Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,046
Sina uhakika na undani wa sakata hili.
Ninachojua ni kwamba Makonda alikuwa na nafasi (bado anayo) ya kushughulikia hili kwenye kamati ya ulinzi na usalama ambako yeye ni mwenyekiti na Sirro ni mjumbe.
Hivi halijajadiliwa huko?
Makonda anatafuta sifa za kisiasa mbele ya jamii. Kwa nini asiende kwa IGP Mangu kama kweli ana hoja ya msingi?
Anadai watu washisha walitaka kumpa rushwa. Kachukua hatua gani kama si fix za kutaka sifa?