billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,444
- 1,647
Habari zenu wakuu?
Niende moja kwa moja kwenye swali langu,wakuu nina mtoto wa shangazi yangu yupo hapa kwangu, aliomba kusoma VETA kwa ufadhili wa ofisi ya waziri, lakini tokea afanye maombi, yapata mwezi sasa kimya.
Ombi langu kwenu, kwa wenye fununu au taarifa, naomba mwongozo kwenye hili.