Je, kweli kwamba afrika ni bara la wenye mtindio wa akili?

Papa D

Papa D

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
694
Likes
13
Points
35
Papa D

Papa D

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
694 13 35
Jamani wana JF, mataifa ya ulaya wanaamini Afrika ni bara la giza. Kuna baadhi ya nchi za Asia wanaamini Afrika ni Bara la watu waliochaganyikwa, wasiojua kipi kizuri na kipi kibaya, Wao wanajiendea tu bila kujua wanapokanyaga. Hawa Waasia wameenda mbali zaidi kwa kusema kwamba Waafrika wana hali hiyo kwa sababu wanachomwa na mionzi ya jua katika masaa mengi ya siku. JE, HOJA HII INA UKWELI WOWOTE? Kama si kweli kwanini mambo yetu kuanzia kwa wasomi wenye elimu zao hadi wale wa chini wanatenda mambo yasio na upeo? NA kama ni kweli Je, tufanye nini ili kuondokana na adha hii inayotudhalilisha mbele ya mabara mengine?
 
Omuregi Wasu

Omuregi Wasu

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Messages
753
Likes
4
Points
35
Omuregi Wasu

Omuregi Wasu

JF-Expert Member
Joined May 21, 2009
753 4 35
We mkuu mbona majibu unayo mwenyewe. Wachina wanamwita mwafrika FeiZhou ren. Angalia nini maana ya Fei kwa kichina. Pili angalia upuuzi unaofanywa na viongozi wetu kuanzia Mugabe, Kikwete, Mwai Kibaki, Gagbo n.k utaona wazi kuwa tuna matatizo katika uzao au vinasaba vyetu. Ukitaka kutatua matatizo ya Afrika basi anza kuonana na mtaalam aliyegundua vinasaba (DNA) akupe siri aliyoficha baada ya kuchunguza vinasaba vyetu na kusema adharani kuwa Waafrika hawataendelea kama tutawachukulia kama watu wengine. Alinyamaza baada ya kushambuliwa na makundi ya kijamii. Sikiliza hotuba za viongozi wetu na uone jinsi wasivyokuwa na vipa umbele - wasivyojua namna ya kukabiliana na changamoto!! Well, Mie nakushauri uchanganye damu na wezetu wa ulaya au Asia na mtoto apate vinasaba vya upande wa pili ili kuondokana na matatizo hayo.
 
Nanren

Nanren

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2009
Messages
1,789
Likes
235
Points
160
Nanren

Nanren

JF-Expert Member
Joined May 11, 2009
1,789 235 160
Nafikiri unge-rephrase swali lako, liwe wazi kuwa unauliza kwanini tupo nyuma. Sisi sahihi kusema tuna mtindio wa akili- Sisi sio vichaa bwana. Na je watu weusi waliotoka Afrika na wanafanya kazi kwenye nchi zilizoendelea unawaonaje? nao wana mtindio wa akili?

Africa inasumbuliwa na uongozi mbaya, na ukosefu wa uzalendo kwa raia, na tamaa/choyo za baadhi ya watu wanaopenda kujinufaisha wenyewe. Lakini si suala la mtindio wa akili!
 
Ikimita

Ikimita

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2010
Messages
302
Likes
5
Points
35
Ikimita

Ikimita

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2010
302 5 35
We mkuu mbona majibu unayo mwenyewe. Wachina wanamwita mwafrika FeiZhou ren. Angalia nini maana ya Fei kwa kichina. Pili angalia upuuzi unaofanywa na viongozi wetu kuanzia Mugabe, Kikwete, Mwai Kibaki, Gagbo n.k utaona wazi kuwa tuna matatizo katika uzao au vinasaba vyetu. Ukitaka kutatua matatizo ya Afrika basi anza kuonana na mtaalam aliyegundua vinasaba (DNA) akupe siri aliyoficha baada ya kuchunguza vinasaba vyetu na kusema adharani kuwa Waafrika hawataendelea kama tutawachukulia kama watu wengine. Alinyamaza baada ya kushambuliwa na makundi ya kijamii. Sikiliza hotuba za viongozi wetu na uone jinsi wasivyokuwa na vipa umbele - wasivyojua namna ya kukabiliana na changamoto!! Well, Mie nakushauri uchanganye damu na wezetu wa ulaya au Asia na mtoto apate vinasaba vya upande wa pili ili kuondokana na matatizo hayo.
Kweli mkuu, nakubali. Aliyetuumba alitufanya sisi wa mwisho, aliokoteza okoteza mpaka tukakamilika. Sio bora sana kama wale wa mwanzo. Hata elimu zetu hazitusaidii, tunakimbiza domo lakini nafsi ipo kwinginee. Unatoka Havard unakwenda moja kwa moja kuiba.
 
Zakumi

Zakumi

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2008
Messages
4,820
Likes
336
Points
180
Zakumi

Zakumi

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2008
4,820 336 180
We mkuu mbona majibu unayo mwenyewe. Wachina wanamwita mwafrika FeiZhou ren. Angalia nini maana ya Fei kwa kichina. Pili angalia upuuzi unaofanywa na viongozi wetu kuanzia Mugabe, Kikwete, Mwai Kibaki, Gagbo n.k utaona wazi kuwa tuna matatizo katika uzao au vinasaba vyetu. Ukitaka kutatua matatizo ya Afrika basi anza kuonana na mtaalam aliyegundua vinasaba (DNA) akupe siri aliyoficha baada ya kuchunguza vinasaba vyetu na kusema adharani kuwa Waafrika hawataendelea kama tutawachukulia kama watu wengine. Alinyamaza baada ya kushambuliwa na makundi ya kijamii. Sikiliza hotuba za viongozi wetu na uone jinsi wasivyokuwa na vipa umbele - wasivyojua namna ya kukabiliana na changamoto!! Well, Mie nakushauri uchanganye damu na wezetu wa ulaya au Asia na mtoto apate vinasaba vya upande wa pili ili kuondokana na matatizo hayo.
No one can make you feel inferior without your consent [1].

Quotes Cited
[1] Eleanor Roosevelt
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,848
Likes
46,319
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,848 46,319 280

And you'd be a stupid fool to give anyone that consent.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,848
Likes
46,319
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,848 46,319 280
Ila utani pembeni, kuna ukweli fulani hapa. Na huhitaji kwenda mbali kuuona. Angalia tu humo uraiani tunavyoishi. Watu wenye akili kamwe hawawezi kuishi hivyo tunavyoishi sisi.
 
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
4,003
Likes
1,443
Points
280
Mwanamageuko

Mwanamageuko

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2010
4,003 1,443 280
yaani mliosoma china matata sana' imenibidi nicheke tu. kwa maana matamshi ya neno lile la kichina linalomaanisha Afrika, aidha maana yake hubaki kama ilivyo, ila linapotumika kwa maana nyingine ndipo unalomaanisha huja!!:teeth: Ni kama taa, ikiwa mtu yu baharini akaomba kupewa taa mchana hapewi karabai :teeth:

Tatizo ni uthubutu na njia za kufungia milango wezi, wengi kama bado wanadhani maisha yako ulaya na nje ya afrika ni lini maendeleo yatapatikana mwadhani?
ikiwa leo ajira za wataalamu ndani wakubwa wanapinga mishahara halisi isilipwe mwatarajia nini?
ikiwa wataalamu wa ndani wanapendekeza mambo yanayostahili kwa mazingira yetu yanapingwa ili watu wa nje walipwe mabilioni ya ushauri kwa mambo wasioyajua (hapa tazameni mfano wa Kihansi na tatizo letu la umeme hii leo)
na endeleeni na kasoro za namna hiyo ziko sehemu ngapi? Huku mkikumbuka wenzetu mtu anafanya jambo hata kama hajafaulu vilivyo wao hupeana moyo (welldone!) hivyo mtu hakati tamaa. Lakini sivyo kwetu. Wako wanaoharibu si kwa maana ya utafiti. Wanaharibu wakiwa katika utekelezaji kwa maana si fani zao walio wengi, wanakwenda kwa ubaba na ujomba.
kumbukeni MIAKA YA SABINI KAMPUNI ZA NJE ZILIWEKEZA TANZANIA MIONGONI MWAO NI PHILIPS NA NATIONAL/PANASONIC kwa wakati mmoja na nchi za Asia kama malaysia na singapore leo hii wenzetu wamepaa sisi tumebaki na magofu na kutengeneza betri - kutoka kwenye Radio. Wako wanaokumbuka!!!!!!!!!!:teeth: Tuna matatizo mengi, na yote yanasababishwa na siasa mbovu.
NDIO MAANA NASISITIZA TENA "HAPA NDIPO WALE IJAPOKUWA WAMETOKA KULE LAKINI WOOTE WENYE KALE KADAMU NNAPOKUWA NA MASHAKA NAO" Mtanisamehe kwa hilo
 
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Messages
7,373
Likes
1,524
Points
280
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2007
7,373 1,524 280
Ila utani pembeni, kuna ukweli fulani hapa. Na huhitaji kwenda mbali kuuona. Angalia tu humo uraiani tunavyoishi. Watu wenye akili kamwe hawawezi kuishi hivyo tunavyoishi sisi.
Nenda london ukaone maeneo wanaoishi weusi panatisha kwa uchafu, acha hapo na kama uko paris (si vous êtes à Paris), utakuna na slums kama za kibera. Ukweli mie naona kuna tatizo tulikubalini kwanza
 
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined
Aug 3, 2008
Messages
12,506
Likes
4,879
Points
280
Waberoya

Waberoya

Platinum Member
Joined Aug 3, 2008
12,506 4,879 280
We mkuu mbona majibu unayo mwenyewe. Wachina wanamwita mwafrika FeiZhou ren. Angalia nini maana ya Fei kwa kichina. Pili angalia upuuzi unaofanywa na viongozi wetu kuanzia Mugabe, Kikwete, Mwai Kibaki, Gagbo n.k utaona wazi kuwa tuna matatizo katika uzao au vinasaba vyetu. Ukitaka kutatua matatizo ya Afrika basi anza kuonana na mtaalam aliyegundua vinasaba (DNA) akupe siri aliyoficha baada ya kuchunguza vinasaba vyetu na kusema adharani kuwa Waafrika hawataendelea kama tutawachukulia kama watu wengine. Alinyamaza baada ya kushambuliwa na makundi ya kijamii. Sikiliza hotuba za viongozi wetu na uone jinsi wasivyokuwa na vipa umbele - wasivyojua namna ya kukabiliana na changamoto!! Well, Mie nakushauri uchanganye damu na wezetu wa ulaya au Asia na mtoto apate vinasaba vya upande wa pili ili kuondokana inatena matatizo hayo.
Si kweli, ukizungumzia DNA inaonyesha asili ya watu wote duniani ni Africa! even whites originated from Africa!! find literature conceerning very DNA start with
African Origin of Modern Chinese

you may ask questions : peruse Ok so if we all originate from africa than how come? - Yahoo! Answers
If humanity originated in Africa, why do white people ...? - Yahoo! Answers

is undeniable facts!!

hizo statement ni za miaka mingi na haziko scientific mkuu!

Ila utani pembeni, kuna ukweli fulani hapa. Na huhitaji kwenda mbali kuuona. Angalia tu humo uraiani tunavyoishi. Watu wenye akili kamwe hawawezi kuishi hivyo tunavyoishi sisi.
Naona mkuu wamekufikisha pale pale, ndivyo tulivyo!

Nafikiri unge-rephrase swali lako, liwe wazi kuwa unauliza kwanini tupo nyuma. Sisi sahihi kusema tuna mtindio wa akili- Sisi sio vichaa bwana. Na je watu weusi waliotoka Afrika na wanafanya kazi kwenye nchi zilizoendelea unawaonaje? nao wana mtindio wa akili?

Africa inasumbuliwa na uongozi mbaya, na ukosefu wa uzalendo kwa raia, na tamaa/choyo za baadhi ya watu wanaopenda kujinufaisha wenyewe. Lakini si suala la mtindio wa akili!
I did research, I perused, I did read books, etc you know it is real amazing.I once was in certain country, I found myself whites are not bright as we think! but what actuall makes us 'NDIVYO TULIVYO'

1. Geographical Position

In tropical where climates is favourably people tend to relax, those developed countries have passed through difficult times of natural calamities, coldness etc, made them who they are today! However this does not mean our brain are 'dormant' no we can easily copy with any situation and we can live anywhere.

hatuna majanga, tuna majira yote ya mwaka, tuna chakula, tunalala popote, tuna almost kila kitu for basic need!! what more do we need? tv? computer? road? no..

kudhihirisha kuwa Africa ni nzuri ndio maana tuna hata mbuga za wanyama! actuall africa especially Tz is garden!!! why not! zinjathropous was dicovered in africa

Sina muda wa kueleza kuhusu...

2. Slave trade/colonization
3. Religion
4.Education system

ambavyo vilikuja baada ya mazingira ya first point!!!

But believe me African are clever! they are JUST RELAXING and they tend to learn things from pain!!
Huwa nawahurumia watu humu wakisema fulani ataleta maendeleo!!!! that should start from our homes!
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,848
Likes
46,319
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,848 46,319 280
Si kweli, ukizungumzia DNA inaonyesha asili ya watu wote duniani ni Africa! even whites originated from Africa!! find literature conceerning very DNA start with
African Origin of Modern Chinese

you may ask questions : peruse Ok so if we all originate from africa than how come? - Yahoo! Answers
If humanity originated in Africa, why do white people ...? - Yahoo! Answers

is undeniable facts!!

hizo statement ni za miaka mingi na haziko scientific mkuu!Naona mkuu wamekufikisha pale pale, ndivyo tulivyo!I did research, I perused, I did read books, etc you know it is real amazing.I once was in certain country, I found myself whites are not bright as we think! but what actuall makes us 'NDIVYO TULIVYO'

Wabs, kwa nini Afrika Kusini imeendelea kuliko nchi zingine zote za Afrika kusini mwa Sahara?
 
Naomba kwenda tofauti nawewe
Hizo fact unazoongea mie nafikiri ni defending mechanism tu ndugu yangu. Si kweli, Slave trade, colonialization and the rest ambazo watu weupe wamezipitia huwezi linganisha na chetu hicho cha mtoto.

Kuna tatizo, hata hao waafrika walioko ulaya ukiangalia zaidi wakiachwa peke yao hawawezi deliver kama wanavyokuwa wameshikiliwa na kuwa remote control kwa mweupe.

Nitakubaliana na wewe, kama ukisema hiyo climate yetu imetuingia mpaka imeathiri kabisa na sasa limekuwa ni tatizo la kiyansi ambalo hata dna inaweza kuliona. Si unajua tatizo likikaa sana linabadirika linakuwa la ki-genetic.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,848
Likes
46,319
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,848 46,319 280
Kuna tatizo, hata hao waafrika walioko ulaya ukiangalia zaidi wakiachwa peke yao hawawezi deliver kama wanavyokuwa wameshikiliwa na kuwa remote control kwa mweupe.
Hii ni kweli kabisa. Lakini wana visingizio kibao. Watakwambia 'racism'....mara sijui 'the system'....ili mradi tu wamtupie mwingine lawama.

Nitakubaliana na wewe, kama ukisema hiyo climate yetu imetuingia mpaka imeathiri kabisa na sasa limekuwa ni tatizo la kiyansi ambalo hata dna inaweza kuliona. Si unajua tatizo likikaa sana linabadirika linakuwa la ki-genetic.
Haya ya mambo ya hali ya hewa na yenyewe ni visingizio tu. Mbona wakoloni waliweza kujenga kwa kiasi hayo makoloni yao? Wao waliwezaje?
 
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Messages
7,373
Likes
1,524
Points
280
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2007
7,373 1,524 280
Wabs, kwa nini Afrika Kusini imeendelea kuliko nchi zingine zote za Afrika kusini mwa Sahara?
Teh teh na hili je nchi ambayo iko chini ya ukoloni mtaulaumu ukoloni?

In 2007 the GDP per capita of Réunion at nominal exchange rates, not at PPP, was 17,146 euros (US$23,501).[1] However, while this is exceptionally high compared with its neighbors in Mauritius, Madagascar and the African continent, it is only 57% of the 30,140 euros per capita GDP of metropolitan France in 2007.[2] The total GDP of the island was US$18.8 billion in 2007.[1]
 
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Messages
7,373
Likes
1,524
Points
280
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2007
7,373 1,524 280
Watu wengine watasema REUNION ndo mnyama gani , ngoja niwape kidogo ka intro

Réunion (French: La Réunion, IPA: [la ʁeynjɔ̃] ( listen); previously Île Bourbon) is a French island of about 800,000 population located in the Indian Ocean, east of Madagascar, about 200 kilometres (120 mi) south west of Mauritius, the nearest island. Since August 2010, the Pitons, Cirques and Remparts of the island, covering more than 40% of its territory, feature on UNESCO's World Heritage List.
 
VoiceOfReason

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Messages
5,234
Likes
59
Points
0
VoiceOfReason

VoiceOfReason

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2010
5,234 59 0
1. Geographical Position
2. Slave trade/colonization
3. Religion
4.Education system
Kweli kabisa mkuu let me add one point in regard na waafrika kupenda kujilimbikizia mali na kutotosheka na wanachopata
5. Extended Families
Kutokana na jamii zetu kuwa na ukaribu, Ukipata cheo au wadhifa sehemu fulani kuna watu kama milioni moja wanategemea uwasaidie.... marafiki, ndugu, majirani.... hata yule mjukuu wa rafiki ya bibi ambaye bibi yake alikubeba siku moja ulipokuwa mtoto...

Watu hawa wanaona its your obligation to help them not because of their know how, but just because you know them.. Kwahiyo hii inaleta kupeana tenda kindugu... na kutafuta madeal ili uweze kukizi mahitaji ya jamii yako ya karibu.... wenzetu europeans they just take care of their children till they are 18 then off the children goes... wakizeeka wanakwenda kwenye care homes no really need ya kulimbikiza mali for the future.

To prove my point there is a story about Marcel Desailly.. The Ghanian French International Football Player...... Huyu jamaa alipokuwa Chelsea alikuwa ni top earner... alikuwa analipwa pesa nyingi kuliko mtu yeyote, Sasa kila mara alikuwa anamfata Manager wake (Gianlucca Vialli) na kudai ili aogezewe mshahara... Basi baada ya kumsumbua sana vialli, kuna siku ikabidi amuite amuulize..... Hivi wewe kwanini unatamaa hivi wewe unalipwa kuliko mtu yeyote alafu bado unataka tu mshahara zaidi, vipi? Desailly akamjibu kuwa hata ukinipa mshahara kama huu mara mbili bado hautoshi..... Kuna watu kama laki tano Ghana wote wananitegemea mimi.......
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
80,848
Likes
46,319
Points
280
Age
28
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
80,848 46,319 280
Watu wengine watasema REUNION ndo mnyama gani , ngoja niwape kidogo ka intro

Réunion (French: La Réunion, IPA: [la ʁeynjɔ̃] ( listen); previously Île Bourbon) is a French island of about 800,000 population located in the Indian Ocean, east of Madagascar, about 200 kilometres (120 mi) south west of Mauritius, the nearest island. Since August 2010, the Pitons, Cirques and Remparts of the island, covering more than 40% of its territory, feature on UNESCO's World Heritage List.
Ni kisiwa cha Wafaransa kumbe....na Wafaransa ni wazungu.
 
S

seniorita

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
674
Likes
4
Points
0
S

seniorita

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
674 4 0
we have a choose of how we should be looked upon or treated by other nations; in other words, we also have a part to play in creating our low self esteem....of course history has its major part as well...but we can change, and we should change...dont let no one look down upon you because we are all God's precious creation-created in God's own image and likeness...
 
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Messages
7,373
Likes
1,524
Points
280
M

MkamaP

JF-Expert Member
Joined Jan 27, 2007
7,373 1,524 280
Kweli kabisa mkuu let me add one point in regard na waafrika kupenda kujilimbikizia mali na kutotosheka na wanachopata
5. Extended Families
Kutokana na jamii zetu kuwa na ukaribu, Ukipata cheo au wadhifa sehemu fulani kuna watu kama milioni moja wanategemea uwasaidie.... marafiki, ndugu, majirani.... hata yule mjukuu wa rafiki ya bibi ambaye bibi yake alikubeba siku moja ulipokuwa mtoto...

Watu hawa wanaona its your obligation to help them not because of their know how, but just because you know them.. Kwahiyo hii inaleta kupeana tenda kindugu... na kutafuta madeal ili uweze kukizi mahitaji ya jamii yako ya karibu.... wenzetu europeans they just take care of their children till they are 18 then off the children goes... wakizeeka wanakwenda kwenye care homes no really need ya kulimbikiza mali for the future.

To prove my point there is a story about Marcel Desailly.. The Ghanian French International Football Player...... Huyu jamaa alipokuwa Chelsea alikuwa ni top earner... alikuwa analipwa pesa nyingi kuliko mtu yeyote, Sasa kila mara alikuwa anamfata Manager wake (Gianlucca Vialli) na kudai ili aogezewe mshahara... Basi baada ya kumsumbua sana vialli, kuna siku ikabidi amuite amuulize..... Hivi wewe kwanini unatamaa hivi wewe unalipwa kuliko mtu yeyote alafu bado unataka tu mshahara zaidi, vipi? Desailly akamjibu kuwa hata ukinipa mshahara kama huu mara mbili bado hautoshi..... Kuna watu kama laki tano Ghana wote wananitegemea mimi.......
Naomba uya summury maneno yako kwa maneno mawili tu.
 
Forum statistics

Threads 1,236,593
Members 475,219
Posts 29,263,338