Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,870
Si nasikia na udom ni ya kwake?
Huyu prof. Bwege mno ndiye mtunga mashairi ya chama cha mapinduzi.
Aliwahi nitukana ofisini kwake kumaa nami nikamrudishia hivyo kumaa mwenyewe alicheka mno..!![]()















Ni kweli aliwaambia wanafunzi walio kua na malalamiko pale UDOM ilikua mwaka jana, huyu mzee ni jeuri sana, na ukikosea ukapelekwa kwake pale UDOM chuo huna anaogopwa sanaHuyo prof ana vituko sana, nasikia alikuwa anawaambia wafanyakazi wa UDOM kuwa wamemzidi urefu na umasikini tu.
.
Chuki na fitna kwa mlacha hizi
Anataka kuturithisha chuki zake kwa Mlacha na anatufundisha tumchukieHuyu mfitini tu hela Bando ukutekakopa
Huyu prof. Bwege mno ndiye mtunga mashairi ya chama cha mapinduzi.
Aliwahi nitukana ofisini kwake kumaa nami nikamrudishia hivyo kumaa mwenyewe alicheka mno..!![]()
Mwaka jana alishaondoka Udom ...... Aliliwa kichwa mwaka juzi .Ni kweli aliwaambia wanafunzi walio kua na malalamiko pale UDOM ilikua mwaka jana, huyu mzee ni jeuri sana, na ukikosea ukapelekwa kwake pale UDOM chuo huna anaogopwa sana
sidhani kama kuna kosa kumlipa mfanyakazi hela mikononi maana ndy mfumo mwingi wa ulipaji na hamna sheria inayolazimisha kufanya malipo kwa njia ya benki maana yeye ni katika sekta ya kibiashara na siyo serikali.
Kuhusu madai kuwa anakwepa kodi je wewe mtoa mada unaweza kuthibitisha kwa vyombo husika?
Kuhusu marejesho ya mikopo ya Loan board pia hili unaweza kuleta doc inaweza kuonyesha kuwa anawaficha?
Tuache umbea na wifu kwa watu ambao wana maendeleo au wamejitolea kusaidia taifa