Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe. CHADEMA ni mti wenye matunda ndo maana unapigwa mawe kila kona kuanzia ndani hadi nje. Rai yangu imarisheni UKAWA ili kuchukua Dola lakini kwa CHADEMA pekee yake itakuwa ngumu.
 
CHADEMA Wanamtanguliza Mungu Katika Shughuli Zao, Hii Huwa Inaonekana Katika Mikutano Yao Wakiwa Wanafanya Maombi Kabla Na Baada Ya Mikutano.

Kauli Zao Kama "Tulianza Na Mungu Tunamaliza Na Mungu" Na "Sauti Ya Umma Ni Sauti Ya Mungu" Ni Baadhi Ya Ushahidi Kwamba CHADEMA Wanamtanguliza Mungu Mbele.

Mungu Nae Kwa Vile Yeye Siyo Athumani Wala John Ameonekana Akikisaidi Chama Kuvuka Bahari Ya Shamu Na Jangwani Kama Wana Wa Israeli, Kwani CHADEMA Inapitia Misukosuko Mingi Kama Ya "Ugaidi", "Mauaji Ya Dkt Slaa" Na Mengine Mengi.

Lakin Wengne Wamefika Mbali Kuitabilia Kifo Kabla Ya Mda Flani Kwani Walikua Na Uhakika Kulingana Na Mikakati Waliyokuwa Wameweka.

Kwa Wenzangu CCM Sionagi Sehemu Wanapomtanguliza Mungu Zaidi Ya "Kitambi Mbele" Yaani Ufisadi Kama Inavyoonekana Alama Yako Ya Mkono Na Dolegumba.Vile Vile Wanatanguliza "Nyundo" Ya Kuwaponda Na Kuwakandamiza Watanzania.

Kweli CHADEMA Ni Mpango Wa Mungu, Kama Musa Na Wana Wa Israeli.

Mimi Sina Chama, Huo Ni Mtazamo Wangu.

chadema ni mpango wa mtei na mkwewe, kula ruzuku !
 
Huyo mungu wa Chadema ndiyo kaamua kuifanya Chadema kuwa chama cha upinzani miaka yote, pia kaamua Dr.Slaa aendelee kuwa rais kivuli maisha yake yote.
 
Mungu wao ni mungu gani ane support uzinzi na kipola wake za watu?
 
Huyo mungu ndiyo kaamlisha Mbowe amjaze mimba mbunge wake na Dr.Slaa kupora mke wa mtu nakumzalisha huku akitelekeza familia yake.
 
Kawaida sana makapi wenzake bora tu watoke kuliko wawepo,na hata mto unapitia hatua kadhaa ndio baadae unaKuwa ni mto wenye nguvu so mim naona bora tu waoondoke
 
CHADEMA Wanamtanguliza Mungu Katika Shughuli Zao, Hii Huwa Inaonekana Katika Mikutano Yao Wakiwa Wanafanya Maombi Kabla Na Baada Ya Mikutano.

Kauli Zao Kama "Tulianza Na Mungu Tunamaliza Na Mungu" Na "Sauti Ya Umma Ni Sauti Ya Mungu" Ni Baadhi Ya Ushahidi Kwamba CHADEMA Wanamtanguliza Mungu Mbele.

Mungu Nae Kwa Vile Yeye Siyo Athumani Wala John Ameonekana Akikisaidi Chama Kuvuka Bahari Ya Shamu Na Jangwani Kama Wana Wa Israeli, Kwani CHADEMA Inapitia Misukosuko Mingi Kama Ya "Ugaidi", "Mauaji Ya Dkt Slaa" Na Mengine Mengi.

Lakin Wengne Wamefika Mbali Kuitabilia Kifo Kabla Ya Mda Flani Kwani Walikua Na Uhakika Kulingana Na Mikakati Waliyokuwa Wameweka.

Kwa Wenzangu CCM Sionagi Sehemu Wanapomtanguliza Mungu Zaidi Ya "Kitambi Mbele" Yaani Ufisadi Kama Inavyoonekana Alama Yako Ya Mkono Na Dolegumba.Vile Vile Wanatanguliza "Nyundo" Ya Kuwaponda Na Kuwakandamiza Watanzania.

Kweli CHADEMA Ni Mpango Wa Mungu, Kama Musa Na Wana Wa Israeli.

Mimi Sina Chama, Huo Ni Mtazamo Wangu.

Huna chama? Kawadanganye wanao..af kwa mada hii unamaanisha chagadema ni chama cha kidini
 
Kawaida sana makapi wenzake bora tu watoke kuliko wawepo,na hata mto unapitia hatua kadhaa ndio baadae unaKuwa ni mto wenye nguvu so mim naona bora tu waoondoke
Mnataka kubaki wachaga peke yenu.
 
mbowe+slaa+msigwa+jambaz lema+mtei,lissu+..........ndo wenye dhamana na chama chao wengne ni kujipendekeza

Pole sana, wajipendekeze wanapata nini. vijana wa CCM ndo wanaojipendekeza kwa mafisadi ili wapate mlo. na wewe ukiwa mmoja wao. Hivi hamuoni haibu watu wachache kutafuna fedha za umma.
 
Back
Top Bottom