Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 464
- 687
Lembrus Mchome na Monalisa Ndala watakumbukwa kuwa ni viongozi wa upinzani walioshirikiana na Msajili wa vyama vya siasa kuvuruga vyama vyao.
Lembrus Mchome aliishitaki CHADEMA kwa msajili, secretariat yote ya chama chake ikafukuzwa.
Kadhalika, Monalisa Ndala ameshitaki ACT kwa msajili, mgombea wao wa urais amefukuzwa.
Swali la muhimu linabaki, hivi hawa bado ni viongozi na makada wa hivi vyama walivyovishitaki? Je, bado wanaaminika na vyama vyao?