erick mlacha
Member
- Dec 16, 2016
- 52
- 33
kaka achana nae bwana
Huyu prof. Bwege mno ndiye mtunga mashairi ya chama cha mapinduzi.
Aliwahi nitukana ofisini kwake kumaa nami nikamrudishia hivyo kumaa mwenyewe alicheka mno..!![]()
ni kweli ana tabia hiyo.akikutukana we mrudishie tuu.mm nina bifu naye hadi leo.Aliwaambia wafanyakazi wake wa Alikachenje kuwa wako pale kwasababu ya njaa njaa zao .... Anawasaidia tu.Prof Mlacha ni hatari sana
Aliwai waambia wafanyakaz wa udom kua hakuomba kaz UDOM bali aliteuliwa na Rais(j.k)
Akawaambia "TAFUTENI BARUA YANGU YAKUOMBA KAZI KWENYE MAFAILI YENU KAMA MTAIPATA"
Huyu mzee anakauli matata sana
Alikua na undugu na fatherhouse mstaafu wa wa nchi wa awamu iliyopita
Aliwaambia wafanyakazi wake wa Alikachenje kuwa wako pale kwasababu ya njaa njaa zao .... Anawasaidia tu.
Udom ameshatumbuliwa ........ Sasa hivi Makanya anaishi kwa kujificha. ..Hivi mlacha bado yupo? Aiseee aliwahi kutuambia wanafunzi wa udom tumemzidi urefu tu? Na hakuna kingine tulichomzidi yaani nilichoka sana
Mi nilifikiri ni mtu mwenye mihela.Habari za hapa wanaJukwaa..
Prof. Mlacha aliyekuwa DVC Udom pia mmiliki wa shule ya Sekondari Alikachenje mamlaka zinamuogopa?
1. Anakwepa kodi
Wafanyakazi wa Alikachenje wanalipwa fedha mkononi badala ya malipo kufanyika kwa njia ya benki. Anafanya hivi ili kukwepa kulipa kodi ... Hawakatwi PAYE huu ni wizi wa hali ya juu sana
2. Hawasilishi michango ya wafanyakazi ktk mifuko ya kijamii.
Wafanyakazi wa Alikachenje michango yao haiwasilishwi ktk mifuko ya kijamii.
3. Makato ya Bodo ya mikopo.
Shule ya Alikachenje ina waalimu wadaiwa wa Bodi ya mikopo..... Kwa ujeuri wa Prof Mlacha kaamua kuwalinda.
4. Kutokuwa na Uongozi wa shule
Tangu mwaka 2015 shule inaendeshwa kisanii.... Haina mkuu wa shule wala bodi ya shule.....Ukiulizwa anasema "The world is to late to stop me"
TRA Same pamoja ofisi ya Afisa Elimu Same wanamuogopa huyu Mzee??
Nawasilisha!
Huyu Prof alipiga hela sana akiwa Udom ... Ila nafikiri ana laaana ..Mi nilifikiri ni mtu mwenye mihela.
Kumbe ni maskini kama wengine tu.
Profesa nzima unamiliki kashule ka kata badala ya viwander heavy duty
Usikute ni ID tu mtu ni yuleyule!Kuna watu wengi sana mnaleta uzi wa kumponda mzee Mlacha.
Wekeni wazi mnalolitaka
Aende mahakama hiyo iliyotoa hukumu amwambie hakimu hamzidi kitu labda kimo na umasikini wake.Udom ameshatumbuliwa ........ Sasa hivi Makanya anaishi kwa kujificha. ..
#1. Mwidadi anamdai 56M ... Alimkopesha vifaa vya ujenzi.
#2. Nzota anamdai 64M alimkopesha vifaa vya ujenzi pamoja na kumletea vifusi.
#3. Bony anamdai 36M..alimkopesha tofali na simenti
#4. Senjalo na mafundi wenzake wanamdai 21M.... Wamejenga majengo tangu mwaka jana hawajalipwa. . Pamoja na kumwagia zege bara bara
#5. Kadio anamdai 12M... Alitengeneza madirisha na milango ya chuo
#6. Kuna waalim wamefungua kesi idara ya kazi Moshi... Wameshinda tar 10. 1. 2018... Wanamdai 32M
Huyu Mzee akifika Makanya anaishi kwa kujificha ficha.Aende mahakama hiyo iliyotoa hukumu amwambie hakimu hamzidi kitu labda kimo na umasikini wake.
Kila mbabe duniani lazima awe na ending point yake
elewa kwanza
Na je akipeleka wao hio michango yao wataipata lini?Hiyo ya kupekeka michango mfuko wa jamii bora asipekeke maana haina manufaa kwa mfanyakazi