Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,741
- 3,547
We mtu mzima unatakiwa uelewe anachotaka n nin hapo..!
"Mkwe mkwee"
kuna wamama hawana aibu duh
Ungekuwa ushazama wavuni ungejibu tu ...kishababi sema kwakuwa bila bila ukaona soo kuthibitisha kuwa penati zote nje
Swali bado liko palepale na wewe ama jibu unalo au huna
We mtu mzima unatakiwa uelewe anachotaka n nin hapo..!
Maisha sikuhizi yamebadilika na hata wazazi wamebadilika wanalazimika kuwa katika ulimwengu wetu kwahiyo ungempa jibu lake that's allKwangu mimi mama mkwe alikuwa sahihi ila namna alivyouliza swali hakuwa sahihi angeuliza indirect na sio direct kama alivyouliza