Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?

Hii kauli huwa wanaitumia sana lakini sijawahi kuona wala kusikia kwenye mikusanyiko yenu hata mikutano yenu ya ndani mmefungua ama kufunga kwa ibada. Huwa mnaanza kwa matusi, mnaendelea kwa matusi, mnafunga kwa matusi. Ni mungu yupi mnaemtaja? CHAMA KIMEJAA WAOVU WANAOVUNJA AMRI ZOTE 10 ZA MUNGU HADI KUCHUKUA WAKE ZA WATU! HALAFU MNASEMA NI MPANGO WATMUNGU! TUAMBIENI NI MUNGU YUPI?
Kama Mwigulu alivyovchukua mke wa mtu IGUNGA kumvunjia ndoa yake
 
Huwezi tenganisha Dini na Siasa maana dini inakufundisha uishije katika maisha ya kila siku, yaani inakwambie usiseme uongo, usizini, na mengine mengi. Nabii Selemani, Daud na wengine walikuwa viomgozi wa nchi na dini. We tofautisha kwa maslahi yako.

Lakini kwenye SIASA -- DINI ina Mrengo wake na SIASA Mrengo wake...

Usiniambie ungependa nchi yetu itawaliwe kidini kama vile SAUD ARABIA au IRAN ???

Yeah kuwa na Imani yako itukuze; lakini Usiingize kwenye SIASA sababu kuna Wananchi wengi wenye Imani Mbalimbali kwenye siasa za Nchi...

Give them that FREEDOM of RELIGION lakini wasiibebe kuiingiza kwenye SIASA -- Siasa inalea Wananchi haijali IMANI YAKO
 
Kauli hiyo hiyo ya kwamba "walianza na mungu na watamaliza na mungu" ndiyo inayosababisha wanakumbwa na mikasa kwenye mikutano yao kwa sababu siyo wasafi hata kidogo. Wanakufuru kusema hivyo na Mungu huwamua kuwaadhibu. Uongo, ufuska, Matusi na ubadilifu ni kama chai ya asubuhi ndani ya CDM. Mungu bwana hakopeshi.

labda wa maanisha Mbowe na Mtei ndio miungu yao.

Hii kauli huwa wanaitumia sana lakini sijawahi kuona wala kusikia kwenye mikusanyiko yenu hata mikutano yenu ya ndani mmefungua ama kufunga kwa ibada. Huwa mnaanza kwa matusi, mnaendelea kwa matusi, mnafunga kwa matusi. Ni mungu yupi mnaemtaja? CHAMA KIMEJAA WAOVU WANAOVUNJA AMRI ZOTE 10 ZA MUNGU HADI KUCHUKUA WAKE ZA WATU! HALAFU MNASEMA NI MPANGO WATMUNGU! TUAMBIENI NI MUNGU YUPI?
Mtu aliyezaliwa na wazazi waliokuwa kwenye hit and run huwa na tabia hizi!
 
Kila siku kabla Bunge halijaanza shughuli zake kuna ile dua inasomwaga na Ndugai kabla hajampa nafasi Nkamia, Lusinde, Nchemba, na wengineo kuchangia. Kwenye hiyo dua ya Ndugai kuna Mungu anatajwa humo ambaye nahisi ndiye Mungu wa waTanzania kwani hupelekewa maombi kabla chombo cha wananchi (Bunge) hakijaanza kutekeleza majukumu yake ya kitaifa.

Kuna ubaya gani kwa Chadema na waTanzania wengine kumtumainia huyo Mungu? Au unadhani kuna wenye hatimiliki ya Mungu kama akina Ndugai na kwa wengine ni nongwa? Kama hutaki kumtaja shauri yako ila usiwaonee wivu wengine wanaopenda kumtaja kama akina Ndugai na Chadema pengine wanajua na wameuona ukuu wake kwao.

Bunge linapoanza, wanamkumbuka mwenyezi mungu lakini hajuna kauli inayotamkwa 'bunge ni mpango wa mungu' sasa chadema ni lini walishaanza kwa kumkumbuka mungu? Kama hawajawah kufanya hivyo, tunashuhudia maovu yao hadi huko bunge wanakoanza na mungu, huoni kama wanamdhihaki muumba wao kwa kumtaja bure? Amri ya pili ya mungu c unaijua?
 
Lakini kwenye SIASA -- DINI ina Mrengo wake na SIASA Mrengo wake...

Usiniambie ungependa nchi yetu itawaliwe kidini kama vile SAUD ARABIA au IRAN ???

Yeah kuwa na Imani yako itukuze; lakini Usiingize kwenye SIASA sababu kuna Wananchi wengi wenye Imani Mbalimbali kwenye siasa za Nchi...

Give them that FREEDOM of RELIGION lakini wasiibebe kuiingiza kwenye SIASA -- Siasa inalea Wananchi haijali IMANI YAKO

waambie mkuu' hata biblia imeandikwa "ya mungu mpe mungu, ya kaizari mpe kaizari"
 
Wewe acha ujinga wa kuchochea chuki za kidini!... Hakuna mhaya mwenye tabia za kipuuzi kama zako!

Aliyekuumba na kukupapumzi kila wakati akusamehe bure kwani hujui usemalo au ufanyalo!
 
R U Serious ??? MUNGU wako Wangapi ?? Dini zooote pamoja na kuabudu kitofauti wooote wanafuata ili kumuabudu MWENYEZI MUNGU...

Kwahiyo wewe Unaipigia kura CCM kwasababu haisemu chochote kuhusu MIPANGO ya MUNGU ???
Huna hoja wewe, umebaki kupiga kelele tu. utaishia kumwagia watu tindikali maisha yako yote
 
Huna hoja wewe, umebaki kupiga kelele tu. utaishia kumwagia watu tindikali maisha yako yote

Wewe hoja zako ziko wapi ? Unakimbilia TINDIKALI umeishia kutishiana tuuuu

Hakuna lolote zaidi ya kueneza CHUKI... U know Man's nature is not essentially EVIL...
 
Mungu wa Chadema ni Mzee Edwin Mtei, muasisi wa CHADEMA. Ndo maana wanasema kuwa wanaanza na Mungu na wanamaliza na Mungu maana yake ni kuwa kila wafanyalo lazima wapate baraka za Mtei na wakishakamilisha, sharti warudi kwa Mtei kumuelewa utekelezaji wake

in theological point of view, with the nature of God, it can be said so
 
Huna hoja wewe, umebaki kupiga kelele tu. utaishia kumwagia watu tindikali maisha yako yote

mlivyomwagia yule kijana kule igunga ina maana mlianza na mungu na kumalizia na mungu?
 
Bunge linapoanza, wanamkumbuka mwenyezi mungu lakini hajuna kauli inayotamkwa 'bunge ni mpango wa mungu' sasa chadema ni lini walishaanza kwa kumkumbuka mungu? Kama hawajawah kufanya hivyo, tunashuhudia maovu yao hadi huko bunge wanakoanza na mungu, huoni kama wanamdhihaki muumba wao kwa kumtaja bure? Amri ya pili ya mungu c unaijua?

Muanzisha mada ameuliza hivi:

Hii kauli huwa wanaitumia sana lakini sijawahi kuona wala kusikia kwenye mikusanyiko yenu hata mikutano yenu ya ndani mmefungua ama kufunga kwa ibada. Huwa mnaanza kwa matusi, mnaendelea kwa matusi, mnafunga kwa matusi. Ni mungu yupi mnaemtaja? CHAMA KIMEJAA WAOVU WANAOVUNJA AMRI ZOTE 10 ZA MUNGU HADI KUCHUKUA WAKE ZA WATU! HALAFU MNASEMA NI MPANGO WATMUNGU! TUAMBIENI NI MUNGU YUPI?

Mimi nilichofanya ni kujibu SWALI LA MSINGI la mleta mada - TUAMBIENI NI MUNGU YUPI? Nilichosema ni kwamba Mungu wa Chadema ni huyo huyo Mungu wa Bunge. Kwamba anawasaidia, hawasaidii, wanamdhihaki, au hawamdhihaki kama unavyodai wewe sio sehemu ya jibu langu. Natumaini umeelewa.
 
jaman wanajamii mjadili mambo ya maana.tabia ya kupost na kuchangia mawazo kimzaha haileti tija pia inaonyesha jinsi tutakavyo endelea kua secret slave
 
NDUGU MWANAJF,BILA SHAKA NA WEWE ULISHATAMKA AMA ULISHASIKIA KAULI KUWA CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU. BINAFSI NAOMBA KUJUA YAFUATAYO:

1.1) NI NANI ALIYETAMKA KUWA `CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU'? JE, NI MUNGU AU NI MWANADAMU?

1.2) NI NANI ALIYETAMKIWA KAULI HII?JE, NI MWANASIASA AU NI MTUMISHI WA MUNGU (i.e. NABII, MTUME etc)? (MTAJE KWA JINA). JE, ALIPATAJE KUIAMINI TAARIFA HII KUWA INA UKWELI NDANI YAKE?

1.3)NI KWA NJIA (CHANNEL) GANI TAARIFA/KAULI HII ILITOLEWA NA KUPOKELEWA?

1.4)NI LINI NA WAPI KAULI HII ILITOLEWA NA KUPOKELEWA?

1.5) JE, NI MPANGO WA MUNGU WA KUTUKOMBOA AU NI MPANGO WA MUNGU WA KUTUPELEKA/ KUTURUDISHA KATIKA UTUMWA WA KIFIKRA NA KISIASA?

NB: ACHA MATUSI NA KEJELI KAMA HUNA HOJA INAYOJIBU KIPENGELE/VIPENGELE HAPO JUU ILI KUEPUSHA KUJIVUA NGUO MBELE YA UMMA.

NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom