Je linatoka moyoni?????? Au ndo sitaki nataka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je linatoka moyoni?????? Au ndo sitaki nataka

Discussion in 'Jamii Photos' started by Tangopori, Oct 17, 2012.

 1. Tangopori

  Tangopori JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 1,612
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,288
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  Kama kuna wAtu wana bahati basi mimi naweza kuwa mmoja wao maana enzi zangu walikua wananifuata wenyewe, nakukumbuka sana Gift sijui uko wapi miaka hii
   
 3. g

  geophysics JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Harafu mdada anasoma Jangwani Girls...si umeona skirt yake etieeeee...
   
 4. Mr Q

  Mr Q JF-Expert Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 4,202
  Likes Received: 3,665
  Trophy Points: 280
  yaani hapo Tangopori kama ulishindwa kumaliza mzigo bhaaas!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Oct 18, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,954
  Likes Received: 4,033
  Trophy Points: 280
  afu huyu denti atakuia mnyalu.....huwa was=nasema ..ukiona nauma kidole ujue ndi nimekubali...aghalabu wanawake tukikataa ujue ndi tumekubali...wanyakusya wanasema wewe niangusege tu si ni dhambi zako mwenyewe
   
 6. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #6
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,357
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Ni iringa mzee ndio niangusage
   
 7. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #7
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kidole mdomoni haitoki moyoni hiyo kama kungekuwa na kigizagiza cha usoni mbona na juisi angikunywa.
   
 8. Rosweeter

  Rosweeter JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 1,113
  Likes Received: 3,627
  Trophy Points: 280
  Na kidume ni cha Azania
   
 9. g

  geophysics JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapana ni Ben Mkapa.....secondary....Azania wako smarter than this kid
   
 10. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,516
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 180
  Siku hizi hiyo sio ishu hata mabaa medi wanavaa hizo, we jichangaje ukijua denti umeliwa.
   
 11. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,516
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 180
  Kwani umeona logo ya Azania hapo? Siku hizi hata Veta Makongo wanatupia kitu shati jeupe, tai na trousers blue.
   
 12. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,516
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 180
  Hao ilikuwa ukiwa mkali wa nondo darasani wanakufuata wenyewe uwape tuition. Muda nilikuwa napanga mwenyewe, sasa ngoma ilikuwa isambe nilipofungua camp, tulikuwa tunakesha mpaka asubuhi na ilikuwa baada ya kusoma midamida nini kila msela alikuwa anachagua chemba cha kupumzika na wake.
   
Loading...