Je Mabikra wote mko Hivi

Mr. Wise

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,718
6,441
Wana JF naomba kujua hili,...Kuna jamaa yangu wa karibu tulipokua mwaka wa kwanza chuo kuna binti alimfungua na kumuingiza ukubwani nadhani nimesomeka,tulipofika mwaka wa tatu akawa na mwingine wa form 5, naye alikua bado jamaa akawa mfunguzi tena, jamaa anadai alikua akikereka maana haikua kazi rahisi katika tendo zima kwa wote wawili.

Mwingine ilikua tabu hadi alimparua sana jamaa na kucha kifuani,huyu wa form 5,i libidi zitumike siku mbili na vilevile jamaa wakati wa tukio hadi aling'atwa kidole cha mkono, baadaye wote walizoea akawa akiendelea na kujilia vyake baada ya kukaa nao kwa muda tofauti maana baada ya yule aliyekua nae mwaka wa1,

Alipomuacha akampata huyu wa mwaka wa tatu....wote hakufika nao mbali aliwaacha,jamaa kwa sasa anafanya kazi ofisi X hapa Dar es Salaam, SASA CHA AJABU WALE MABINTI SIKU ZOTE HAWAISHI KUMTAFUTA KWENYE SIMU,amebadili laini lakini bado wanapata hata namba mpya atakayoipata,

Kila mtu kivyakevyake maana hawafahamiani(hao mabinti)..KILA MMOJA HUSEMA HATAMSAHAU MILELE,nakutaka kama hana mtu warudi kwake,lakini jamaa ana mtu na ameshawahi waambia wote ila bado wasumbufu kila iitwapo leo,msg kwa wingi,mara naomba turudiane,Nikisikia umeoa nitaumia sana etc...Sasa wana JF,wana Saikolojia na wadada hivi Mabikra wote mko hivi???????????
 
Haaa jamaa alikuwa opener? kweli.. sasa na mimi. ni mwanamume 19 yrs pia sijawahi kuna nii ila nikiamka asubuhi naona kidumuuu, je nitaitwa bikra au nani?
 
Mzazi wako wa kike alishawahi kuwa hivyo once upon a time before you were born. Kama mko karibu atakupa a good insight. Kwa issue sensitive kama hii, I could only trust my mom.
 
Hao wana pepo tu la ngono...kwani ni wao tu ndo waliwahi kutolewa bikra. Kila mwanamke alishawahi kuwa bikra maishani na bado tumetulia hatutafuti hao waliotuingiza mjini.

Etii eeh,ila nashindwa kuamini ilo.....mi nilihisi walijiwekea nadhiri atakaye kua wakwanza ndo awe mwenyewe siku zote,maana si wahuni wametulia kweli
 
Walioweka nadhiri wanasubili ndoa...huwezi kuwa sure kuendelea na aliyekutoa bikra wakati hakuna mkataba kati yenu...kwanza hii heading iko wrong..."Je Mabikra wote wako hivi?" mtu aliyekwisha tolewa bikra ni bikra???

Na kama mtoa mada anauliza ma bikra haoni kuwa hawawezi kuwa na jibu kwa kuwa wao bado hawajaguswa???

Mkuu,iyo Heading imewalenga mabikra wa zamani....ndani kwenye ujumbe imejieleza.
 
Haaa jamaa alikuwa opener? kweli.. sasa na mimi. ni mwanamume 19 yrs pia sijawahi kuna nii ila nikiamka asubuhi naona kidumuuu, je nitaitwa bikra au nani?

Wewe ni domo zege tu, hamna lolote mdogo wangu! ila kama ni kweli jitunze hivyo hivyo utampata demu bikira na utafurahia maisha kama mm, unanipata?
 
watoto wa sikuhizi ni kiherehere tu! .. enzi hizo watoto wakike wakiwa na mume hata ikiwa mara ya kwanza hawapati tabu sababu kungwi keshamaliza lecture na darasa limemkaa ..
 
watoto wa sikuhizi ni kiherehere tu! .. enzi hizo watoto wakike wakiwa na mume hata ikiwa mara ya kwanza hawapati tabu sababu kungwi keshamaliza lecture na darasa limemkaa ..

Kumbe eeeeehhhhhhhhhhhhhh,lakini inasemekana hao wote walikua above 18,si wakubwa hao au?
 
Mbona mimi nishawai kukata m2 utepe madada 3 lakini mpaka leo sajawai kutafutwa na mmja wapo kashaolewa

Eti eeeh,basi yaweza kua personality ziko tofauti,watu tofauti na mawazo,maamuzi etc.tofauti tofauti vichwani.
 
Sasa nahisi mambo iko hivi..bikra iliwekwa ili itolewe na mume na sio play boy!! sasa hapa kwa mfano uko na mke wako,then na kama ni wew ndie uliye mkaribisha ukubwan kamwe hatakuacha..hawa girls wana mfwata jamaa mana jamaa kamwaga damu zao(nadhan umeelewa) na ni kawaida mana hiyo damu(aliyoimwaga) stil inamfwata,na itamfwata kamwe..sasa inakua ni ngum hawa girls kumsahau kwa sababu hiyo..na hii ni vyema ieleweke haswa kwa hawa watu ambao hawajui kukataa(play boys) kukaribisha watu ukubwan si kitu cha mchezo na ni lazim watu tujue hil..mana utaja ua watu kijinga...
 
sasa nahisi mambo iko hivi..bikra iliwekwa ili itolewe na mume na sio play boy!! sasa hapa kwa mfano uko na mke wako,then na kama ni wew ndie uliye mkaribisha ukubwan kamwe hatakuacha..hawa girls wana mfwata jamaa mana jamaa kamwaga damu zao(nadhan umeelewa) na ni kawaida mana hiyo damu(aliyoimwaga) stil inamfwata,na itamfwata kamwe..sasa inakua ni ngum hawa girls kumsahau kwa sababu hiyo..na hii ni vyema ieleweke haswa kwa hawa watu ambao hawajui kukataa(play boys) kukaribisha watu ukubwan si kitu cha mchezo na ni lazim watu tujue hil..mana utaja ua watu kijinga...

Mkuu,humo kuna UKWELI sio siri duh..
 
Back
Top Bottom