Je, maneno ya Putin yanafiti Afrika kwetu?

Hakika wewe ni mbwa na una akili Kama za mbwa, mbwa ni mbwa tu, sasa unashangaa nini boya wewe? hizo pf 3 na Elimu duni, kaleta nani Kama siyo hilo li ccm lako, halafu unakuja hapa na uzi, ama kweli a dog is just a dog, he can eat even his vomiting .
Ahahahahahahahaha yaani mimi mtu akiwa mnazi wa ccm sijui namuonaje.
 
We unashindwa kujua,kati ya mtu anaebomoa na anaejenga nani anaakili?? .

Swali la kizushikati ya anaeiba na anaeibiwa nani mjinga??
Mbona unajichanganya.
Anayeibiwa obvious ni mjinga tena anayeibiwa kwa kulagaiwa ndiye mjinga maana aliyemuibia kamzidi ujanja.
 
No, hawajaondoka naakili zetu,bali wamezifungia akili zetu kwenye mipaka maalum kiasi kwamba tunawaza walichokiwaza.

##tumenyimwa fikra/thought ili tuendelee kuwa watumwa wao, thought is the greatest wealth in every nation##
 
Mbona unajichanganya.
Anayeibiwa obvious ni mjinga tena anayeibiwa kwa kulagaiwa ndiye mjinga maana aliyemuibia kamzidi ujanja.

Swali hili ni la mtego; Kama anaeiba ni mjanja kwanini alishindwa kutafuta cha kwake.Huwezi ukakuta mtu anamiliki kitu wewe uibe.maana yake umeshindwa kutafu shortcut ukaona uibe,mwisho wa ujanja wako.

Nisawa na mtu alichora ramani alafu akajenga jengo kwa gharama alafu wewe shortcut ukalibomo,uwezi kujiita unaakili kwa kubomoa.
 
Unatoa mifano ambayo ni irrelevant.
Ukimkuta mtu ana jengo ghorofa lenye thamani ya mils 400 ukamdanganya akakubari kukupatia ghorofa hilo umpatie gari aina ya altezza ya mwaka 2002, kati ya hao wawili nani mjanja?
Anayekubari kutoa madini kwa bei chee kwa kupewa vyandarua, kati ya hao wawili nani mjanja?
 
Wakati Raisi wa Urusi W. Putini alivyokutana na Waandishi wa Habari pamoja na mengi aliyoyaongea hasa kuhusu uhusiano wa nchi yake na USA, aliulizwa swali ambalo muulizaji alimnukuu Mwanasiasa wa USA John Mccain aliyesema kwamba Raisi Putini ataishia kama Gadafi yaani atapinduliwa na kuuliwa kama vile mpinga Kristo Obama alivyomfanyia Gadafi!

Raisi Putini pmj na jibu refu alilotoa khs hili mwishoni alisema hivi hivi Mccain ni war veteran wa Vietnamu na alivyokuwa huko Vietnam alikamatwa kama mateka na kuwekwa kwenye shimo kwa muda mrefu mpaka alivyokuja kuokolewa na alivyookelewa, akasafirishwa moja kwa moja kurudi kwao USA sasa Putini anasema Mccain aliacha akili zake kwenye lile shimo!

Hiyo sentensi ya mwisho ndiyo iliyonivutia sana ya ,,kuacha akili zake kwenye shimo", nikajaribu kuioanisha na Afrika yetu na jinsi tulivyo, Je inawezekana Wazungu waliondoka na akili zetu miaka ya 60' ? Kwa maana hatujielewi!
Hatuwezi kufikiria wenyewe kila tunachokifanya leo hii ni kile kile Wazungu walichotuachia ingawaje wao wenyewe walisha move on na hawafanyi tena kuanzia kuchapa watoto Shuleni mpaka ukipata ajali PF3 kwanza ndiyo utibiwe, ukija kwenye Elimu ndiyo usiseme, lijitabu la Abbot la Fizikia ndiyo hilo hilo tangu Ukoloni!
Kwa mambo ninayoona hapa tanzania leo hii, yawezekana ni kweli. Sijachochea jamani. Napuliza moto tu.
 
Unatoa mifano ambayo ni irrelevant.
Ukimkuta mtu ana jengo ghorofa lenye thamani ya mils 400 ukamdanganya akakubari kukupatia ghorofa hilo umpatie gari aina ya altezza ya mwaka 2002, kati ya hao wawili nani mjanja?
Anayekubari kutoa madini kwarua, kati ya hao wawili nani mjanja?

Bado haujaweka condition.kwanini akubali kutoa ghorofa??

Lakini inakuwaje kama ungesema kwamba umelazimishwa kutoa ghorofa kwasabb usipotoa utategewa Utambi(baruti).
Chukulia mfano nchi zilizowekewa vikwazo kwasababu ya kukataa kutoa ghorofa(mfano uliotumia) nini kiliwapata mfano Zimbabwe n.k, utaona unalazima kwasababu fulani na wala sio kwa UJINGA.

Lakini hao waliokamatia vikwazo wanaujanja gani??...wao walishindwa kuwaletea maisha bora wananchi wao ndani ya karne 4 lakini GADAFI amewaletea wananchi wake ndani ya miaka 42, ujanja walioufanya Libya ni upi??

Wao kama ni wajanja wafungulie mipaka wakimbizi waingie Ulaya.Unamsifu mtu mbio wakati hakuna anaemkiza??
 
Basi huyo mtu in maana kakuzidi ujanja na uwezo.
Sisi tuna natural resources ambazo hatuzitafta zimekuwepo naturally. Wao hawana au kama wanazo ni kidogo au zimebaki kidogo.
Wanakuja wanatuongopea wanachukua iwe kwa kutuchonganisha au kwa kutulaghai ina maana kitendo cha kuingia mkenge basi wao ni wajanja.
Ukitaka kujua kuwa wao wajanja ndiyo maana ujanja na ulaghai wanaotufanyia sisi, sisi hatuwezi kuwafanyia wao.
Libya wmeiharibu kwa kuwapandikiza mamluki na kuwapa siraha na kuwalaghai wananchi kitu ambacho sisi hatuwezi kufanya kwao
Yani kitendo cha wao kufanya hao kwetu na ikawezekana basi hiyo ina maana wao wametuzidi ujanja
 
Basi huyo mtu in maana kakuzidi ujanja na uwezo.
Sisi tuna natural resources ambazo hatuzitafta zimekuwepo naturally. Wao hawana au kama wanazo ni kidogo au zimebaki kidogo.
Wanakuja wanatuongopea wanachukua iwe kwa kutuchonganisha au kwa kutulaghai ina maana kitendo cha kuingia mkenge basi wao ni wajanja.

Tofautisha kulaghaiwa na kulazimishwa kwa nguvu

mfano Afrika wanalazimisha wakubali USHOGA ili wapewe misaada, na ajabu marais waliopinga hio sera tumeshawazika,Rais wa Malawi na Rais wa Ghana.

Kwahio wao wanahujumu masikini ili waendelee kuitwa mataifa makubwa.

Lakini huu ujinga wa USHOGA mbona hawaupeleki CHINA,URUSI AU NCHI ZA KIARABU.

Kwahio usiaminishwe eti kwamba wanatulaghai, usije ukawa miongoni mwa watu WANAOLISHWA MANENO NA WA WAKAYAMEZA MAZIMAZIMA bila kufikiri.
 
Hakuna aliyekulazimisha uwe shoga,ila usionee watu na kuwanyima haki zao kwa sababu ni mashoga ,vipi wewe ukibaguliwa na kunyimwa haki zako kwa sababu ni mweusi? mashoga wapo, walikuwepo na wataendelea kuwepo tuu na wengi wao ni ndugu zetu na marafiki zetu tuishi nao tuu kwa amani
 
Hakika wewe ni mbwa na una akili Kama za mbwa, mbwa ni mbwa tu, sasa unashangaa nini boya wewe? hizo pf 3 na Elimu duni, kaleta nani Kama siyo hilo li ccm lako, halafu unakuja hapa na uzi, ama kweli a dog is just a dog, he can eat even his vomiting .
yaani huyo ndio mbulula wa mwisho asiye na maana kabisa nashukuru kama mnamjua nilifikiri ni peke yangu
 
Hakuna aliyekulazimisha uwe shoga,ila usionee watu na kuwanyima haki zao kwa sababu ni mashoga ,vipi wewe ukibaguliwa na kunyimwa haki zako kwa sababu ni mweusi? mashoga wapo, walikuwepo na wataendelea kuwepo tuu na wengi wao ni ndugu zetu na marafiki zetu tuishi nao tuu kwa amani

Kwanini waafrika tu.kwanini wasiwalazimishe Urusi,China au Mashariki ya kati. Hoja ya kulazisha inakuwepo kwasababu kuna condition ambayo imewekwa.
haijalishi kwamba mashoga wanabaguliwa au hawapewi haki zao
Hilo la ushoga nimekuonyesha namna tunavyolazishwa kwa fimbo ya VIKWAZO katika mambo wanayoyataka wao.Lakini nilikupa mfano wa Mugabe na kuwaondoa wazungu,hakuna asiejua kuhusu kinachoendelea Zimbabwe.

Ili wewe uwe mkweli unatakiwa unionyeshe walau juu juu tu, kwamba nchi gani walikubali kulaghaiwa, au kutapeliwa kwa kuzidiwa akili bila KULAZIMISHWA au KUTISHIWA (a)vikwazo(b)usalama(c)kupinduliwa n.k.???
 
Nyie bila kutishia bakuri lenu hamtasikia na mtaendelea na ukandamizaji tuu, hao Russia wamelambwa vikwazo kuliko hata Africa na vinaendelea mpaka sasa,mashariki ya kati nao walishapewa vya kutosha mpaka wakakaa mstalini,China nao na kuwa na uchumi mkubwa ameshalambishwa sana vikwazo na West na hata kwa sasa bado vipo vya aina nyingi tuu ila huwezi kujua kama hufuatilii na kimojawapo kuna technology nyingi tuu China haruhusiwi kununua US
 
Usizungumzie jumlajumla,nilitumia ushoga kuzungumzia Urusi,China na M/Kati.Lakini mimi nafahamu kwa hapa duniani kilamtu anavalishwa chupi inayomtosha.Hata US amevalishwa chupi zinazomtosha,na ndio maana hizi vita zote unazozisikia Crimea,Syria,Iraq(Isis) na mgogoro wa South see China. Yote hii ni vita vya maslahi,nani abaki nani aende.

Hoja yangu hapa chini ni kwamba ili Afrika tuonekane hatuna akili,ni wapi tumewahi kurubuniwa??.
Kwasababu ukishaingiza tishio maanayake haujarubuniwa bali umekubalishwa.
 
We jamaa una undugu na mangungo mbona povu kwenye ukweli
 
Hata wewe unawezaje ukakubali au ukauita ukweli,huu ni upandikizi tu..kuna kibonzo kimoja nimekiona kinamuosha muafrika anasura ya Nyani alafu amekalia hazina,nyuma yake kunamzungu anangoja ainuke, na mbele yake kuna mzungu ameshika ndizi anamuita ampe...Lakini huu ujinga sio kwa muafrika wa leo, na ukikubali basi useme ni wewe sio wote.
 
Back
Top Bottom