawa mtamu kwa mkopo wa jero wa airtel. Click to expand... Teh teh teh!
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,519 Reaction score 40,363 Jan 26, 2015 #9 daah umesema kitimoto nkapata hamu ya kwenda kukila
Polisi jamii JF-Expert Member Joined Mar 22, 2013 Posts 2,603 Reaction score 1,385 Jan 26, 2015 #10 Ha Ha Ha Mambo Ya Mbeya Hayo
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 26, 2015 #11 hiyo kitu kwa macho yatisha
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Jan 26, 2015 #12 Polisi jamii said: Ha Ha Ha Mambo Ya Mbeya Hayo Click to expand... Mbeya inaweka na mbogamboga
kunguni wa ulaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 4,131 Reaction score 6,143 Jan 26, 2015 #13 amakyasya said: Uchokozi kivipi mkuu? Click to expand... Kama unakula nguruwe ni wewe. Kwa wengine ni najisi kama bible inavyotueleza
amakyasya said: Uchokozi kivipi mkuu? Click to expand... Kama unakula nguruwe ni wewe. Kwa wengine ni najisi kama bible inavyotueleza
kunguni wa ulaya JF-Expert Member Joined Mar 16, 2014 Posts 4,131 Reaction score 6,143 Jan 26, 2015 #14 joshua_ok said: daah umesema kitimoto nkapata hamu ya kwenda kukila Click to expand... Anaitwa nguruwe huyooo
joshua_ok said: daah umesema kitimoto nkapata hamu ya kwenda kukila Click to expand... Anaitwa nguruwe huyooo
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Jan 26, 2015 #15 Karibu sana FF
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Jan 26, 2015 #16 Bado unadaiwa Tsh 632.98 katika mkopo wako wa TIMIZA. Rejesha kiasi hicho haraka kuepuka taarifa zako binafsi kupelekwa kwenye taasisi za kisheria
Bado unadaiwa Tsh 632.98 katika mkopo wako wa TIMIZA. Rejesha kiasi hicho haraka kuepuka taarifa zako binafsi kupelekwa kwenye taasisi za kisheria
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,636 Reaction score 2,734 Mar 26, 2015 #17 Aaaaaaaaaah! Hii sasa sifaaaaaa!
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,856 Mar 26, 2015 #18 aise masawe ni vipi chali yangu,eti yule mangi wa kibosho amekutumia ile kiti moto a.k.a KITU KITAAAAAMU maana nilimuagiza akuletee aise meku
aise masawe ni vipi chali yangu,eti yule mangi wa kibosho amekutumia ile kiti moto a.k.a KITU KITAAAAAMU maana nilimuagiza akuletee aise meku
kashesho JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 4,972 Reaction score 2,494 Mar 26, 2015 #19 Gwangambo said: Karibu sana FFView attachment 221617View attachment 221618 Click to expand... ha ha mmh! asante nimeshiba:A S confused:
Gwangambo said: Karibu sana FFView attachment 221617View attachment 221618 Click to expand... ha ha mmh! asante nimeshiba:A S confused:
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Mar 26, 2015 #20 aaaaaaaaaaaaaghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh