Kuwa na adabu bibi unawezaje kusema makonda ni shujaa wakati uchunguz wa vyombo husika haujaleta majibu kuwa tuhuma yake ina ukweli au la na hata ikiwa itaonekana kuna ukweli basi wa kuprove kuwa sirro na kaganda wanatuhuma ni mahakama na si vinginevyo.Unampaje mtu credit wkt ishu haijawa proved au huo udas uliopewa unakufanya uendelee kujipendekeza ww.
Yani Makonda kafanya mageuzi makubwa sana tena mno...angewasema hivi hivi bila kuwa na ushahidi kuwa yeye alifuatwa na kuhogwa ningesema mnafiki na mzandiki.Lakini kasema wazi wazi kuwa yeye alifuatwa na kumegewa taarifa na ka kikundi ka watu kumi wampe mgao wa milioni 50 kwa mwezi ili akae kimya swala la shisha yeye akakataa..Afrika kwa ujumla na hususan Tanzania (baada ya Uhuru) Polisi wamekuwa ni watu wa kuogopewa na jamii kama vile nyoka.
Nnakumbuka miaka ya mwanzoni mwa nchi yetu kupata Uhuru Polisi walikuwa ni watu wanaopendwa na jamii, enzi hizo ilikuwa utawakuta polisi wa Kizungu, Kihindi, Kiarabu na Kiafrika.
Kama watoto, kila mmoja wetu alikuwa anatamani siku moja awe askari Polisi. Kilichotupelekea kuwa hivyo ni jinsi enzi hizo polisi walivyokuwa na upole kwa watoto, nnakumbuka wakija mashuleni kutupa mafunzo ya kila aina na kutueleza vipi tuwe raia wema wenye kusaidia wengine. Nnakumbuka pia polisi wakituvusha barabara kwa upole na ingawa magari yalikuwa si mengi.
Nnachokikumbuka zaidi kwa polisi wa siku hizo ni tabasamu zao, awe wa kiume au wa kike (wa kike walikuwa wachache sana), ilikuwa siku zote nikiwaona polisi amma njiani amma wakija mashuleni walikuwa na tabasamu lisilokwisha na wenye nyuso za furaha kiasi cha kukufanya uliye karibu nao uwe na amani.
Hayo yaliisha mara tu baada ya kutangazwa azimio la Arusha.
Baada ya hapo mpaka hii leo, Polisi wamekuwa ni watu wasiocheka na watu, polisi imekuwa ndiyo tishio kwa watoto, mtoto wako akikosa ukimtajia polisi basi anaingiwa na uoga.
Jee, tumejiuliza kwanini? Mimi nna-majibu mengi sana kuhusu hilo lakini nnawaachia wachangia mada nanyi mjinafasi na kutoa dukuduku lenu kwa mtazamo wenu.
Paul Makonda, ameweza kuwasema polisi hadharani, tena kinaga ubaga. Mwiko ambao hata wakubwa zaidi ya Makonda kwenye uongozi wameshindwa kuuvunja kwa hapa kwetu Tanzania na nchi nyingi za Kiafrika kwa ujumla. Jee, kwanini?
Binafsi nnaona kitendo cha Makonda ni cha kishujaa sana. Wewe jee?
Nnaomba tuchangie hii mada huku tukielekeza maoni yetu kwa viongozi wa nchi pamoja na viongozi wa majeshi ya polisi kwa nia ya kuitaka polisi iwe rafiki zaidi wa wananchi na iwe ni kwa ajili ya wananchi na si kwa ajili ya viongozi wa nchi au watawala wa nchi pekee.
Kweli ni tuhuma ila tuache kusema Makonda anatafuta sifa, kana kwamba huyo Siro ni Mungu hawezi kuchukua rushwa! Nchi hii kuna watu na heshima zao wameliabisha taifa!Mkuu mbona hizo ni tuhuma tu? Kuna ushahidi wowote mpaka sasa kwamba Siro kapokea rushwa?
Sijui tunabishana nini? Au unataka nilete coment zako za humu kuonesha uchadema wako?Hivi CHADEMA ni nani?kwahiyo nami kwa uchangiaji wangu umeshaniita CDM?Jukwaa hili kuna kipengele cha kuweka status yako kichama?Unamjuaje mtu kama ni CDM?Amekupa kadi yake ya uanachama?Unajadili kitoto sana,toa hoja sio kupiga mipasho tu.Hii ni JF sio facebook
Post yote umepaona pa jina la Lema tu? Pole sanaLema ana ushujaa gani? Wa "kuota" wakati hajalala??
Afrika kwa ujumla na hususan Tanzania (baada ya Uhuru) Polisi wamekuwa ni watu wa kuogopewa na jamii kama vile nyoka.
Nnakumbuka miaka ya mwanzoni mwa nchi yetu kupata Uhuru Polisi walikuwa ni watu wanaopendwa na jamii, enzi hizo ilikuwa utawakuta polisi wa Kizungu, Kihindi, Kiarabu na Kiafrika.
Kama watoto, kila mmoja wetu alikuwa anatamani siku moja awe askari Polisi. Kilichotupelekea kuwa hivyo ni jinsi enzi hizo polisi walivyokuwa na upole kwa watoto, nnakumbuka wakija mashuleni kutupa mafunzo ya kila aina na kutueleza vipi tuwe raia wema wenye kusaidia wengine. Nnakumbuka pia polisi wakituvusha barabara kwa upole na ingawa magari yalikuwa si mengi.
Nnachokikumbuka zaidi kwa polisi wa siku hizo ni tabasamu zao, awe wa kiume au wa kike (wa kike walikuwa wachache sana), ilikuwa siku zote nikiwaona polisi amma njiani amma wakija mashuleni walikuwa na tabasamu lisilokwisha na wenye nyuso za furaha kiasi cha kukufanya uliye karibu nao uwe na amani.
Hayo yaliisha mara tu baada ya kutangazwa azimio la Arusha.
Baada ya hapo mpaka hii leo, Polisi wamekuwa ni watu wasiocheka na watu, polisi imekuwa ndiyo tishio kwa watoto, mtoto wako akikosa ukimtajia polisi basi anaingiwa na uoga.
Jee, tumejiuliza kwanini? Mimi nna-majibu mengi sana kuhusu hilo lakini nnawaachia wachangia mada nanyi mjinafasi na kutoa dukuduku lenu kwa mtazamo wenu.
Paul Makonda, ameweza kuwasema polisi hadharani, tena kinaga ubaga. Mwiko ambao hata wakubwa zaidi ya Makonda kwenye uongozi wameshindwa kuuvunja kwa hapa kwetu Tanzania na nchi nyingi za Kiafrika kwa ujumla. Jee, kwanini?
Binafsi nnaona kitendo cha Makonda ni cha kishujaa sana. Wewe jee?
Nnaomba tuchangie hii mada huku tukielekeza maoni yetu kwa viongozi wa nchi pamoja na viongozi wa majeshi ya polisi kwa nia ya kuitaka polisi iwe rafiki zaidi wa wananchi na iwe ni kwa ajili ya wananchi na si kwa ajili ya viongozi wa nchi au watawala wa nchi pekee.
Ni kama ugomvi wa wachawi. Hata wakigombana bado kila mmoja akikupatia anakudhuru vilevile. Hata hivyo RC kusubiri hadhara/matukio ni tabia/utamaduni mbaya, sio ushujaa.Ni kitendo cha kishujaa sana. Jwtz nao wako kikaangoni, askari wake wengi wanajifanya wababe kwa raia na barabarani, ukiwahoji wanaweza kukuchangia kukupiga, wanajenga ukuta na raia! Nidhamu ya uoga dhidi yao ma wananchi ndo kilichopo katikati!
Mbowe ana nguvu kuliko rais na dola?!!?Tatizo JPM akijaribu kupanga mbowe and co., wanapangua!
kila mkosoaji ni CDM?Sijui tunabishana nini? Au unataka nilete coment zako za humu kuonesha uchadema wako?
Ndioaana JPM kaamua maandamano na mikitano "ikafanywe" Hai, tunatakiwa tufanye kazi sio kuamdamana nchi nzima, nafikiri umenielewa!Mbowe ana nguvu kuliko rais na dola?!!?
Hongera Mbowe.
Umeshakaukiwa hoja? Ni wakati muafaka kujinyamazia.Tatizo JPM akijaribu kupanga mbowe and co., wanapangua!
Duu!! Wewe Bi. Mkubwa kweli kiboko. Inaonekana moderators bado hawajakufahamu vizuri. Wape darsa ili wasiokufahamu waweze kukufahamu vizuri.Moderator kwanini umeondoa "e" moja kwenye neno Jee, nililoandika kwenye kichwa cha habari?
Tafadhali irudishe.
Hiyo "Je," yako uliyoiweka ni kosa la kimatamshi.
cc
Kuwataka haitoshi. Angewakamata ingeeleweka. Tunajuaje kama si yeye aliyewaomba hao watu kila mmoja wao awe anampatia sh 5m kila mwezi. Iliposhindikana ndipo anatoka hadharani kulalamika. Makonda siyo malaika. Anashiba na kupata njaa.Binafsi ningemwona shujaa kama angewataja hadharani hao wafanya biashara wa @5M, na atake mienendo yao ichunguzwe ili kubaini uhusika wao kuwatia polisi kigugumizi! Rushwa ni kosa la jinai kwa anayetoa na kwa anayepokea, ila yeye alielekea kuwarushia polisi tuhuma kisiasa ili yeye "apone" na sio kutaka hatua za kisheria zichukuliwe dhidi ya jinai husika!
Huo ndio mwanzo wa mwisho wa Mh Kondakta.Mimi naona kama ni utovu wa nidhamu, kimaadili ya kazi hakutakiwa kujimbizana na wakubwa zake hadharani.
PM na Sirro wana hadhi zao angewafuata ofisini au angesubiri vikao husika.
Sitetei upande kwa vile binafsi sina imani na jeshi la polisi wala Makonda mwenyewe kutokana na tabia zake.
Ila nachoweza kusema tabia hii ikiachwa isiendelee kuna siku atamtuhumu hadharani Mkuu wa Majeshi kuwa anashirikiana na nchi jirani kuhujumu nchi na kuleta taharuki.