Je, maneno ya Putin yanafiti Afrika kwetu?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Wakati Raisi wa Urusi W. Putini alivyokutana na Waandishi wa Habari pamoja na mengi aliyoyaongea hasa kuhusu uhusiano wa nchi yake na USA, aliulizwa swali ambalo muulizaji alimnukuu Mwanasiasa wa USA John Mccain aliyesema kwamba Raisi Putini ataishia kama Gadafi yaani atapinduliwa na kuuliwa kama vile mpinga Kristo Obama alivyomfanyia Gadafi!

Raisi Putini pmj na jibu refu alilotoa khs hili mwishoni alisema hivi hivi Mccain ni war veteran wa Vietnamu na alivyokuwa huko Vietnam alikamatwa kama mateka na kuwekwa kwenye shimo kwa muda mrefu mpaka alivyokuja kuokolewa na alivyookelewa, akasafirishwa moja kwa moja kurudi kwao USA sasa Putini anasema Mccain aliacha akili zake kwenye lile shimo!

Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo iliyonivutia sana ya ,,kuacha akili zake kwenye shimo", nikajaribu kuioanisha na Afrika yetu na jinsi tulivyo, Je inawezekana Wazungu waliondoka na akili zetu miaka ya 60' ? Kwa maana hatujielewi!
Hatuwezi kufikiria wenyewe kila tunachokifanya leo hii ni kile kile Wazungu walichotuachia ingawaje wao wenyewe walisha move on na hawafanyi tena kuanzia kuchapa watoto Shuleni mpaka ukipata ajali PF3 kwanza ndiyo utibiwe, ukija kwenye Elimu ndiyo usiseme, lijitabu la Abbot la Fizikia ndiyo hilo hilo tangu Ukoloni!
 
Sio kweli.Waafrika ni watu wenye nafasi kubwa kimaendeleo zama hizi kuliko sehemu yoyote duniani.jambo hilo linasababisha Afrika kuhujumiwa na mataifa makubwa, kwasababu Afrika ndio sehemu yao iliobakia ambayo inawafanya waitwe mataifa makubwa.kwahio hujuma ya elimu,afya,miundombinu,usalama n.k.
 
No one can subdue Russia - Putin

Kuhusu akili za Africans kuna possibility wazungu kuna kitu walitufanyia.

Kwani haiwezekani bara zima la Africa tukawa na akili sawa... akili za ki maandazi.
 
Wakati Raisi wa Urusi W. Putini alivyokutana na Waandishi wa Habari pamoja na mengi aliyoyaongea hasa kuhusu uhusiano wa nchi yake na USA, aliulizwa swali ambalo muulizaji alimnukuu Mwanasiasa wa USA John Mccain aliyesema kwamba Raisi Putini ataishia kama Gadafi yaani atapinduliwa na kuuliwa kama vile mpinga Kristo Obama alivyomfanyia Gadafi!

Raisi Putini pmj na jibu refu alilotoa khs hili mwishoni alisema hivi hivi Mccain ni war veteran wa Vietnamu na alivyokuwa huko Vietnam alikamatwa kama mateka na kuwekwa kwenye shimo kwa muda mrefu mpaka alivyokuja kuokolewa na alivyookelewa, akasafirishwa moja kwa moja kurudi kwao USA sasa Putini anasema Mccain aliacha akili zake kwenye lile shimo!

Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo iliyonivutia sana ya ,,kuacha akili zake kwenye shimo", nikajaribu kuioanisha na Afrika yetu na jinsi tulivyo, Je inawezekana Wazungu waliondoka na akili zetu miaka 60' ? Kwa maana hatujielewi!
Hatuwezi kufikiria wenyewe kila tunachokifanya leo hii ni kile kile Wazungu walichotuachia ingawaje wao wenyewe walisha move on na hawafanyi tena kuanzia kuchapa watoto Shuleni mpaka ukipata ajali PF3 kwanza ndiyo utibiwe, ukija kwenye Elimu ndiyo usiseme, lijitabu la Abbot la Fizikia ndiyo hilo hilo tangu Ukoloni!
Sio waafrika wote ndivyo walivyo haya ni majumuisho yasiyo na mashiko...ila kwa mshangao wangu mkubwa naona umejitambua kwa kujieleza vile ulivyo wewe 'kuacha akili shimoni'
 
KWELI HUYO VETERAN NI MPUUZI WA MWISHO.ANAFIKIRI URUSI INAPINDULIWA KAMA SOMALIA.

Putin amesema ukweli mtupu, hata mimi baada ya kusoma historia ya McCain alivyo tekwa huko VietNam baada ya ndege yake kutunguliwa - nafikiri mateso uliyo pata wakati wanamu interrogate kuli athili akili zake - behaviour zake wakati mwingine ni za ajabu ajabu - akuna anacho waza zaidi ya kupigana vita - anataka Marekani ishambulie Uchina, Korea ya Kaskazini na Urusi - yaani mawazo yake finyu anafikiri Taifa lake lina uwezo wa kushambulia kwa mpigo Mataifa tajwa.

Kuhusu kama wazungu waliondoka na akili za Waafrica kwenye miaka ya '60 jibu ni kwamba ukiangalia kijuu juu unaweza kufikiri hiyo ni kweli, lakini mbona kuna nchi zimefanya vizuri hata baada ya wakoloni kuondoka mfano: Botswana, Misri, Algeria, Libya wakati wa utawala wa Gadaffi, hata Tanzania mwanzo mwanzoni Nyerere alijitahidi sana.
 
Wakati Raisi wa Urusi W. Putini alivyokutana na Waandishi wa Habari pamoja na mengi aliyoyaongea hasa kuhusu uhusiano wa nchi yake na USA, aliulizwa swali ambalo muulizaji alimnukuu Mwanasiasa wa USA John Mccain aliyesema kwamba Raisi Putini ataishia kama Gadafi yaani atapinduliwa na kuuliwa kama vile mpinga Kristo Obama alivyomfanyia Gadafi!

Raisi Putini pmj na jibu refu alilotoa khs hili mwishoni alisema hivi hivi Mccain ni war veteran wa Vietnamu na alivyokuwa huko Vietnam alikamatwa kama mateka na kuwekwa kwenye shimo kwa muda mrefu mpaka alivyokuja kuokolewa na alivyookelewa, akasafirishwa moja kwa moja kurudi kwao USA sasa Putini anasema Mccain aliacha akili zake kwenye lile shimo!

Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo iliyonivutia sana ya ,,kuacha akili zake kwenye shimo", nikajaribu kuioanisha na Afrika yetu na jinsi tulivyo, Je inawezekana Wazungu waliondoka na akili zetu miaka ya 60' ? Kwa maana hatujielewi!
Hatuwezi kufikiria wenyewe kila tunachokifanya leo hii ni kile kile Wazungu walichotuachia ingawaje wao wenyewe walisha move on na hawafanyi tena kuanzia kuchapa watoto Shuleni mpaka ukipata ajali PF3 kwanza ndiyo utibiwe, ukija kwenye Elimu ndiyo usiseme, lijitabu la Abbot la Fizikia ndiyo hilo hilo tangu Ukoloni!
Umeongea point ila ni bora ungewaambia suala hili wanalumumba wenzio
 
Yawezekana kukawa na watu akili zao kweli "waliacha shimoni".Walizaliwa ndio kusema na vichwa kwa ajili ya kufugia nywele tu.
Hakuna lugha nyingine kuelezea aina ya watu wanaoendelea kufikiria hadi leo na hata kesho kuwa bila CCM nchi hii haiwezi kuendelea.Lugha inayofaa ni kusema pengine watu kama hao wamezaliwa tu na vichwa vya nywele.
Hivi utamuelezeaje kiongozi wa Bunge anayedai watu wanaomkosoa kwa utendaji mbovu wa bunge eti wanamuonea wivu(gere)!

Kwa hiyo sio kwamba wakoloni waliondoka na akili zetu.Walituacha nazo ila CCM ndio inafanya "arbortion" kwa mama wajawazito kuondoa akili kupitia lishe mbovu,huduma mbovu za Kliniki,makazi mabovu,miundo mbinu mibovu na kadhalika.Kama hayo yanafanyika unategemea watu wazaliwe na akili? La hasha bila shaka zinabaki "shimoni" yaani tumboni.
 
Labda Watanzania wanaosema kwamba bila ya CCM nchi haiwezi kwenda siyo wajinga hivyo kama unavyodhania, labda wana wasi wasi tu na hawana imani na wale wanaosema wako tofauti na CCM, labda wameshindwa kuwashawishi inawezakana pia, labda wanawaangalia maneno na matendo yao wanakosa imani nao hivyo kupelekea kubakia na CCM hata kama siyo kamilifu lkn labda ni bora kuliko kutoa pungufu na kuingiza pungufu, iko kwenye asili ya Mwanadamu kuwa na wasi wasi na kuhofia usichokifahamu!
 
Sio kweli.Waafrika ni watu wenye nafasi kubwa kimaendeleo zama hizi kuliko sehemu yoyote duniani.jambo hilo linasababisha Afrika kuhujumiwa na mataifa makubwa, kwasababu Afrika ndio sehemu yao iliobakia ambayo inawafanya waitwe mataifa makubwa.kwahio hujuma ya elimu,afya,miundombinu,usalama n.k.
Huoni kuwa wao kuwa na uwezo wa kutuhujumu kunawafanya wao wawe superior na sisi inferior.
Mtu kama ana uwezo wa kukuaaghai na kukuhujumu nawe ukaingia mkenge basi yeye atakuwa na akili kukuzidi
 
Wakati Raisi wa Urusi W. Putini alivyokutana na Waandishi wa Habari pamoja na mengi aliyoyaongea hasa kuhusu uhusiano wa nchi yake na USA, aliulizwa swali ambalo muulizaji alimnukuu Mwanasiasa wa USA John Mccain aliyesema kwamba Raisi Putini ataishia kama Gadafi yaani atapinduliwa na kuuliwa kama vile mpinga Kristo Obama alivyomfanyia Gadafi!

Raisi Putini pmj na jibu refu alilotoa khs hili mwishoni alisema hivi hivi Mccain ni war veteran wa Vietnamu na alivyokuwa huko Vietnam alikamatwa kama mateka na kuwekwa kwenye shimo kwa muda mrefu mpaka alivyokuja kuokolewa na alivyookelewa, akasafirishwa moja kwa moja kurudi kwao USA sasa Putini anasema Mccain aliacha akili zake kwenye lile shimo!

Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo iliyonivutia sana ya ,,kuacha akili zake kwenye shimo", nikajaribu kuioanisha na Afrika yetu na jinsi tulivyo, Je inawezekana Wazungu waliondoka na akili zetu miaka ya 60' ? Kwa maana hatujielewi!
Hatuwezi kufikiria wenyewe kila tunachokifanya leo hii ni kile kile Wazungu walichotuachia ingawaje wao wenyewe walisha move on na hawafanyi tena kuanzia kuchapa watoto Shuleni mpaka ukipata ajali PF3 kwanza ndiyo utibiwe, ukija kwenye Elimu ndiyo usiseme, lijitabu la Abbot la Fizikia ndiyo hilo hilo tangu Ukoloni!
Hakika wewe ni mbwa na una akili Kama za mbwa, mbwa ni mbwa tu, sasa unashangaa nini boya wewe? hizo pf 3 na Elimu duni, kaleta nani Kama siyo hilo li ccm lako, halafu unakuja hapa na uzi, ama kweli a dog is just a dog, he can eat even his vomiting .
 
He can eat even his vomits
na siyo his vomiting!
 
Kweli akili zetu mkoloni kasepA nazo.
Yani kwny hii page hakuna ata mtu nwny ideas tofauti...wote wanaelezea akili kubebwa...taifa la mfalme juha.
 
Yawezekana kukawa na watu akili zao kweli "waliacha shimoni".Walizaliwa ndio kusema na vichwa kwa ajili ya kufugia nywele tu.
Hakuna lugha nyingine kuelezea aina ya watu wanaoendelea kufikiria hadi leo na hata kesho kuwa bila CCM nchi hii haiwezi kuendelea.Lugha inayofaa ni kusema pengine watu kama hao wamezaliwa tu na vichwa vya nywele.
Hivi utamuelezeaje kiongozi wa Bunge anayedai watu wanaomkosoa kwa utendaji mbovu wa bunge eti wanamuonea wivu(gere)!

Kwa hiyo sio kwamba wakoloni waliondoka na akili zetu.Walituacha nazo ila CCM ndio inafanya "arbortion" kwa mama wajawazito kuondoa akili kupitia lishe mbovu,huduma mbovu za Kliniki,makazi mabovu,miundo mbinu mibovu na kadhalika.Kama hayo yanafanyika unategemea watu wazaliwe na akili? La hasha bila shaka zinabaki "shimoni" yaani tumboni.
Umeeleza vizuri sana; sema umezunguka sana. Kifupi ni kwamba"ushabiki na uanachama kwa chama chakavu ni kielelzo tosha cha uzao wa makalioni". TOSHA
 
Huoni kuwa wao kuwa na uwezo wa kutuhujumu kunawafanya wao wawe superior na sisi inferior.
Mtu kama ana uwezo wa kukuaaghai na kukuhujumu nawe ukaingia mkenge basi yeye atakuwa na akili kukuzidi

We unashindwa kujua,kati ya mtu anaebomoa na anaejenga nani anaakili?? .

Swali la kizushikati ya anaeiba na anaeibiwa nani mjinga??
 
Kweli akili tumeacha shimon km bado mpk leo hiki chama kinaendelea kupewa dhamana ya kuongoza taifa letu
 
Back
Top Bottom