Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,570
- 55,689
Itakuwa si mara ya kwanza, hawa jamaa wanatakiwa washuke ili wajipange upyaHali inazidi kuwa mbaya kwa Man U Kila Leo. Hata mechi inayo fuata na Everton Man u wanaweza kufungwa pia.
Mpaka najiuliza hivi Ferguson alikuwaga anawapa nini marefa?