Je, majina ya walioomba kusoma kozi za VETA yametoka?

billionea alpha

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,444
1,647
Habari zenu wakuu?

Niende moja kwa moja kwenye swali langu,wakuu nina mtoto wa shangazi yangu yupo hapa kwangu, aliomba kusoma VETA kwa ufadhili wa ofisi ya waziri, lakini tokea afanye maombi, yapata mwezi sasa kimya.

Ombi langu kwenu, kwa wenye fununu au taarifa, naomba mwongozo kwenye hili.
 
Ila wadau elimu ya bongo midosho sanaa!!! Yaan mtu unatumia miaka 13+ kutafuta degree(ambayo haikuwezeshi kujiajiri),unahtimu unakuta ajira hamna, unarudi kuanza kusoma VETA tena,,,unakaa chn unajiuliza hv kwa nn nlipoteza mda kwenda advance na chuo?? Si nngetoka form 4 nkaingia zangu veta direct??
 
Only in africa...
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom