Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

Je, Marekani ni adui wa ubinadamu?

Kwahiyo hukubaliani na nilicho kiandika?
Unapoanza kwa kutuambia tusome Bible kama kitabu cha authority, wengine kablabya kwenda mbali tutakwambia hatukikubali hicho kitabu chako kwamba ni cha ukweli mtupu. Kwa hiyo hayo mengine uliyofikiri hayapingiki kwa sababu umeanza na authority ya Bible, wengine hatuikubali hiyo authority.

Tuanze kuijadili hiyo authority kama inafaa au haifai.

Au uiondoe kama authority.
 
Mkuu kwa hoja ulizoziweka zina ukweli lakini zote ni negative kwani hao marekani hawana positive?

Nauliza tu
Positive things wanayo shida ni mabaya wwnayofanya kwa wanadamu duniani yamezidi sana mpaka kutishia kuondoa uwepo wa binadamu duniani na kumweka binadam bandia ajenda ya kupunguza idadi ya watu duniani wew unaionaje kwa kuwaharibu wanawake uzazi na madawa ya uzazi wa mipangon
 
Yaani kuna watu sijui akili zao zikoje! Eti bila mmarekani kusingekuwa na internet!!! Kwanini watu wametawaliwa na ujinga? Kwamba hakuna watu kutoka mataifa mengine wangevumbua au? Kama ingekuwa si mmarekani tusingekuwa na magari njiani pia au? Dunia ina watu tofauti tofauti, tungekuwa tunavyo vyote saiv. Maisha ndio yanakufanya to evolve with the current wnvironment!
 
I have left the obvious, essential fact to this point, namely, that it is the Russian Armies who have done the main work in tearing the guts out of the German army. In the air and on the oceans we could maintain our place, but there was no force in the world which could have been called into being, except after several more years, that would have been able to maul and break the German army unless it had been subjected to the terrible slaughter and manhandling that has fallen to it through the strength of the Russian Soviet Armies.

--------------Sir.Winston Churchill, Speech in the House of Commons, 2 August 1944, “War Situation”

I have always believed and I still believe that it is the Red Army that has torn the guts out of the filthy Nazis.
--------------Sir.Winston Churchill, Speech in the House of Commons, October 1944
It was true mkuu ukipata muda tafuta unspoken stories about adolph hitler hitler aliitwa the man next to God kwa jinsi alivyoibadilisha german na upendo wake kwa wajerumani
 
Mtu yeyote anayeongelea habari za Thomas Malthus na nadharia yake ya idadi ya watunamchukulia kama mtu aliyefungua fungua vitabu angalau kidogo.

Kwa hiyo nitakuchukukia hivyo.

Sasa, kwa nini tuhusishe habari hizi na "Marekani" wakati Marekani katika ngazi zote kuna watu wanaunga mkono habari hizi na wengine wanazipinga?

Ukiangalia kuanzia serikali mpaka popular culture, academia mpaka watu wa kawaida mtaani tu, Marekani ina watubwa kila aina. Kuanzia kina Theodore Kaczinski waliopiga bomubjengo la serikali yao wenyewe Oklahima mpaka wale wamisiinari wa kutoka Iowa walioshiriki kuokoa majeruhi katika ajali ya majuzi Arusha.

Kuanzia Barack Obama anayeunga mkono haki za mashoga na kusitiri mazingira mpaka Donald Trump anayepinga haki za mashoga na kusitiri mazingira.

Hapo ninekuonyesha complexity ya Marekani kutoka watu raia wa kawaida mpaka mtu anayechaguliwa na watu wengi sana kuwa rais.

Sasa kwa nini tuipake nchi nzima rangi moja wakati nchi ina watu tofauti sana?
Unajua siku zote mtu akiwa katili hawezi kuonesha ukatili wake mda wote, kwa kuwa ni mipango ya siri inawezekana tuone anatupenda huku anatumaliza. Kuunga mkono haki za mashoga (Obama) ni kuunga mkono tukozaliana. Pia Marekani anatupa msaada huku anatuibia rasilimali zetu nyingi tu. Wasomi mzidi kuchimbua kuna vingi viko chini ya kapeti. By the way nipingane na wewe mio sio msomi ni kapuku tu wa mtaa.
 
I have left the obvious, essential fact to this point, namely, that it is the Russian Armies who have done the main work in tearing the guts out of the German army. In the air and on the oceans we could maintain our place, but there was no force in the world which could have been called into being, except after several more years, that would have been able to maul and break the German army unless it had been subjected to the terrible slaughter and manhandling that has fallen to it through the strength of the Russian Soviet Armies.

--------------Sir.Winston Churchill, Speech in the House of Commons, 2 August 1944, “War Situation”

I have always believed and I still believe that it is the Red Army that has torn the guts out of the filthy Nazis.
--------------Sir.Winston Churchill, Speech in the House of Commons, October 1944

Thank you for injecting Churchill.

It is important to note that there is an account before the paragraphs you gave us.

Without this account, context is lost.

Churchill was courting Stalin very carefully and diplomatically. Especially since at the Yelta conference he was dealing with two heads of states -Stalin and Roosevelt, without being one himself. To say nothing of the ideological divide that would lead to the "Iron Curtain" speech later.

The contribution of the Soviet Union cannot be understated. That is indisputable.

It is also true that the Russian winter and Hitlers false invincibility, heavily induced by drugs, did more to undo the Germans prospects of victory than the Red Army ever did.

On the other hand, one has only to read the history of how King George VI went to Hyde Park, N.Y to court Theodore Roosevelt to join the war and assist Britain materially and morally.

I am sure my volumes if Churchill have many reference to the aid the US gave just as much. I am just not in a positiin to give quotes now.

The Americans were the last straw that broke the camels back.

Retrospective history reads much like science fiction than anything factual.

Having said that, it is without much doubt, without the support of the US, the pendulum if power could have swung in the way of a German victory.
 
In his book "The Arab Mind" Raphael Patai labels the typical Arab mind in a lot of ways, sometimes way too liberal.

One of these stereotypes is that the Arab mind is prone to hyperbolic exaggerations.

It seems like somehow this trait is also present within some of us.

Where there is abject lack of education, nuance is usually the first casualty and hyperbolic oversimplification reigns supreme.

This is what I am seeing here.

The US is not monolithic. Any attempt to make it so is rooted in ignorance.
Mkuu ukipata nafasi go read about ALBEIT PIKE, who is that person and what he did in his life time. But also don't forget that HENRQUE KASINJA in some moment of his life he said "out of the ashes we shall build a new society, a new world order".
 
Kwa nini unafikiri sijamsoma Pike?

Whatvyou wrote does not dispute the fact that the US is not monolithic.

Hata Nyerere alitaka kujenga new world order kwenye South-South Commission.

Whats your point?

Unaacha kujibu maswali muhimu niliyouliza halafu unajibu yasiyo muhimu ambayo sijauliza.
 
Marekani ni nini?

Hili swali halijajibiwa.

Kabla ya kujibiwa swali hili, mjadala huu hauna maana.
 
Hapa mimi na wewe tupo pande mbili tofauti, wewe unapinga uadui wa marekani mi naunga mkono. Kwa hiyo kama muungaji mkono nimetoa hoja zangu kuongeza ushaidi wa tunachokisamamia mimi na mtoa mada. Sasa ukisema hutaki hayo inamaana hutaki ukweli. Wewe umeeleza vizuri misaada tunayopata kutoka Marekani nasi tumekubali, ila nasi tunakuonesha ubaya wa Marekani.
Mkuu labda umefananisha,mie katika huu Uzi sijaeleza ubaya wala mazuri ya marekani.

Nilichokwambia ni kwamba kuna watu humu hawataki yaelezwe mabaya ya marekani.
 
Churchill was courting Stalin very carefully and diplomatically.

The contribution of the Soviet Union cannot be understated. That is indisputable.

It is also true that the Russian winter and Hitlers false invincibility, heavily induced by drugs, did more to undo the Germans prospects of victory than the Red Army ever did.

On the other hand, one has only to read the history of how King George VI went to Hyde Park, N.Y to court Theodore Roosevelt to join the war and assist Britain materially and morally.

I am sure my volumes if Churchill have many reference to the aid the US gave just as much. I am just not in a positiin to give quotes now.

The Americans were the last straw that broke the camels back.

Retrospective history reads much like science fiction than anything factual.

Having said that, it is without much doubt, without the support of the US, the pendulum if power could have swung in the way of a German victory.

This is your opinion and i respect it.
But lets come to an agreement that it was never America that broke the Nazi's.
The Grand Alliance did the job, as the matter of fact Prominent Scholars like Professor Stephen Cohen puts it this way:
80% of NAZI Military Hardware was used in The Great Patriotic War.

There are things which are not clearly in your posts:
America broke the last straw of the Camel's back.
Historical facts tell us that Marshall Zhukov captured Berlin in 2nd May 1945.
And 7th May the NAZIS signed an Unconditional Surrender in Reims, France.

Again! You said The Americans dropped The A-Bomb to save Africans from being enslaved by The NAZIS.
Well, your facts seem not correlate : Germany Surrendered in May the 7th while the Japanese August 15, Almost three months later, After the last phase of the Last Pacific War. How could they have posed a threat (The NAZIS) to Africans when they surrendered early than the Japanese?

Maybe, if you tell me the Japanese were planning to have colonies in the Americas and Africa.
 
Mkuu labda umefananisha,mie katika huu Uzi sijaeleza ubaya wala mazuri ya marekani.

Nilichokwambia ni kwamba kuna watu humu hawataki yaelezwe mabaya ya marekani.
sorry nili kukoti vibaya
 
Marekani ni nini?

Hili swali halijajibiwa.

Kabla ya kujibiwa swali hili, mjadala huu hauna maana.
Unapenda ubishi sana,unauliza sasa marekani ni nini wakati ulianza kucomment kabla hata kuuliza marekani ni nini. Halafu et hilo swali halijajibiwa na hivyo mjadala hauna maana wakati umeshatoa maoni kwenye huo huo mjadala bila hata kujulikana marekani ni nini?

Yani idea hiyo ya ubishi uliyokujanayo sasa haina maana kwa sababu ulishatoa maoni yako kwenye huu mjadala,unapenda ubishi ila kibaya huwezi kusimamia unachokitetea nakufananisha na Kiranga maana yupo kama wewe.

Halafu ni nani ambaye anapaswa kujibu hilo swali kwanini wewe usilijibu?
 
Kwa nini unafikiri sijamsoma Pike?

Whatvyou wrote does not dispute the fact that the US is not monolithic.

Hata Nyerere alitaka kujenga new world order kwenye South-South Commission.

Whats your point?

Unaacha kujibu maswali muhimu niliyouliza halafu unajibu yasiyo muhimu ambayo sijauliza.
Back to the topic, Umesema umemsoma Albeit pike na Henrque kasinja unamjua vzuri, that's fine je hawa katka kuwasoma na kuwaelewa mawazo yao, je unafikiri hawa watu wana dhamira nzuri na binadamu. Oky nani anajua kwamba OBAMA akihutubia UN kwenye mkutano wake wa mwisho akiwa rais wa USA alisikika akisema "PROBABLY AM GOING TO BE THE LAST PRESIDENT OF THE UNITED STATE OF AMERICA" je ulishawahi sikia na unajua alikuwa anamaanisha nn? je wajua kama HILARY angekuwa rais, USA ingetawaliwa kwa MARTIAL LAW? oky wajua licha ya TRUMP kuwa na mtizamo positive kuhusu PUTIN pamoja na RUSSIA lakn je wajua hizi ni hadaa za TRUMP na kikundi cha waliomtuma ili kutekeleza agenda zao? njoo na majibu, i don't want pieces come with full and concrete ideas/evidence.
 
This is your opinion and i respect it.
But lets come to an agreement that it was never America that broke the Nazi's.
The Grand Alliance did the job, as the matter of fact Prominent Scholars like Professor Stephen Cohen puts it this way:
80% of NAZI Military Hardware was used in The Great Patriotic War.

There are things which are not clearly in your posts:
America broke the last straw of the Camel's back.
Historical facts tell us that Marshall Zhukov captured Berlin in 2nd May 1945.
And 7th May the NAZIS signed an Unconditional Surrender in Reims, France.

Again! You said The Americans dropped The A-Bomb to save Africans from being enslaved by The NAZIS.
Well, your facts seem not correlate : Germany Surrendered in May the 7th while the Japanese August 15, Almost three months later, After the last phase of the Last Pacific War. How could they have posed a threat (The NAZIS) to Africans when they surrendered early than the Japanese?

Maybe, if you tell me the Japanese were planning to have colonies in the Americas and Africa.
You must guard your history understanding to not be too steeped in battles while forgetting the grand strategy of the war itself.

The last battle could have been very truly won by the Soviets, and still that may not necessarily dispute another fact, that, the Americans changed the game somuch to enable even that last battle to be the last battle at all.

In your timeline about the surrender of Germany and Japan you are also betraying your penchant for simplistic history.

Battles.Formal surrender dates.

While forgetting that there was a race to get the bomb, and had Germany succeeded first, Hitler's plan was to nuke the hell out of his opposition.

Something the Americans did not do, despite having the bomb first.

They went on to bankroll the Marshall Plan. Initially including even the Russians until Stalin objected for political reasosn.

They went on to champion the UN and nuclear treaties.

These very Americans are accussed of hating hunmanity!
 
Marekani ni nini?

Hili swali halijajibiwa.

Kabla ya kujibiwa swali hili, mjadala huu hauna maana.
Marekani ni taifa kama yalivyo mataifa mengine, ila tofauti yake na haya mataifa mengine ni kwamba Marekani ni nchi ambayo raia wake wengi si watu wa asili wa eneo lile, wengi wa wamarekani asili yao ni UINGEREZA, AFRICA AND LATIN AMERICA NA WENGINE NI WAYAHUDI. Asili ya watu wa eneo lile ni RED INDIS. Halfu Marekani ndiyo super power wa hii dunia kwa saiv.
 
Unapoanza kwa kutuambia tusome Bible kama kitabu cha authority, wengine kablabya kwenda mbali tutakwambia hatukikubali hicho kitabu chako kwamba ni cha ukweli mtupu. Kwa hiyo hayo mengine uliyofikiri hayapingiki kwa sababu umeanza na authority ya Bible, wengine hatuikubali hiyo authority.

Tuanze kuijadili hiyo authority kama inafaa au haifai.

Au uiondoe kama authority.
Sijataka kutumia kitabu cha Islam ,kwasababh najua waislam wanajua kuisoma dunia inavyohalibiwa na Hawa watu. Na ndio maana unaona wanajalibu kubaki na misimamo yao. Na Hawa ndio watakatifu wenyewe maana tunaona wanavyo uwawa kila Siku na Hawa mabwana.

Nimetumia bible kwasababu wanaoisoma wanapotoshwa na hawailewi.
Mbaya zaidi hawataki hata kufuatilia habari zinazohusu dunia.ikiangalia TV zao ni kwaya na kutangaza miujiza tu.hats taarifa za habari hawasikilizi.
Maana hats ukiwaambia Yale aliyoyatabiri yesu yametokea hawatajua.
 
You must guard your historical understanding to not be too steeped in battles while forgetting the grand strategy of the war itself.

The last battle could have been very truly won by the Soviets, and still that may not necessarily dispute another fact, that, the Aamericans changed the game somuch to enable even that last battle to be the last battle at all.

In your timeline about the surrender of Germany and Japan you are also betraying your penchant for simplistic history.

Battles.Formal surrender dates.

While forgetting that there was a race to get the bomb, and had Germany succeeded first, Hitler's plan was to nuke the hell out of his opposition.

Something the Americans did not do, despite having the bomb first.

They went on to bankroll the Marshall Plan. Initially including even the Russians until Stalin objected for political reasosn.

They went on to champion the UN and nuclear treaties.

These very Americans are accussed of hating hunmanity!
You don't stick to facts.
You jump here jump there and deceive yourself. The fact that America didn't nuke the Nazis is very immaterial, they war was not in their favour since the day the U.S joined the War and Roosevelt started funding the Soviet War Machine.

And the Grand Strategy for the War was dominated by the Events in the Tehran Conference 1943, Yalta and Postdam in 1945. But you talk as if the whole War Strategy was mapped by the U. S. A.

And talking about the Marshall Plan.
It is not a main event in World War II, not even close to it. Just another Penumbra of the failed Post World War Strategy.

Again you deceive yourself believing a single country can be a Champion of a particular treaty.

Never allow propaganda to shape your understanding of history
 
Sijataka kutumia kitabu cha Islam ,kwasababh najua waislam wanajua kuisoma dunia inavyohalibiwa na Hawa watu. Na ndio maana unaona wanajalibu kubaki na misimamo yao. Na Hawa ndio watakatifu wenyewe maana tunaona wanavyo uwawa kila Siku na Hawa mabwana.

Nimetumia bible kwasababu wanaoisoma wanapotoshwa na hawailewi.
Mbaya zaidi hawataki hata kufuatilia habari zinazohusu dunia.ikiangalia TV zao ni kwaya na kutangaza miujiza tu.hats taarifa za habari hawasikilizi.
Maana hats ukiwaambia Yale aliyoyatabiri yesu yametokea hawatajua.

Nani kaitaja Quran?

Ulimwengu wako umezungukwa na duality ya Bible na Quran tu?

Ushawahi kukisikia "The Principles of Quantum Mechanics" cha Paul Dirac ?

Swali nililotaka unijibu hujanijibu, swali unalonijibu sijakuuliza unijibu.

Kwa nini unafikiri Bible ni kitabu kizuri kinachofaa kutumiwa kama kitabu cha authority ya kimantiki na mtu aliyeelimika katika dunia ya leo?

Hujajibu swali hili.

Umeongelea kuhusu aliyotabiri Yesu.

Kukuonyesha kwamba Bible ni kitabu kisichoweza kukubalika na mtu mwenye akili zake timamu kama authority, unajua kwamba kuna watu walimuuliza Yesu atarudi lini baada ya kudaiwa kwamba amefufuka na iliposemekana kwamba atapaa kwenda mbinguni?

Unajua jibu la Yesu lilikuwaje?

Aliwaambia watu, amini amin nawambia, baadhi yenu hamtaonja mauti kabla sijarudi tena.

Watu wakauza nyumba na mashamba waishi kitawa wakimsubiri Yesu arudi kuwachukua.

Walijua atarudi katika muda wa maisha yao kama alivyosema.

Yesu kasema bwana, atadanganyaje?

Na mpakaleo zaidi ya miaka elfu mbili hajarudi.

Sasa unataka niamini habari za kitabu hiki kama kitabu cha authority?
 
You don't stick to facts.
You jump here jump there and deceive yourself. The fact that America didn't nuke the Nazis is very immaterial, they war was not in their favour since the day the U.S joined the War and Roosevelt started funding the Soviet War Machine.

And the Grand Strategy for the War was dominated by the Events in the Tehran Conference 1943, Yalta and Postdam in 1945. But you talk as if the whole War Strategy was mapped by the U. S. A.

And talking about the Marshall Plan.
It is not a main event in World War II, not even close to it. Just another Penumbra of the failed Post World War Strategy.

Again you deceive yourself believing a single country can be a Champion of a particular treaty.

Never allow propaganda to shape your understanding of history

One thing at a time.

Why is the fact that America did not nuke the Nazis - or even the entire Japan for that matter, since after all, they (Americans) supposedly hate humanity- immaterial?
 
Back
Top Bottom