Wile GAMBA
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 1,809
- 595
Chadenma ni kweli mpango wa Mungu, kama rais wa nchi anashia kusema uvumilivu unamwishio wake jibuni mapigo na anashindwa kutumia vyombo vya kiusalama kudhibiti vurugu basi ujue nchi hiyo imelaaniwa, kwa kifupi fuatilia kifo cha mwangosi, tukio la Ulimboka, bomu la Arusha, mpka leo hii Rais kashindwa kuunda tume ili kupata ukweli anabaki kuimba taarabu hii ni aibu ya kiasi gani? tuna baki kubishana upuuzi...bahati nzuri Nchi hii ni nchi ya iliyo jaa watu wenye akili fupi!