Je, kweli kwamba afrika ni bara la wenye mtindio wa akili?

Guys its nothing to do with DNA its just culture the way we have been raised...... Chukua mfano wa Muhindi na Muafrika hapa Tanzania.... Muhindi atafanya biashara ataspend about 5% ya profit yake na kuinvest the rest why? because amelelewa katika mazingira ya biashara.

Mbongo atafanya biashara ataspend hata capital yake na kukopa ili tu aonekane tajiri na kuwakoga watu mitaani ili wamuone anatanua na gari zuri na kwamba ni mtu wa matanuzi.... and this is not only black people in TZ nenda Jamaica, UK, America its just the same. Its the way we have been brought up, its our culture
 
Ndivyo tulivyo
 
Jamani wana JF, mataifa ya ulaya wanaamini Afrika ni bara la giza. Kuna baadhi ya nchi za Asia wanaamini Afrika ni Bara la watu waliochaganyikwa, wasiojua kipi kizuri na kipi kibaya, Wao wanajiendea tu bila kujua wanapokanyaga. Hawa Waasia wameenda mbali zaidi kwa kusema kwamba Waafrika wana hali hiyo kwa sababu wanachomwa na mionzi ya jua katika masaa mengi ya siku. JE, HOJA HII INA UKWELI WOWOTE? Kama si kweli kwanini mambo yetu kuanzia kwa wasomi wenye elimu zao hadi wale wa chini wanatenda mambo yasio na upeo? NA kama ni kweli Je, tufanye nini ili kuondokana na adha hii inayotudhalilisha mbele ya mabara mengine?

Si kweli na usije kuamini hivyo, hata hayo mabaya wayasemayo wakafanya nusu ya waafrika itakuwa bado kutuita hivyo '' mitindio ya ubongo''

Kwanza ni kauli ya udhalilishaji kwa watu weusi na hasa wa bara hili la Afrika na wewe ukiwemo kama ni Muafrika.

Si rahisi siye kuwa sawa na hao uwaitao wazungu au wenye maendeleo '' mtazamo wako''

Sie ni waafrika tulo na roho safi na njema kwa watu wote na ndio maana hatukumtawala yeyote, na hata utawala huu wa kimamboleo walotufunza ni wao uwaonao wenye akili.

Elimu zote za kufisha, kudhalilisha na kutenganisha wametufunza wao wenye akili, je? Nao si kukosa akili?

Japo tunateseka na kupata tabu hadi leo ndani ya tawala zetu wenyewe bado sitakubali kuwa sie wote ni wajinga au wapumbavu.

Tumekosa miongozo na tumeitupa asili ya ufanyaji wa mambo yetu ndio maana kwa kiasi tunakuwa tunapotea/kupotezwa.
Muafrika atabaki muafrika na atabaki alivyo.. Imara na asiyetetereka...

Mungu wabariki Waafrika' Mungu wabariki waafrika wavumilivu.
 
TAFAKALI HAYA MASWALI:-
1. Kama mtu anajilimbikizia mali tena kwenye mabenki ya nje/Ulaya hilo si tatizo la akili zake?
2. kama mwanasiasa tena waziri anapeleka nguo zake kufuliwa ulaya utaita nini?
3. Kama mtu anapata kazi na kundi la ndugu na jamaa wanaweka kambi rasmi ya kusubiri msaada kwake badala ya kujishughulisha je, hilo si tatizo kwenye akili zao?
4. Kama Mkuu wa nchi anasafiri kwenda nje ya nchi/Ulaya kuomba msaada wa dolla milioni Kumi ilhali huku nyumbani anatoa msamaha wa dolla millioni ishirini je, hili si tatizo?
5. Kama jamii inachagua kiongozi anayekataa kuweka hydropower itakayoondoa tatizo la umeme kwa madai kuwa hana fedha ilhali misamaha ya kodi anayotoa inatosha kabisa kujenga hiyo hydropower [Tena ikiondoa nusu tu ya misamaha] hilo si tatizo la akili zake?
KUNA MLOLONGO MKUBWA SANA WA MASWAHILI YA KUTIA SHAKA NA NI BORA SOTE KWA PAMOJA TUTAFAKALI KWA MAKINI!
 
Wabs, kwa nini Afrika Kusini imeendelea kuliko nchi zingine zote za Afrika kusini mwa Sahara?

Naomba kwenda tofauti nawewe
Hizo fact unazoongea mie nafikiri ni defending mechanism tu ndugu yangu. Si kweli, Slave trade, colonialization and the rest ambazo watu weupe wamezipitia huwezi linganisha na chetu hicho cha mtoto.

Kuna tatizo, hata hao waafrika walioko ulaya ukiangalia zaidi wakiachwa peke yao hawawezi deliver kama wanavyokuwa wameshikiliwa na kuwa remote control kwa mweupe.

Nitakubaliana na wewe, kama ukisema hiyo climate yetu imetuingia mpaka imeathiri kabisa na sasa limekuwa ni tatizo la kiyansi ambalo hata dna inaweza kuliona. Si unajua tatizo likikaa sana linabadirika linakuwa la ki-genetic.

Teh teh na hili je nchi ambayo iko chini ya ukoloni mtaulaumu ukoloni?

In 2007 the GDP per capita of Réunion at nominal exchange rates, not at PPP, was 17,146 euros (US$23,501).[1] However, while this is exceptionally high compared with its neighbors in Mauritius, Madagascar and the African continent, it is only 57% of the 30,140 euros per capita GDP of metropolitan France in 2007.[2] The total GDP of the island was US$18.8 billion in 2007.[1]

Watu wengine watasema REUNION ndo mnyama gani , ngoja niwape kidogo ka intro

Réunion (French: La Réunion, IPA: [la ʁeynjɔ̃] ( listen); previously Île Bourbon) is a French island of about 800,000 population located in the Indian Ocean, east of Madagascar, about 200 kilometres (120 mi) south west of Mauritius, the nearest island. Since August 2010, the Pitons, Cirques and Remparts of the island, covering more than 40% of its territory, feature on UNESCO's World Heritage List.

Ni kisiwa cha Wafaransa kumbe....na Wafaransa ni wazungu.

Naomba uya summury maneno yako kwa maneno mawili tu.

Ndivyo tulivyo

Mkamap na Nyani Ngabu salaam!

Kumbukeni we belong to the very race, and we have problems that we need to know the source

Zile point zangu 4 zimeharibu kabisa ubongo wetu, zimekuwa genes zetu na unaposema NDIVYO TULIVYO, ndivyo tulivyo kuna sababu zilizopeleka tuwe hivyo.

Trust me hata black Americans na kukaa kwao USA for many years tumefanana sana kwa vitu vingi

Yes ndivyo tulivyo point hiyo haipingiki, LAKINI lets our aim be why we are as we are?? je ni tatizo ambalo haliwezi kutatulika, I mean Mkamap na NN hatuwezi kulea watoto wetu in such a way wasiishi kama tunavyoishi, though najua ni kazi kubadili genes lakinwe have some unique figures/people ambao naamini kabisa malezi yao yalichangia kutoishi kama waafrika!

By the way South Africa Wameendelea kwa sababu wazungu wenye akili wameenda huko, walioendeleza ni wazungu na sio weusi! Ukiwasoma kwa haraka haraka, wao kupitia let say ubaguzi wa rangi umepeleka kuwa aggresive na wamoja katika kudai haki. I insist binadamu akipitia katika shida fulani ndiyo akili huja

mnasemaje??
 
Nafikiri unge-rephrase swali lako, liwe wazi kuwa unauliza kwanini tupo nyuma. Sisi sahihi kusema tuna mtindio wa akili- Sisi sio vichaa bwana. Na je watu weusi waliotoka Afrika na wanafanya kazi kwenye nchi zilizoendelea unawaonaje? nao wana mtindio wa akili?

Africa inasumbuliwa na uongozi mbaya, na ukosefu wa uzalendo kwa raia, na tamaa/choyo za baadhi ya watu wanaopenda kujinufaisha wenyewe. Lakini si suala la mtindio wa akili!

Watu milioni 40 wanakubali kukandamizwa na kuonewa na watu 50 na rafiki zao! kama sio mtindio wa akili ni nini?
 
Jamani wana JF, mataifa ya ulaya wanaamini Afrika ni bara la giza. Kuna baadhi ya nchi za Asia wanaamini Afrika ni Bara la watu waliochaganyikwa, wasiojua kipi kizuri na kipi kibaya, Wao wanajiendea tu bila kujua wanapokanyaga. Hawa Waasia wameenda mbali zaidi kwa kusema kwamba Waafrika wana hali hiyo kwa sababu wanachomwa na mionzi ya jua katika masaa mengi ya siku. JE, HOJA HII INA UKWELI WOWOTE? Kama si kweli kwanini mambo yetu kuanzia kwa wasomi wenye elimu zao hadi wale wa chini wanatenda mambo yasio na upeo? NA kama ni kweli Je, tufanye nini ili kuondokana na adha hii inayotudhalilisha mbele ya mabara mengine?

Kwa niliyoyaona kwenye muswada wa kuanzisha mchakato wa Katiba na TAMKO LA ANA MAKINDA BUNGENI KUHUSU STRATEGY YA LEMA KUHAMASISHA WANAFUNZI KUHUDHULIA MJADALA WA HIYO SHERIA. Naanza kushawishika juu ya maoni ya hawa wazungu!!
Haingii akilini kwa spika wa bunge kukemea viongozi wanaohamasisha wananchi watoe michango yao!!
Haingii akilini kuona mtalaam wa sheria kwenye wadhifa wa Jaji [Werema] kuandaa muswada wenye vifungu vinavyompa Rais mamlaka yanayozidi hata yale yaliyomo kwenye katiba!!
 
Nafikiri unge-rephrase swali lako, liwe wazi kuwa unauliza kwanini tupo nyuma. Sisi sahihi kusema tuna mtindio wa akili- Sisi sio vichaa bwana. Na je watu weusi waliotoka Afrika na wanafanya kazi kwenye nchi zilizoendelea unawaonaje? nao wana mtindio wa akili?

Africa inasumbuliwa na uongozi mbaya, na ukosefu wa uzalendo kwa raia, na tamaa/choyo za baadhi ya watu wanaopenda kujinufaisha wenyewe. Lakini si suala la mtindio wa akili!

Sasa hapo kwenye red ndipo panapohitaji utafiti wa kina; ni kwa nini inakuwa hivyo? Chanzo chake ni ni nini? Na kuondokana na hilo tatizo nini kifanyike? Haya yakifanyika, ukombozi wa kweli utakuwa umepatikana.
 
Back
Top Bottom