Je, Lissu yupo nchini?

Hakika naamini ulinzi huo ndiyo ulio muweka hai hadi sasa maana kama mungu akisema yes hakuna mswahili wa kusema no
Lissu yupo nje ya Tanzania ila karibu kabisa na Tanzania na ana ulinzi husika wa nchi aliyopo. Sasa mtu alete ujinga kama hajachapwa mchana kweupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amina Amina
Sent using Jamii Forums mobile app
 
eeh yuko nyumbani kwa Lema

LISSU HAJI LEO WALA KESHO. ANAJUA KESI INAMSUBIRI KUHUSU KUSHAMBULIWA KWAKE. JE DEREVA WAKE NAYE KAJA? AU ANADHANI KUKOSEKANA KWA DEREVA WAKE NDIO HATASHTAKIWA? ILA WAKIWEPO WOTE WAWILI KESI NDIO ITANOGA NA ITACHUKUA MUDA MFUPI KUMALIZIKA.
 
LISSU HAJI LEO WALA KESHO. ANAJUA KESI INAMSUBIRI KUHUSU KUSHAMBULIWA KWAKE. JE DEREVA WAKE NAYE KAJA? AU ANADHANI KUKOSEKANA KWA DEREVA WAKE NDIO HATASHTAKIWA? ILA WAKIWEPO WOTE WAWILI KESI NDIO ITANOGA NA ITACHUKUA MUDA MFUPI KUMALIZIKA.

..aliyeondoa walinzi ktk nyumba za viongozi wa serikali na bunge, mahali aliposhambuliwa Tundu Lissu, anawajua waliopanga na kutekeleza shambulizi lile.

..mhusika huyo akikamatwa na kuhojiwa vizuri haitachukua muda mrefu kuwakamata waliohusika.
 
Teh teh teh at ana ulinzi imara nchi jirani, yeye aje tu hatuna haja naye wala hana athari yoyote, kama mnadhani ni turufu basi ni garasa MTz hadanganyiki, kipindi ambacho mtashangazwa mpaka mbaki midomo wazi ni 2020, niliwapa ushauri wa bure wapinzani wote pendekezeni tu kusiwepo uchaguzi hiyo fedha iongeze upatikanaji wa maji vijijini. kwa ninyi kushinda ndoto mkipata hata majimbo 5 mje niwape zawadi.
 
Hakuna mpinzani mwenye muda mchafu wa kusikiliza muimba taarabu wa lumumba kama wewe.

Cha msingi elewa kuwa Lissu ndiyo kapona tayari na ndiye rais wako ajae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakufa na stress mkuu kunywa maji. Wewe ulitaka lazima tupate hizo $190B tu. Kwa taarifa yako benefit tulizopata kwa sasa hivi ni zaidi ya hiyo $190B ila kwa kuwa akili yako ni fupi kama ulivyo mfupi ndiyo maana huwezi elewa na huyo msaliti mwenzio Lissu. Si mlisema tutashitakiwa na hizo Miga zenu! Sasa hamna tena hoja zaidi ya propaganda zenu tu. Ngoja tusubiri uchaguzi October 2020 tuifute kabisa hii Saccos na Mwenyekiti wenu wa kudumu ameshajua kuwa saccos ina kwenda kufutika TZ ndiyo maana akakimbia haraka haraka kwenda Mwanza kwenye Sherehe za Uhuru kwenda kuomba maridhiano kwa kuwa anaona mbeleni ruzuku ina kwenda kupotea! HAPA KAZI TU!
 
Hadi sasa watu wanateseka sana na kuweweseka kisa kuona picha za mh Lissu Makamu wa mwenyekiti wa cdm.

Je tayari amesha tua hapa nchini? Tafadhali tupeane habariView attachment 1327501View attachment 1327502

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli hapo ni Tanzania na Lissu amerudi japo kimya kimya, ama kweli huyu atakuwa ni shujaa wa ukweli hata Nelson Mandela atasubiri!.

Kumbukumbu yangu ya mwisho nilisikia tuu mipango ya Chadema retreat Nairobi, nikaelewa sababu ya retreat hiyo kufanyikia nje ya nchi.

P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…