Je Mabikra wote mko Hivi

Je Mabikra wote mko Hivi

Upumbafu unaendelea hapa. Ila unaonekana kuungwa mkono coz ni ushenzi kama ushoga ivi. Poa,k mwendelee kubikiriana na kuachana n.k. Mungu atawapa nafasi mwendelee na ufirauni mlouzoea..Dunia imekwisha na Israeli itaimamarisha utawala wake. najua waislamu kwa wakristu twatofautiana mawazo ila kila la kheri
 
Mi nilidhani heading ya hii thread iko wazi...au ulipotea njia na ukajikuta unavutiwa na comments zetu wadhambi. Pole siku nyingine usifungue thread kama hizi zitakukwaza mwayego.

Maana inaelekea umejikuta unazisoma zote bila kuruka mstari.

Upumbafu unaendelea hapa. Ila unaonekana kuungwa mkono coz ni ushenzi kama ushoga ivi. Poa,k mwendelee kubikiriana na kuachana n.k. Mungu atawapa nafasi mwendelee na ufirauni mlouzoea..Dunia imekwisha na Israeli itaimamarisha utawala wake. najua waislamu kwa wakristu twatofautiana mawazo ila kila la kheri
 
Huyo jamaa yako atakuwa Mr.Wise kama sikosei jina lake.
 
Hao wana pepo tu la ngono...kwani ni wao tu ndo waliwahi kutolewa bikra. Kila mwanamke alishawahi kuwa bikra maishani na bado tumetulia hatutafuti hao waliotuingiza mjini.

It is because they love him and not because he was the first one to get the entry...just my thoughts
 
Na bikira zile nyingine je? nazo utakumbukwa?
 
aisee huyu jamaa inaelekea alikua anajua kuwanusa..anajua hii ngoma bado au tayari
 
mi nahisi ulijitahidi kuwa gentle na baada ya pale uliwatimizia vzr ndio maana wanarudi kwasababu walipo sasa hawapati kama ulivyowapa.

Ila suala kwamba wote tupo hivyo hapana.
 
mi nahisi ulijitahidi kuwa gentle na baada ya pale uliwatimizia vzr ndio maana wanarudi kwasababu walipo sasa hawapati kama ulivyowapa.

Ila suala kwamba wote tupo hivyo hapana.

Kumbe eeeehhhhhhhhh.
 
mi nahisi ulijitahidi kuwa gentle na baada ya pale uliwatimizia vzr ndio maana wanarudi kwasababu walipo sasa hawapati kama ulivyowapa.

Ila suala kwamba wote tupo hivyo hapana.

Aaaah ya inamana hata wewe humkumbuki tu yule naniii,maana kila ukijiuliza huo mchezo umejifunza wapi unamkumbuka...ila point yako nayo Inahusika.
 
Aaaah ya inamana hata wewe humkumbuki tu yule naniii,maana kila ukijiuliza huo mchezo umejifunza wapi unamkumbuka...ila point yako nayo Inahusika.

Mi hata simkumbuki na wala hata nikikumbuka I feal nothing cause he was very rough. yani hadi nilisema kama ndio hivi bora wanaoamua kuwa masista caouse hakuna raha yoyote.
 
Na wale zinazotoka wakicheza rede na kuendesha basikeli inakuweje?
Samahani kama niko nje ya mada...
 
Etii eeh,ila nashindwa kuamini ilo.....mi nilihisi walijiwekea nadhiri atakaye kua wakwanza ndo awe mwenyewe siku zote,maana si wahuni wametulia kweli
its seemes that u were not wrong to choose that name of urs, for tis ur real a wise man. Hiyo ndo shida ambayo inawasumbua hao mabinti mana kila mtu ana mipango yake ktk maisha sasa kuwa disappointed katika hilo lazima wahahe. Pia u were their first love na mpaka kukuachia uifungue hazina yao inawezekana walikupenda na kukuthamini na ndo kinachowafanya wahangaike na wewe sass just understand them na usiwaone kama ni wapuuzi ingawa ckwambii kuwa uwarudie ili hali uko katika relation na mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom