Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,714
kijana mbona huna MAONO ?
NDUGU MWANAJF,BILA SHAKA NA WEWE ULISHATAMKA AMA ULISHASIKIA KAULI KUWA CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU. BINAFSI NAOMBA KUJUA YAFUATAYO:
1.1) NI NANI ALIYETAMKA KUWA `CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU'? JE, NI MUNGU AU NI MWANADAMU?
1.2) NI NANI ALIYETAMKIWA KAULI HII?JE, NI MWANASIASA AU NI MTUMISHI WA MUNGU (i.e. NABII, MTUME etc)? (MTAJE KWA JINA). JE, ALIPATAJE KUIAMINI TAARIFA HII KUWA INA UKWELI NDANI YAKE?
1.3)NI KWA NJIA (CHANNEL) GANI TAARIFA/KAULI HII ILITOLEWA NA KUPOKELEWA?
1.4)NI LINI NA WAPI KAULI HII ILITOLEWA NA KUPOKELEWA?
1.5) JE, NI MPANGO WA MUNGU WA KUTUKOMBOA AU NI MPANGO WA MUNGU WA KUTUPELEKA/ KUTURUDISHA KATIKA UTUMWA WA KIFIKRA NA KISIASA?
NB: ACHA MATUSI NA KEJELI KAMA HUNA HOJA INAYOJIBU KIPENGELE/VIPENGELE HAPO JUU ILI KUEPUSHA KUJIVUA NGUO MBELE YA UMMA.
NAWASILISHA
Mkuu, yaelekea mtoa mada ana maono makubwa kuliko ufikirivyo. Ni vema kama una nia njema ukajibu maswali yakekijana mbona huna MAONO ?
Wanamwagia watu tindikali, wanajiripua kwenye mikutano yao, viongozi wake ni wazinzi wa kutupwa mpaka wanafikia hatua ya kupora wake za watu, wanatoboa watu macho kwa bisibisi nk nkNi mpango wa shetani, ona inavyomwagia watu tindikali
NDUGU MWANAJF,BILA SHAKA NA WEWE ULISHATAMKA AMA ULISHASIKIA KAULI KUWA CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU. BINAFSI NAOMBA KUJUA YAFUATAYO:
1.1) NI NANI ALIYETAMKA KUWA `CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU'? JE, NI MUNGU AU NI MWANADAMU?
1.2) NI NANI ALIYETAMKIWA KAULI HII?JE, NI MWANASIASA AU NI MTUMISHI WA MUNGU (i.e. NABII, MTUME etc)? (MTAJE KWA JINA). JE, ALIPATAJE KUIAMINI TAARIFA HII KUWA INA UKWELI NDANI YAKE?
1.3)NI KWA NJIA (CHANNEL) GANI TAARIFA/KAULI HII ILITOLEWA NA KUPOKELEWA?
1.4)NI LINI NA WAPI KAULI HII ILITOLEWA NA KUPOKELEWA?
1.5) JE, NI MPANGO WA MUNGU WA KUTUKOMBOA AU NI MPANGO WA MUNGU WA KUTUPELEKA/ KUTURUDISHA KATIKA UTUMWA WA KIFIKRA NA KISIASA?
NB: ACHA MATUSI NA KEJELI KAMA HUNA HOJA INAYOJIBU KIPENGELE/VIPENGELE HAPO JUU ILI KUEPUSHA KUJIVUA NGUO MBELE YA UMMA.
NAWASILISHA
Chadema ni mpango wa shetani ndiyo maana mauaji kwao ni kipau mbele.
Sio la kuuliza hilo, ni kweli CDM mpango wa Mungu.
1. Mpango wa kuhiujumu chadema kanda ya ziwa uliwekwa hapa mwanzoni mwa mwezi januari wajinga kama wewe mliuponda sana mwisho wa siku kilichotokea shinyanga umekiona,kama si mpango wa Mungu kwanini haya tuliyajua kabla.
2. Ugaidi wa kizushi wa Lwakatare, leo fuatilia wale wote waliokua nyuma ya pazia kama Msacky, zzk n.k wako wapi katika nafasi zao = mpango wa Mungu
3. Bomu la Soweto kuwalenga Mbowe na Lema lakini Mungu kawanusuru
4. Kesi mbalimbali zinazofunguliwa na Policcm, serikali na CCM mwisho wanaumbuka wao= mpango wa Mungu
5. Propaganda chafu zinazofanywa na Ccm, Tiss kama udini,ukanda,fujo, ili kuiua Cdm bado zinafeli= mpango wa Mungu
6. Nguvu kubwa inayofanywa na dola,bunge,tiss,policcm,tbccm, uhuru,mzalendo eti kuivuruga cdm tena kwa kununua makada wa CDM lakini hawafanikiwi,wakifanikiwa tayari washagundulika Mpango wa Mungu
Mkuu, kwani wewe hujaahi kuyasikia?Wewe uliyaskia wapi hayo maneno?
Umevurugwa ww, acheni kumwagia watu tindikali, kuwalisha sumu, kuwateka na kuwaumiza vibaya na hatimaye kuwasokomeza msitu wa ununio. Chadema ni wauwaji wakubwaSio la kuuliza hilo, ni kweli CDM mpango wa Mungu.
1. Mpango wa kuhiujumu chadema kanda ya ziwa uliwekwa hapa mwanzoni mwa mwezi januari wajinga kama wewe mliuponda sana mwisho wa siku kilichotokea shinyanga umekiona,kama si mpango wa Mungu kwanini haya tuliyajua kabla.
2. Ugaidi wa kizushi wa Lwakatare, leo fuatilia wale wote waliokua nyuma ya pazia kama Msacky, zzk n.k wako wapi katika nafasi zao = mpango wa Mungu
3. Bomu la Soweto kuwalenga Mbowe na Lema lakini Mungu kawanusuru
4. Kesi mbalimbali zinazofunguliwa na Policcm, serikali na CCM mwisho wanaumbuka wao= mpango wa Mungu
5. Propaganda chafu zinazofanywa na Ccm, Tiss kama udini,ukanda,fujo, ili kuiua Cdm bado zinafeli= mpango wa Mungu
6. Nguvu kubwa inayofanywa na dola,bunge,tiss,policcm,tbccm, uhuru,mzalendo eti kuivuruga cdm tena kwa kununua makada wa CDM lakini hawafanikiwi,wakifanikiwa tayari washagundulika Mpango wa Mungu
Sio la kuuliza hilo, ni kweli CDM mpango wa Mungu.
1. Mpango wa kuhiujumu chadema kanda ya ziwa uliwekwa hapa mwanzoni mwa mwezi januari wajinga kama wewe mliuponda sana mwisho wa siku kilichotokea shinyanga umekiona,kama si mpango wa Mungu kwanini haya tuliyajua kabla.
2. Ugaidi wa kizushi wa Lwakatare, leo fuatilia wale wote waliokua nyuma ya pazia kama Msacky, zzk n.k wako wapi katika nafasi zao = mpango wa Mungu
3. Bomu la Soweto kuwalenga Mbowe na Lema lakini Mungu kawanusuru
4. Kesi mbalimbali zinazofunguliwa na Policcm, serikali na CCM mwisho wanaumbuka wao= mpango wa Mungu
5. Propaganda chafu zinazofanywa na Ccm, Tiss kama udini,ukanda,fujo, ili kuiua Cdm bado zinafeli= mpango wa Mungu
6. Nguvu kubwa inayofanywa na dola,bunge,tiss,policcm,tbccm, uhuru,mzalendo eti kuivuruga cdm tena kwa kununua makada wa CDM lakini hawafanikiwi,wakifanikiwa tayari washagundulika Mpango wa Mungu
Wanamwagia watu tindikali, wanajiripua kwenye mikutano yao, viongozi wake ni wazinzi wa kutupwa mpaka wanafikia hatua ya kupora wake za watu, wanatoboa watu macho kwa bisibisi nk nk
Aisee! Kwani CCM hawanusuriki na maafa?
Je nao ni mpango wa Mungu?
...
Naomba mahusiano yaliyopo kati ya Chadema na Mungu.