Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

Ni wakati sasa wa Mh. Rais kuangalia Upya Teuzi zake, Lissu na Kibatala kwa sasa ndio Wanasheria Bora Kabisa Tanzania, na Pengine East Africa. Namshauri Mkuu awape tu hizo Nafasi, maana Sioni wanasheria wa Serikali wenye uwezo wa kupambana na hawa Jamaa.
Ingawa siyo kweli Lissu Na Kibatala ndo wansheria bora kuliko wote Tz, inawezekana huwafahamu wanasheria. Anyway my concern Ni kuhusu huo Ushauri wako, aisee Ni umeenda shule, yaani mambo yangenyooka Sana National Prosecution Service Na bifu za kisiasa zingepungua
 
Binafsi nilitegemea Lissu maana Dr slaa wangetumia mara kaiba mke wa mtu au kwa waislamu watasema ni padre ametumwa na Vatican, kimsingi ni vigumu kushinda, Lissu naamini angetoboa, hana kashfa, si wa kaskazini kwa propaganda ya ccm, siyo mzee wala kijana, cv yake haina unafiki, etc etc, mbali na haya yote Lissu hawezi kuibiwa kura akakaa kimpya maana haki itadaiwa kwa gharama yeyote ile. Mbowe umefanya kazi kubwa, umetoa mchango mkubwa, TUNAOMBA rusha kijiti kwa Lissu, tuko tayari kwa mapambano

...kwa Lissu naamini hata Lowassa atamkubali...the guy has big time guts... Nadhani JPM hajamjua Lissu vema....amuuluze JK..na Mkapa...wanamjua vema Lissu....serikali ya JPM wakicheza hovyo na Lissu watalipa gharama kubwa...
 
Lisu kama anadhani anaweza kuwa Rais wa nvhi hii anapoteza muda. Hana mvuto, hana busara, na pia hana hata kigezo tu cha kuwa Baba bora wa familia yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom