Mmmh, nahisi kaingia kimyakimya...
Nimekuona pale lumumba ukiingia kwa mbwembwe na huku umepigilia suti yakoMimi nimekurupuka lakini mwenzangu zaidi mpaka umefungua uzi hujui vice-chairman yuko wapi.ushauri wa bure wacha kugida kangara!
Shetani wa Burundi alikuja na mama mgongoni yupo au?Jibu swali mapokezi holaaa!
Rais wa familia yako na mkeo.
Mimi sio mmojawapo wa ma nyumbu.
Tuheshimiane sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu the Trucaller tafadhali tuheshimiane matusi sitaki kama huwezi kuchangia hoja kistaarabu usini copy.
Kila ukikaa unataka nikutumie hii picha yako daah utaua watoto baba jeni!Nimekuona pale lumumba ukiingia kwa mbwembwe na huku umepigilia suti yakoView attachment 1327803
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo lissu kabla hajapewa urais keshanenepa hivi hata wewe mfua suti wake umemsahau unatuulizia kama yupo bongo!
kwanini tena mkuuMmawia,
mkuu, wewe sasa unataka kuua watu kwa stroke!!
AMINA KATIKA JINA LA YESU MWANA WA DAUDIMungu Mkubwa sana,,!
Shetani mkuu wa IKULU ameshindwa tena na tena!
#LISSURAIS2020
Kila ukikaa unataka nikutumie hii picha yako daah utaua watoto baba jeni!View attachment 1327812
Hata akila ruzuku inakuuma nini wewe wana uvccm? jama zenu pamoja na shetani zilishindwaSi alisema usalama wake uko hatarini? Au alikuwa anachezesha kwata wanasaccos wa Chadema ili aendelee kula ruzuku za chama huko kwa mabeberu Ubelgiji??
kwanini tena mkuu
jiwe na shetani hamna tofautiIna maana amekuja kimya kimya? Vipi yale maandalizi ya mapokezi hapo Ufipa? Kweli Jiwe kiboko hadi 'shujaa' anarudi kwa kunyatianyatia!!!??
Hata akila ruzuku inakuuma nini wewe wana uvccm? jama zenu pamoja na shetani zilishindwa
Kama ulijua kuna siku yake ulipiga risasi za nini wewe ZezetaSiku zake zikifika ataondoka tu kama wewe utavyoondoka!
Huyo lissu kabla hajapewa urais keshanenepa hivi hata wewe mfua suti wake umemsahau unatuulizia kama yupo bongo!View attachment 1327815
johnthebaptistMungu Mkubwa sana,,!
Shetani mkuu wa IKULU ameshindwa tena na tena!
#LISSURAIS2020