Je Mabikra wote mko Hivi

its seemes that u were not wrong to choose that name of urs, for tis ur real a wise man. Hiyo ndo shida ambayo inawasumbua hao mabinti mana kila mtu ana mipango yake ktk maisha sasa kuwa disappointed katika hilo lazima wahahe. Pia u were their first love na mpaka kukuachia uifungue hazina yao inawezekana walikupenda na kukuthamini na ndo kinachowafanya wahangaike na wewe sass just understand them na usiwaone kama ni wapuuzi ingawa ckwambii kuwa uwarudie ili hali uko katika relation na mtu mwingine.

Thanks!!maelezo mazuri,ila thio mimi jamani.....
 
Mi hata simkumbuki na wala hata nikikumbuka I feal nothing cause he was very rough. yani hadi nilisema kama ndio hivi bora wanaoamua kuwa masista caouse hakuna raha yoyote.

Teh teh teh teh,dah alikua mkata majani ya ng'ombe nini?ama house boy wenu,maana gentle and smart person can't be rough unless uwe una pretend kua gentle and smart.....Let me gues..... nae ndo alikua anajifunzia kwako.,da yani HE WAS VERY ROUGH alafu akawa part of your History uliingiaje ukubwani...Did he rape You??sema nimfungulie kesi
 
Halafu rafiki yako huyo ni mharibifu sana. Yaani unabahatika kumpata binti bikra halafu unamchezea unamwacha? So sad to these ladies. Kwa maisha ya sasa hata darasa la saba wengine bikra hana. Kachugulie binti yako ili ujue hali yake. Shukuru Mungu ukimkuta salama!!! Angalia sana asilaaniwe maana mambo tunayofanya yanatokea kwa watoto wetu hadi kizazi cha nne. Kuna mzee mmoja yeye alikuwa anapenda kuzaa na vibinti tu vya wanaume wenzake. Matokeo yake watoto wake wote wa kike hadi wajukuu wamezalia nyumbani na hawakuolewa, wa kiume wanazaa na kila mwanamke na hawana ndoa pia. Mzee presha juu ooohh mara wamelogwa mara vile huku akisahau mchawi ni yeye mwenyewe i.e chasing your own tail!!1
 
Aisee jamaa ni mtu mzuri hakuna,ila kuachana ni misunderstanding tu kati yao na yeye....bikra wataendelea kuwepo maana kila anaezaliwa anazaliwa bikra kilichobadilika ni kwamba wanawahi kujiharibu tu.
 
JF imeingiliwa na kila uozo. Hii sasa ni nini? kama sio kufundishana maovu?
 
halafu rafiki yako huyo ni mharibifu sana. Yaani unabahatika kumpata binti bikra halafu unamchezea unamwacha? So sad to these ladies. Kwa maisha ya sasa hata darasa la saba wengine bikra hana. Kachugulie binti yako ili ujue hali yake. Shukuru mungu ukimkuta salama!!! Angalia sana asilaaniwe maana mambo tunayofanya yanatokea kwa watoto wetu hadi kizazi cha nne. Kuna mzee mmoja yeye alikuwa anapenda kuzaa na vibinti tu vya wanaume wenzake. Matokeo yake watoto wake wote wa kike hadi wajukuu wamezalia nyumbani na hawakuolewa, wa kiume wanazaa na kila mwanamke na hawana ndoa pia. Mzee presha juu ooohh mara wamelogwa mara vile huku akisahau mchawi ni yeye mwenyewe i.e chasing your own tail!!1
bila ya kutumia nguvu hautoweza kumtoa bikra msichana
 
Sijapata kusikia hata kwenye makanisa ya kilokole mwanamke kutoa ushuhuda wa "nani alimtoa bikra"...!
 
mmmmh hapo nadhani ile kazi ya kuwakaribisha kwenye ulimwengu mwingine ndio ambao unawafanya wamtafute
 
Mi nilidhani heading ya hii thread iko wazi...au ulipotea njia na ukajikuta unavutiwa na comments zetu wadhambi. Pole siku nyingine usifungue thread kama hizi zitakukwaza mwayego.

Maana inaelekea umejikuta unazisoma zote bila kuruka mstari.
aisee nimekulaikije?
 
Back
Top Bottom