Apo mkwele hakuna ngende,, ila kuna sehemu panaitwa bwawani, apo napo watu huenda kwa ajili ya kufanya maombi na ibada mbalimbali,, kuna bwawa ambalo wenyewe huamin kwamba kama unashida unaenda apo unafanya maombi unaoga ktk hilo bwawa kisha shda zako huisha,, ngende iko liwale,, kutoka apa nilipo , nyangao mpaka bwawani ni jero tuh nauli,,Ndio, hiyo sehemu ipo, na ipo ktk Kijiji kiitwacho Mkwera ktk Mkoa wa Lindi ni mpakani mwa Mtwara na Lindi, kwa wale wanaoifahamu Nyangao basi ukitoka hapo unapta vjj km viwili au kimoja. NA HAYO MAMBO YAPO SANA TANGIA MIAKA MINGI, NA UKIKIUKA MASHARTI USISHANGAE WW MWENYEWENA EITHER FAMILY AKO MKAPOTEZA MAISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
MTU unasikia Ana hela watoto wake hawasomi shule nzuri, maisha wanayoishi na familia yake ya hovyohovyo mfano matajiri wengi wa pwani na kusini yao tunawaita matajiri wa ngende.Why utajiri wa hovyohovyo?
Sio kweli..maelezo ya sigara kali ndio yako sahihi..hii yako chai.Ndio, hiyo sehemu ipo, na ipo ktk Kijiji kiitwacho Mkwera ktk Mkoa wa Lindi ni mpakani mwa Mtwara na Lindi, kwa wale wanaoifahamu Nyangao basi ukitoka hapo unapta vjj km viwili au kimoja. NA HAYO MAMBO YAPO SANA TANGIA MIAKA MINGI, NA UKIKIUKA MASHARTI USISHANGAE WW MWENYEWENA EITHER FAMILY AKO MKAPOTEZA MAISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
vp Alitii maagizo?Ipo wilaya ya Liwale mkoa wa Lindi, kuna mjomba angu mmoja alinisimulia aliwahi kwenda kwa shida zake sasa ikawa njianj akikutana na watu wakumuuliza unaenda wapi? Anajibu "tunaenda kusikiliza uongo wao kwa hawa jamaa"(anamaanisha huko Ngende kwa waganga yaani ni waongo hawaamini ila anakwenda kujaribu) Sasa alipofika akaulizwa umekuja kufanya nini huku na wakati sisi ni waongo? Ikabidi awe mpole na kuomba radhi akaambiwa usiniombe mimi kamuombe yule pale anaoneshwa chatu mmoja mkubwa sana kama Anaconda akawekewa unga kiganjani akamlambishe ndio msamaha. Sasa Anko akifikiria maneno aliyoyasema njiani na huyo jamaa wakuombwa radhi jinsi alivyo ule unga wa kiganjani atashiba kweli au ndio atakuwa yeye mwenyewe ni msosi?[emoji3][emoji3][emoji3].
Ila ni sehemu maarufu kwa kusini inasadikia kwa kutoa utajiri na mambo mengine mengi ya kishirikina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio, hiyo sehemu ipo, na ipo ktk Kijiji kiitwacho Mkwera ktk Mkoa wa Lindi ni mpakani mwa Mtwara na Lindi, kwa wale wanaoifahamu Nyangao basi ukitoka hapo unapta vjj km viwili au kimoja. NA HAYO MAMBO YAPO SANA TANGIA MIAKA MINGI, NA UKIKIUKA MASHARTI USISHANGAE WW MWENYEWENA EITHER FAMILY AKO MKAPOTEZA MAISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, ni wahuni tu walinikera sana nilifika huko mwaka 2006Nilifika huko mwaka 2016,baada ya kupata msukosuko kazini,binafsi nikili tu kuwa sikuona jipya kama ambavyo ilikuwa ikisimuliwa,zaidi ni uhuni na utapeli uliokithiri kwa watoa huduma,kila kona unambwa pesa kama uko kituo cha ombaomba,mbaya zaidi baada ya kupata nafasi ya kuonana na bibi mwrnyewe ambaye anaitwa BIBI JUMWITE ambayehajui kiswahili ila KINGINDO PEKEE, Kuna mtafasiri wake ambaye usipo kuwa makini unaweza maliza hata milioni,baada ya hapo unakazimishwa kuweka nadhiri ya kiasi cha pesa ambacho utakipeleka baada ya kufanikiwa shida yako.Hawa jamaa wapo Liwale mkoa wa lindi eneo linaitwa MPIGA MITI
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa, ni wahuni tu walinikera sana nilifika huko mwaka 2006
Hakuna lolote ni sawa tu na wanamazingaumbwe wa mjini! Na wanapenda hela balaaa! Walichukua mpaka seko5 yangu!
Hakuna lolote ni sawa tu na wanamazingaumbwe wa mjini! Na wanapenda hela balaaa! Walichukua mpaka seko5 yangu!
Huko ni balaa. Uki default masharti, jina litahusika.
Sehemu hiyo ipo kweli inapatikana wilaya ya Liwale nkoa wa Lindi katikati ya msitu wa Selous,moja ya wataalam wahudumu katika kilinge hicho ni ukoo niliozaliwa Mimi so mababu zangu walihudumia Ngende miaka mingi tu,ila kwa sasa kilinge kimepungua nguvu,pale unapewa utajiri kwa sharti la kurudisha shukrani ukijifanya kusahau unatumiwa mnyama yoyote yule anakuja kukudhuru,pale ngende ukienda unapokelewa na nyani na wanyama wengine nao wanazungumza karibia lugha zote duniani
Karibu Ngende kwa Wamagingo au Wangindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo MTAFITI ukawa amemaliza UTAFITI!!!!!!!!!!!!!!Ukifika tu kituo kikuu cha mabasi cha Liwale utawaona watu wanakuja kwenye bus hill na kutangaza " wanaokwenda kwa bibi, pikipiki zipo" ujue wanaongelea Ngende.
Hapo wanamaanisha wale wanaokusudia kuunganisha siku hiyo hiyo kwenda huko.
Mtapita kwenye misitu Fulani (siikumbuki majina ) hadi kwenye msitu mkubwa baada ya hapo ndiyo "kwa bibi Ngende"
Hata hivyo si vizuri uende kwa sababu haiko kama nilivyokuwa ninaisikia kabla ya kufika huko kwa shughuli zangu za kiutafiti.
Nilipaki pikipiki niliyokuwa ninaitumia kwenye duka karibu kabisa na hapo kwa bibi huku nikiwaona watu wamekaa pale nyumbani. Nilimuuliza muuza duka kuhusu aina ya watu wanaokwenda pale ikiwa in kweli wanasaidika kimaisha kama inavyosemwa, akasema ni wachace mno mno ingawa wanaokwenda ni wengi.
Sikuhoji zaidi nikaondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ngende ipo mkoa wa Lindi wilaya ya liwale tarafa ya nanjilinji kata ya mpigamiti, haya maelezo yako futa usije ukamtoa ndg yetu kwenye kusudio lake, maana umetaja hapa karibu tu nyangao, ngende ni mbali huna uwezo wa kutoka leo dar ukafika lkn hapo mkwela ukipita mtama unaingia mkwela.Ndio, hiyo sehemu ipo, na ipo ktk Kijiji kiitwacho Mkwera ktk Mkoa wa Lindi ni mpakani mwa Mtwara na Lindi, kwa wale wanaoifahamu Nyangao basi ukitoka hapo unapta vjj km viwili au kimoja. NA HAYO MAMBO YAPO SANA TANGIA MIAKA MINGI, NA UKIKIUKA MASHARTI USISHANGAE WW MWENYEWENA EITHER FAMILY AKO MKAPOTEZA MAISHA
Sent using Jamii Forums mobile app
hatari sanaKwa simulizi nilizozisikia ni msitu wa maajaabu ambapo watu wamekuwa wakienda huko kuomba shida na haja mbalimbali ...
Sent using Jamii Forums mobile app