Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
Ni utajiri tu? Mapenzi je? Kuna danga nataka nilitekeSehemu hiyo ipo kweli inapatikana wilaya ya Liwale nkoa wa Lindi katikati ya msitu wa Selous,moja ya wataalam wahudumu katika kilinge hicho ni ukoo niliozaliwa Mimi so mababu zangu walihudumia Ngende miaka mingi tu,ila kwa sasa kilinge kimepungua nguvu,pale unapewa utajiri kwa sharti la kurudisha shukrani ukijifanya kusahau unatumiwa mnyama yoyote yule anakuja kukudhuru,pale ngende ukienda unapokelewa na nyani na wanyama wengine nao wanazungumza karibia lugha zote duniani
Karibu Ngende kwa Wamagingo au Wangindo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app