Je, Lissu yupo nchini?

Mungu akuhurumie sana wewe mpiga filimbi wa mfalme wa Ujuhani.Huna namna, maana pasipo hicho ukifanyacho familia haiwezi kwenda chooni.Najua hupendi kujitoa ufahamu, lakini imekulazimu.Najua wakati wa mfalme mwingine,hautokuwa wewe tena wa leo hii.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TA-1024 using Tapatalk
 
Kidole cha sugu hakina pete ya ndoa,bado hajatua
 
Hao bila kusifu hawawezi kuishi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao bila kusifu hawawezi kuishi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri kumbe Kuna watu walipanga! Tusaidie kujua walipo Kisha wakamatwe washitakiwe ...kama Ni blaablaa acha mara moja utasokomezwa hadharani chupa Za cocacola

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyetekeleza movie hiyo anaye huko Ubeligiji ie dreva wake. Hawezi kurudi Tz maana tutamkamata na kumfikisha mahakamani akataje washirika wa hiyo movie. Washirika wanagharamia kukaa kwake ubeligiji. Unapaswa kuelewa haya by connecting the dots. It is a very simple logic. Why do you think the driver is still in Belgium? Who is paying for his upkeep there and for what reason?
 
Aliyetekeleza movie hiyo anaye huko Ubeligiji ie dreva wake. Hawezi kurudi Tz maana tutamkamata na kumfikisha mahakamani akataje washirika wa hiyo movie. Washirika wanagharamia kukaa kwake ubeligiji. Unapaswa kuelewa haya by connecting the dots.
Nenda ka connect uharo wako huko Lumumba, acha kuandika usiyoyajuwa hapa.
 
Nenda ka connect uharo wako huko Lumumba, acha kuandika usiyoyajuwa hapa.
Haya wewe unayeyajua, tuambie kwa nini dreva wake bado yuko Ubeligiji? Anafanya nini huko na ni nani analipia gharama za kuishi kwake huko? Kwa nini kaacha mke na watoto wake tanzania? Wanajua akirudi Tz atawataja wote walioshiriki katika tukio hilo la kigaidi.
 
Unaweza na wewe ukatuambia kwa nini Mama yako mzazi anampelekea chakula na kumgulia nguo yule jirani yenu nyumba ya 2 wakati baba yako hayuko.
 
Usisahau pia wewe ndiye utakuwa mtu wa kwanza kutajwa maana unaonekana unakumbuka kila kitu kilicho tokea siku hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu kama unaelewa hivyo unashindwa nini kuishauri serekele mkaenda huko kumkamata huyo dereva?
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Now you are talking. Precisely you are describing yourself. Keep on
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…