Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Hapo inategemea maana unamkuta mrembo guu la bia hapo kiunoni bastola za kutosha, nyuma ndio lawama alafu unakuta mpasuo wa kimini umepita mbele mpaka kwenye paja akitembea paja na tyt iponje usiombe ukutane na hiki kiumbe lazima uvutiwe naye.