Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

Kwani huyu tulie nae ana vitu gani ambavyo ni very peculiar ambavyo mtu kama Tundu Lissu hana??
Tena bora mtu kama Lissu anaweza kuwa Rais mzuri wa kufata utawala bora na utawala wa Sheria sio kama ilivyo sasa ubabe ubabe tu.
 
Tundu Lissu anatosha kuvaa viatu vya UKAWA 2020. Katuonyesha kwa vitendo ni jinsi gani anavyowatetea watanzania bila kujali uwezo wao.
Kwa kujieleza anaweza umri unamruhusu mikikimikiki yote anayaweza.
Hakika Lissu 2020 anatosha.
Labda urais wa TFF
 
Mkitaka muangukie pua tena vibaya mno basi mumsimamishe huyo mropokaji, ina maana hamna back benchers wenye sifa??
 
UOTE="Kuntakint, post: 18495159, member: 55462"]Tundu Lissu anatosha kuvaa viatu vya UKAWA 2020. Katuonyesha kwa vitendo ni jinsi gani anavyowatetea watanzania bila kujali uwezo wao.
Kwa kujieleza anaweza umri unamruhusu mikikimikiki yote anayaweza.
Hakika Lissu 2020 anatosha.[/QUOTE]
Hii ni hoja nzuri sana na tumjengee mtandao huo utakaowezesha tusipoteze kiongozi huyu.. Naunga mkono hoja na atafanya makubwa.. tumpe nafasi the Lisu kwa ujenzi wa taifa imara..
 
Hafai naye muongo muongo kama ccm.
Alituhubiria akina flani mafisadi leo kawakumbatia anadai wanaowasema aliowhubiri mafisadi walete ushahidi wakati mwanzo yeye alisema anao.
 
Lissu somehow but nadhan kuna mambo anayakiwa aweke sawa ili watu wamwini na kumpa nafasi ya kugombea urais
 
Lowassa hawezi kukubali pesa yake ipotee bure.Alipokinunua chama aliwaambia atakuwa mgombea wa kudumu.
 
..YES.

..Kwa sasa hivi hapa Tz hakuna mwanasiasa mwenye kipaji cha siasa na harakati kama Tundu Lissu.

..Tundu Lissu ana sifa muhimu ya kuweza kujieleza, kujenga hoja, na ushawishi.

..Ukimsikiliza michango yake utagundua kwamba ni mtu anayejisomea sana na kutafiti kabla hajazungumza. Rejea mchango wake kuhusu mswada wa habari.

..Lingine anayo CREDIBILITY. Siyo mtu muoga. Ana historia ya kutetea wanyonge na kupambana na dhuluma ktk jamii.

..Tundu Lissu kama akigombea atakuwa mgombea bora kuliko yoyote yule aliyesimamishwa na vyama vya upinzani.
 
Pia ni muongo muongo siyo wa kumuamini anaweza akakwambia ana ushahidi wa jambo flani baadae akakwambia hana ushahidi uulete mwenyewe.
 
Kwani kuwa Rais unatakiwa uwe na nini. je huyu tulienae unamwonaje?? Je anatufaa, nipe vigezo za Urais unavyojua ww
Huyu wa sasa hakuwa na mpango ila akashangaa tu kapewa kiti.
Hata yy ukimuuliza km alijiandaa kuwa raisi hajui.
 
Back
Top Bottom