Je, MCHARO kawa mtamu zaidi ya hii kitu? Sidhani!


ila ukweli ulaji wa kiti moto wataka moto sana
imagine ana tegu ambao hawafi kirahisi, iyo sio ishu ishu ni ule uchafu wa nguruwe mwenyewe. af ulaji wake ndo ule wa kachumbari ambayo lol!! ata vinegar haina af ni zile za kitaa ambazo maji yalooshea na mikono ilokata mwachie mwuandaaji. bado ayo malimao na pilipili shamba zilizookotwa pale mabibo mahakama ya ndizi ama buguruni na hii mvua khaaa!!!!!

ila bwana utakuta watu tunakula tu bila kujali kuhara kaharie kwenu, wallah!!
 
Back
Top Bottom