Je, Lissu yupo nchini?

Si alisema usalama wake uko hatarini? Au alikuwa anachezesha kwata wanasaccos wa Chadema ili aendelee kula ruzuku za chama huko kwa mabeberu Ubelgiji??
Ulitegemea utaongea nn kama si kujinyeanyea baada ya kuona Mwamba LISSU kiboko ya Meko na fisiem wote katua mjengoni💪✌✌
 
Si alisema usalama wake uko hatarini? Au alikuwa anachezesha kwata wanasaccos wa Chadema ili aendelee kula ruzuku za chama huko kwa mabeberu Ubelgiji??
Fisiem mnashida sana hamlali skuizi kisa Sacos ya Mbowe inawatesa usingizi kwishneh. Mshukuru policcm
 
Lissu mwisho wake kenya
Hao viongozi wa chadema wapo picnic kenya wakitafuna ruzuku,ndipo wanapokutana huko,wakimaliza Lissunatarudi zake kwenye ukimbizi wa uchumi ubeleshi
 
Jipeni matumaini lkn mtambuwe hamuwezi kushindana na nguvu ya Mungu
 
Kama Kikao cha Kamati Kuuu ya Chadema kinafanyikia Nairobi kwa kumfuata Lissu, Wana-Chadema tusahau kujenga Ofisi Kuu ya Chama tutaendelea kuwa wapangaji kwenye kile choo cha Ufipa
 
Tuatazama matokeo ya utawala wala siyo ofisi, ccm mna maofisi ya kifahari kote nchini lkn hakuna mlicho kifanya kwa zaidi ya miaka 58
Kama Kikao cha Kamati Kuuu ya Chadema kinafanyikia Nairobi kwa kumfuata Lissu, Wana-Chadema tusahau kujenga Ofisi Kuu ya Chama tutaendelea kuwa wapangaji kwenye kile choo cha Ufipa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mapovu yanakutoka baada ya kumuona mh Lissu akiwa hai, huyo ndiye rais wako ajaye
Lissu mwisho wake kenya
Hao viongozi wa chadema wapo picnic kenya wakitafuna ruzuku,ndipo wanapokutana huko,wakimaliza Lissunatarudi zake kwenye ukimbizi wa uchumi ubeleshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa mwana lumumba akili yako inazungukwa na ukungu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…