Je, mama mkwe alikuwa sahihi?

Je, mama mkwe alikuwa sahihi?

Sazira kwetu

Senior Member
Joined
Aug 23, 2015
Posts
155
Reaction score
104
Habari za wakati huu wana Jukwaa

Kuna siku moja nilimpigia mama mkwe kwa lengo la kumsalimia na kumjulia hari

Hiyo huwa ni kawaida yangu kuwasalimia wakwe zangu,baada ya salam za hapa na pale,

Mama mkwe akaniuliza swali lililonishinda kulijibu,swali lenyewe ni
Akamtaja wife wangu jina Ameshabeba ujauzito?
Binafsi niliona aibu, na kumwambia subili kidogo nitakupigia,na mara baada ya hapo nikamtafta wife nikamwambia mpigie mama yako anashida na wewe

Kilichonishangaza ni kwa nini aniulize mim swali hilo badala ya binti yake?

Wana mmu je mama mkwe alikuwa sahihi?
 
Mkuu
Mpaka Umeowa Wewe Mkubwa Mambo Mengine
Unatakiwa Kusimama Kama Mwanaume Utakuja Kuuliza Hata Mambo Yasiyohitajika
Hili Jambo Dogo Umekuja Kulimwaga Hapa Upewe Ushauri Gani?
 
Kua na ukomae kijana jambo DOGO tu hili waanzalialia huku tukushauri nini as?
 
atakua ni CCM huyo!!!
maana cyber crime act inaanza kutumika kesho na dr.slaa anaongea kesho na ananipa presha ngoja nkae kimya,, nitarudi.............
 
exactly
kiutu uzima ni kama mama mkwe kakupa taarifa rasmi kuwa 'changamka'
umletee wajukuu

Hapana wakuu haikuwa hivyo maana mim wakati huo nilikuwa na mtoto mmoja na tulipanga na wife tusizae mpaka baada ya mda furani ili mipango mingine ya maisha isonge mbele
 
Sa si ufanye kweli, inaonekana umelegeza Kamba hiyo sector ndo maana mama mkwe anaulizia

Kila jambo na wakati wake ndugu yangu mtoto alikuwepo na sikutaka mtoto kwa wakati huo maana kuna majukumu mengine ya maisha tulipanga tuyatekeleze na kumuacha mtoto akue waachiane interval kubwa by that time mtoto huyo alikuwa na 3 yrs
 
Ungekuwa ushazama wavuni ungejibu tu ...kishababi sema kwakuwa bila bila ukaona soo kuthibitisha kuwa penati zote nje
 
Back
Top Bottom