shingwengwe
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 1,152
- 125
CDM ni mpango waMungu!!!! njama za mizigo kuiua kwa kutumia masalia ilibuma kwa uwezo wake mola!
CDM ni mpango waMungu!!!! njama za mizigo kuiua kwa kutumia masalia ilibuma kwa uwezo wake mola!
Chadenma ni kweli mpango wa Mungu, kama rais wa nchi anashia kusema uvumilivu unamwishio wake jibuni mapigo na anashindwa kutumia vyombo vya kiusalama kudhibiti vurugu basi ujue nchi hiyo imelaaniwa, kwa kifupi fuatilia kifo cha mwangosi, tukio la Ulimboka, bomu la Arusha, mpka leo hii Rais kashindwa kuunda tume ili kupata ukweli anabaki kuimba taarabu hii ni aibu ya kiasi gani? tuna baki kubishana upuuzi...bahati nzuri Nchi hii ni nchi ya iliyo jaa watu wenye akili fupi!
Sio la kuuliza hilo, ni kweli CDM mpango wa Mungu.
1. Mpango wa kuhiujumu chadema kanda ya ziwa uliwekwa hapa mwanzoni mwa mwezi januari wajinga kama wewe mliuponda sana mwisho wa siku kilichotokea shinyanga umekiona,kama si mpango wa Mungu kwanini haya tuliyajua kabla.
2. Ugaidi wa kizushi wa Lwakatare, leo fuatilia wale wote waliokua nyuma ya pazia kama Msacky, zzk n.k wako wapi katika nafasi zao = mpango wa Mungu
3. Bomu la Soweto kuwalenga Mbowe na Lema lakini Mungu kawanusuru
4. Kesi mbalimbali zinazofunguliwa na Policcm, serikali na CCM mwisho wanaumbuka wao= mpango wa Mungu
5. Propaganda chafu zinazofanywa na Ccm, Tiss kama udini,ukanda,fujo, ili kuiua Cdm bado zinafeli= mpango wa Mungu
6. Nguvu kubwa inayofanywa na dola,bunge,tiss,policcm,tbccm, uhuru,mzalendo eti kuivuruga cdm tena kwa kununua makada wa CDM lakini hawafanikiwi,wakifanikiwa tayari washagundulika Mpango wa Mungu
Katika vyama vya siasa vya ajabu tanzania na chadema ni miongoni kimekwisha walianza na shetani watamaliza na shetani.
Exactly majibu hayo hapo.Usiulize tena we bwana mdogo
Na wewe umelishwa nini ?hivi chadema hawa wapenzi wenu mmewalisha nini? almost all hawajielewi ni kama mazombie
hivi chadema hawa wapenzi wenu mmewalisha nini? almost all hawajielewi ni kama mazombie