Subiri uone. Lissu anaijua hiyo kesi na hiyo movie kuliko unavyoijua wewe. Ndio maana anatumia gharama kubwa mno sana kumficha dereva wake na yeye kukaa huko aliko.
UCHUNGUZI UMEFANYIKA NA UMEKWISHA. WAHUSIKA WAKUU WANASUBIRIWA NA MMOJA WAO NI LISSU. HIZO NGONJERA MARA WALINZI WALIONDOLEWA MARA CCTV ZILIFUNGULIWA NI HABARI ZA KUTUNGA NA KESI ITAKAPONGURUMA HATA WEWE UTAUFAHAMU UKWELI
T-shirt tulimgawia Magufuli ili akawape ndugu zake waone utukufu wa MUNGUVipi mapokezi na Tshirt zimeenda wapi mkuu?
Na siku za Magufuli hazitafika?Siku zake zikifika ataondoka tu kama wewe utavyoondoka!
Magufuli atakuwa amekufa kabla ya hiyo Oct 2020,jiandae kulia kenge weweNi fiti kwa Saccos sisi tunamwona msaliti tu aliyeshindwa! Vitu vyote alivyokuwa anapinga tumefanikiwa kuanzia Accacia hawapotena TZ na tumefikia makubaliano na Barrick na Kampuni mpya ya Twiga imeshaanzishwa! Hapa Kazi Tu! Pia hana tena Ubunge amebaki kiongozi kwenye Saccos inayokufa baada ya October 2020.
Unamaanisha hakuna anayeumia hata kwa huo "usaliti" wake?Waumie kwa lipi? Huyo msaliti wakati hata ubunge hana tena!
Nyumbu ni mama yako mzazi Shetani mkubwa wewe, yaani unafurahia matatizo ya Tundu Lissu ?Hahahaha kweli nyumb ni shida! Hivi kweli Lissu wa sasa hivi ni sawa na wa 2017 kweli?? Hana ubunge pia anachechemea!! Wakati mwingine basi tumieni ubongo kidogo!
Tulia sindano ikuingie upone ugonjwa wako wa kivuvuzela na huyo msaliti wako! Ungekuwa una uwezo ungenifuata ili uje ni kujambishe!!Nyumbu ni mama yako mzazi Shetani mkubwa wewe, yaani unafurahia matatizo ya Tundu Lissu ?
Mungu alimponya mtakufa nyie na kumwacha swine kweli wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakufa mama yako kwanza! Vipi ile taarifa yako ya uongo ya mauaji ziwa victoria ulishapeleka taarifa kwa mabwana zako!Magufuli atakuwa amekufa kabla ya hiyo Oct 2020,jiandae kulia kenge wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
..uchunguzi ukikamilika Polisi wanatakiwa ku-arrest wahusika na kuwapeleka mahakamani.
..kama TL anahusika, basi Polisi wanatakiwa watoe warrant ya kimataifa ili popote alipo arudishwe nchini kujibu mashtaka.
..mwisho, Polisi wanatakiwa wamkamate aliyeondoa walinzi area D. Kwa vyovyote vile mhusika huyo anawajua waliopanga ugaidi ule.
Hivi kwako ubunge ni muhimu sana kuliko uhai?Waumie kwa lipi? Huyo msaliti wakati hata ubunge hana tena!
Ndiyo
Siku zake zikifika ataondoka tu kama wewe utavyoondoka!
Kwani Kenya umesharudi? Vipi biashara yako ya bia hapo Kenya? Imebuma au?Tunamlinda wenyewe na baadhi ya TISS wacha Mungu, jaribuni tena kumuua, this time mtakwisha wote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ngonjera za kuondoa walinzi hata wenzako hawazizungumzii tena kwa sababu wanajua wanaweza kuja kuitwa waeleze ni lini hao walinzi na CCTV zao zilikuwepo tangu nyumba zimejengwa na hawatakuwa na jibu
Jiwe ana miaka minne na nusu tu madarakani. Na ninaamini 2025 atakabidhi kijiti cha Urais na Umwenyekiti kwa mwana CCM mwingine. Ninyi huko Ufipa mnajiapiza hakuna mtu mwingine kuwa Mwenyekiti zaidi ya Mbowe Hata kwa kuvunja Katiba ya chama chenu. Hapo nani kashikiwa akili?Unachekesha dogo unadhani kila mtu yuko kama wewe uliye kabidhi akili kwa chakubanga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe ana miaka minne na nusu tu madarakani. Na ninaamini 2025 atakabidhi kijiti cha Urais na Umwenyekiti kwa mwana CCM mwingine. Ninyi huko Ufipa mnajiapiza hakuna mtu mwingine kuwa Mwenyekiti zaidi ya Mbowe Hata kwa kuvunja Katiba ya chama chenu. Hapo nani kashikiwa akili?
Ndio. Jiwe! Lipige konzi uone!!!!