We mkuu mbona majibu unayo mwenyewe. Wachina wanamwita mwafrika FeiZhou ren. Angalia nini maana ya Fei kwa kichina. Pili angalia upuuzi unaofanywa na viongozi wetu kuanzia Mugabe, Kikwete, Mwai Kibaki, Gagbo n.k utaona wazi kuwa tuna matatizo katika uzao au vinasaba vyetu. Ukitaka kutatua matatizo ya Afrika basi anza kuonana na mtaalam aliyegundua vinasaba (DNA) akupe siri aliyoficha baada ya kuchunguza vinasaba vyetu na kusema adharani kuwa Waafrika hawataendelea kama tutawachukulia kama watu wengine. Alinyamaza baada ya kushambuliwa na makundi ya kijamii. Sikiliza hotuba za viongozi wetu na uone jinsi wasivyokuwa na vipa umbele - wasivyojua namna ya kukabiliana na changamoto!! Well, Mie nakushauri uchanganye damu na wezetu wa ulaya au Asia na mtoto apate vinasaba vya upande wa pili ili kuondokana na matatizo hayo.

No one can make you feel inferior without your consent [1].
Quotes Cited
[1] Eleanor Roosevelt
Ila utani pembeni, kuna ukweli fulani hapa. Na huhitaji kwenda mbali kuuona. Angalia tu humo uraiani tunavyoishi. Watu wenye akili kamwe hawawezi kuishi hivyo tunavyoishi sisi.
We mkuu mbona majibu unayo mwenyewe. Wachina wanamwita mwafrika FeiZhou ren. Angalia nini maana ya Fei kwa kichina. Pili angalia upuuzi unaofanywa na viongozi wetu kuanzia Mugabe, Kikwete, Mwai Kibaki, Gagbo n.k utaona wazi kuwa tuna matatizo katika uzao au vinasaba vyetu. Ukitaka kutatua matatizo ya Afrika basi anza kuonana na mtaalam aliyegundua vinasaba (DNA) akupe siri aliyoficha baada ya kuchunguza vinasaba vyetu na kusema adharani kuwa Waafrika hawataendelea kama tutawachukulia kama watu wengine. Alinyamaza baada ya kushambuliwa na makundi ya kijamii. Sikiliza hotuba za viongozi wetu na uone jinsi wasivyokuwa na vipa umbele - wasivyojua namna ya kukabiliana na changamoto!! Well, Mie nakushauri uchanganye damu na wezetu wa ulaya au Asia na mtoto apate vinasaba vya upande wa pili ili kuondokana inatena matatizo hayo.
Ila utani pembeni, kuna ukweli fulani hapa. Na huhitaji kwenda mbali kuuona. Angalia tu humo uraiani tunavyoishi. Watu wenye akili kamwe hawawezi kuishi hivyo tunavyoishi sisi.
Nafikiri unge-rephrase swali lako, liwe wazi kuwa unauliza kwanini tupo nyuma. Sisi sahihi kusema tuna mtindio wa akili- Sisi sio vichaa bwana. Na je watu weusi waliotoka Afrika na wanafanya kazi kwenye nchi zilizoendelea unawaonaje? nao wana mtindio wa akili?
Africa inasumbuliwa na uongozi mbaya, na ukosefu wa uzalendo kwa raia, na tamaa/choyo za baadhi ya watu wanaopenda kujinufaisha wenyewe. Lakini si suala la mtindio wa akili!
Si kweli, ukizungumzia DNA inaonyesha asili ya watu wote duniani ni Africa! even whites originated from Africa!! find literature conceerning very DNA start with
African Origin of Modern Chinese
you may ask questions : peruse Ok so if we all originate from africa than how come? - Yahoo! Answers
If humanity originated in Africa, why do white people ...? - Yahoo! Answers
is undeniable facts!!
hizo statement ni za miaka mingi na haziko scientific mkuu!
Naona mkuu wamekufikisha pale pale, ndivyo tulivyo!
I did research, I perused, I did read books, etc you know it is real amazing.I once was in certain country, I found myself whites are not bright as we think! but what actuall makes us 'NDIVYO TULIVYO'
1. Geographical Position
In tropical where climates is favourably people tend to relax, those developed countries have passed through difficult times of natural calamities, coldness etc, made them who they are today! However this does not mean our brain are 'dormant' no we can easily copy with any situation and we can live anywhere.
hatuna majanga, tuna majira yote ya mwaka, tuna chakula, tunalala popote, tuna almost kila kitu for basic need!! what more do we need? tv? computer? road? no..
kudhihirisha kuwa Africa ni nzuri ndio maana tuna hata mbuga za wanyama! actuall africa especially Tz is garden!!! why not! zinjathropous was dicovered in africa
Sina muda wa kueleza kuhusu...
2. Slave trade/colonization
3. Religion
4.Education system
ambavyo vilikuja baada ya mazingira ya first point!!!
But believe me African are clever! they are JUST RELAXING and they tend to learn things from pain!!
Huwa nawahurumia watu humu wakisema fulani ataleta maendeleo!!!! that should start from our homes!

Kuna tatizo, hata hao waafrika walioko ulaya ukiangalia zaidi wakiachwa peke yao hawawezi deliver kama wanavyokuwa wameshikiliwa na kuwa remote control kwa mweupe.
Nitakubaliana na wewe, kama ukisema hiyo climate yetu imetuingia mpaka imeathiri kabisa na sasa limekuwa ni tatizo la kiyansi ambalo hata dna inaweza kuliona. Si unajua tatizo likikaa sana linabadirika linakuwa la ki-genetic.
Wabs, kwa nini Afrika Kusini imeendelea kuliko nchi zingine zote za Afrika kusini mwa Sahara?
Kweli kabisa mkuu let me add one point in regard na waafrika kupenda kujilimbikizia mali na kutotosheka na wanachopata1. Geographical Position
2. Slave trade/colonization
3. Religion
4.Education system
Watu wengine watasema REUNION ndo mnyama gani , ngoja niwape kidogo ka intro
Réunion (French: La Réunion, IPA: [la ʁeynjɔ̃] ( listen); previously Île Bourbon) is a French island of about 800,000 population located in the Indian Ocean, east of Madagascar, about 200 kilometres (120 mi) south west of Mauritius, the nearest island. Since August 2010, the Pitons, Cirques and Remparts of the island, covering more than 40% of its territory, feature on UNESCO's World Heritage List.
Kweli kabisa mkuu let me add one point in regard na waafrika kupenda kujilimbikizia mali na kutotosheka na wanachopata
5. Extended Families
Kutokana na jamii zetu kuwa na ukaribu, Ukipata cheo au wadhifa sehemu fulani kuna watu kama milioni moja wanategemea uwasaidie.... marafiki, ndugu, majirani.... hata yule mjukuu wa rafiki ya bibi ambaye bibi yake alikubeba siku moja ulipokuwa mtoto...
Watu hawa wanaona its your obligation to help them not because of their know how, but just because you know them.. Kwahiyo hii inaleta kupeana tenda kindugu... na kutafuta madeal ili uweze kukizi mahitaji ya jamii yako ya karibu.... wenzetu europeans they just take care of their children till they are 18 then off the children goes... wakizeeka wanakwenda kwenye care homes no really need ya kulimbikiza mali for the future.
To prove my point there is a story about Marcel Desailly.. The Ghanian French International Football Player...... Huyu jamaa alipokuwa Chelsea alikuwa ni top earner... alikuwa analipwa pesa nyingi kuliko mtu yeyote, Sasa kila mara alikuwa anamfata Manager wake (Gianlucca Vialli) na kudai ili aogezewe mshahara... Basi baada ya kumsumbua sana vialli, kuna siku ikabidi amuite amuulize..... Hivi wewe kwanini unatamaa hivi wewe unalipwa kuliko mtu yeyote alafu bado unataka tu mshahara zaidi, vipi? Desailly akamjibu kuwa hata ukinipa mshahara kama huu mara mbili bado hautoshi..... Kuna watu kama laki tano Ghana wote wananitegemea mimi.......
Ni kisiwa cha Wafaransa kumbe....na Wafaransa ni wazungu.