Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Huyo mungu ndiyo kaamlisha Mbowe amjaze mimba mbunge wake na Dr.Slaa kupora mke wa mtu nakumzalisha huku akitelekeza familia yake.
Lumumba hamna cd mpya? Hizi tumezizoea sana na bado wanakubalika.

Tafuta wimbo mpya
 
Mmmh!!!!!
1421238691134.jpg
 
hivi chadema hawa wapenzi wenu mmewalisha nini? almost all hawajielewi ni kama mazombie

Bila shaka wamelishwa itikadi ya ukombozi. Tofauti na askari wa kukodiwa ambao wanatumikia maslahi tu; hao hawawezi kujitoa kufa na kupona kwa sababu kuna njia nyingi za kupata maslahi.
 
CHADEMA Wanamtanguliza Mungu Katika Shughuli Zao, Hii Huwa Inaonekana Katika Mikutano Yao Wakiwa Wanafanya Maombi Kabla Na Baada Ya Mikutano.

Kauli Zao Kama "Tulianza Na Mungu Tunamaliza Na Mungu" Na "Sauti Ya Umma Ni Sauti Ya Mungu" Ni Baadhi Ya Ushahidi Kwamba CHADEMA Wanamtanguliza Mungu Mbele.

Mungu Nae Kwa Vile Yeye Siyo Athumani Wala John Ameonekana Akikisaidi Chama Kuvuka Bahari Ya Shamu Na Jangwani Kama Wana Wa Israeli, Kwani CHADEMA Inapitia Misukosuko Mingi Kama Ya "Ugaidi", "Mauaji Ya Dkt Slaa" Na Mengine Mengi.

Lakin Wengne Wamefika Mbali Kuitabilia Kifo Kabla Ya Mda Flani Kwani Walikua Na Uhakika Kulingana Na Mikakati Waliyokuwa Wameweka.

Kwa Wenzangu CCM Sionagi Sehemu Wanapomtanguliza Mungu Zaidi Ya "Kitambi Mbele" Yaani Ufisadi Kama Inavyoonekana Alama Yako Ya Mkono Na Dolegumba.Vile Vile Wanatanguliza "Nyundo" Ya Kuwaponda Na Kuwakandamiza Watanzania.

Kweli CHADEMA Ni Mpango Wa Mungu, Kama Musa Na Wana Wa Israeli.

Mimi Sina Chama, Huo Ni Mtazamo Wangu.

Chagadema ni mpango Wa mungu yupi hiyo, sababu hata Sheitwan laana tulaah naye anajipambanua kuwa ni mungu!
 
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu kiukweli hata sasa Mungu anatenda kwa chama kinacho aminiwa na wana nchi wengi chadema pamoja na hila zote za kubambikiwa makesi ya ugaidi lakini bado aturud nyuma Mungu hatetereki kamwe.
 
kinyesi

CHADEMA Wanamtanguliza Mungu Katika Shughuli Zao, Hii Huwa Inaonekana Katika Mikutano Yao Wakiwa Wanafanya Maombi Kabla Na Baada Ya Mikutano.

Kauli Zao Kama "Tulianza Na Mungu Tunamaliza Na Mungu" Na "Sauti Ya Umma Ni Sauti Ya Mungu" Ni Baadhi Ya Ushahidi Kwamba CHADEMA Wanamtanguliza Mungu Mbele.

Mungu Nae Kwa Vile Yeye Siyo Athumani Wala John Ameonekana Akikisaidi Chama Kuvuka Bahari Ya Shamu Na Jangwani Kama Wana Wa Israeli, Kwani CHADEMA Inapitia Misukosuko Mingi Kama Ya "Ugaidi", "Mauaji Ya Dkt Slaa" Na Mengine Mengi.

Lakin Wengne Wamefika Mbali Kuitabilia Kifo Kabla Ya Mda Flani Kwani Walikua Na Uhakika Kulingana Na Mikakati Waliyokuwa Wameweka.

Kwa Wenzangu CCM Sionagi Sehemu Wanapomtanguliza Mungu Zaidi Ya "Kitambi Mbele" Yaani Ufisadi Kama Inavyoonekana Alama Yako Ya Mkono Na Dolegumba.Vile Vile Wanatanguliza "Nyundo" Ya Kuwaponda Na Kuwakandamiza Watanzania.

Kweli CHADEMA Ni Mpango Wa Mungu, Kama Musa Na Wana Wa Israeli.

Mimi Sina Chama, Huo Ni Mtazamo Wangu.
 
hivi chadema hawa wapenzi wenu mmewalisha nini? almost all hawajielewi ni kama mazombie

Mazombie ni nyie mnaishabikia ccm hata baada ya kukaa madarakani kwa miaka 54 na kushindwa kuitoa nchi kwenye lindi la umaskini
 
Back
Top Bottom