Je, kutumia trilioni 7 kujenga reli ni kipaumbele sahihi?

Sawa,
1.) Je, ni nini kinachofanya tunashindwa kuitumia hii reli ya zamani yenye uwezo mdogo; na nini kitakachobadilika hapo baadae kiasi tutaweza kuitumia hiyo reli mpya yenye uwezo mkubwa? (au kwa sasa hatuna haja ya kupunguza ,malori barabarani kwa kutumia reli na treni zilizopo?)
2.) Ni nini hasa kinachoifanya hii reli iwe na uwezo mdogo? je vyuma vilivyotumika ni vilaini sana ama? na je uwezo unakuwa determined na reli au na ukubwa wa kichwa cha treni pia?
-Gharama za uendeshaji ni kubwa sana kutoka na technolojia iliyotumika kulinganisha na SGR. Kwa mfumo wa SGR vipuri vinapatikana kwa urahisi zaidi.

-Kinachofanya kuwa na uwezo mdogo ni technolojia iliyotumika na uchakavu wa miundo mbinu kiongozi
-Uwezo unakuwa determine na technolojia mfano mdogo Kompyuta ya kwanza iliyokuwepo UDSM ilikuwa na ukubwa sawa na chumba cha kulala zaidi ya 3mx3m ila kwa technolojia sasa hivi Kompyuta haijai kiganjani.
 
Nakujibu swali namba 2.Reli zitakazotumika kwa SGR zina uzito mkubwa,ni kuanzia 80 Pounds/yard na kuendelea,kwahiyo zina uwezo wa kubeba mzigo mkubwa zaidi..
 
-Gharama za uendeshaji ni kubwa sana kutoka na technolojia iliyotumika kulinganisha na SGR. Kwa mfumo wa SGR vipuri vinapatikana kwa urahisi zaidi.

-Kinachofanya kuwa na uwezo mdogo ni technolojia iliyotumika na uchakavu wa miundo mbinu kiongozi
-Uwezo unakuwa determine na technolojia mfano mdogo Kompyuta ya kwanza iliyokuwepo UDSM ilikuwa na ukubwa sawa na chumba cha kulala zaidi ya 3mx3m ila kwa technolojia sasa hivi Kompyuta haijai kiganjani.
TAZARA ni SGR, lakini TANZAM highway ina ,malorry mengi sana i'm told, je, kama tunashindwa kutumia SGR iliyopo, nini kitabadilika hata tukileta hiyo SGR ya trillion 7?
 
Yes ya TAZARA ni pana na ina kasi
d9be29632720a0bb13f69c07ca944e8d.jpg
Kama vipi wabadili injini iwe ya umeme na kuboresha madaraja

Yes ya TAZARA ni pana na ina kasi
d9be29632720a0bb13f69c07ca944e8d.jpg
Kama vipi wabadili injini iwe ya umeme na kuboresha madaraja
inavutia
 
We bwege kweli! Waulize machademaa hilo swali
Hilo sio jibu ndugu yangu mjibu tuu vizuri aridhike kisha sema yy ni mjinga mfute ujinga usimuongezee na ubwege. Any way hii train itakuwa na speed ya kuweza kuwahisha watu kufika kuliko kukaa njiani siku tatu.. usafiri mzuri ndio maendeleo ya nchi yyte duniani. Hakuna nchi yenye usafiri mbaya ikawa na maendeleo.
 
Naomba kuelimishwa juu ya manufaa ya ujenzi wa hii Standard gauge railway.
1.) Tofauti hasa kati ya hii reli ya kati inayotoka Dar mpaka Dodoma na hii SGR tunayojenga toka Dar mpaka Dom ni nini? (Najua ina standard width, ila what diff. does it make?)

2.) Je, ni nini hasa ambacho hii reli iliyopo sasa inashindwa kufanya ambacho hii tunayojenga ya trilioni 7 itaweza kufanya?

3.) Kwakuwa hii SGR ya trilioni 7 inajengwa kwenye njia ile ile ya reli ya kati, je, wanajenga pembeni ya reli ya zamani au wanafumua ile ya zamani na kujenga hii mpya juu yake hapo hapo? Na kama wanafumua ya zamani, je, wanatumia material ya chuma hiyo hiyo ya zamani kujengea hii reli mpya au hivyo vyuma wanaenda kupima scraper? Nisaidieni mimi ni 'mjinga' juu ya SGR. (ujinga ni hali ya kutokujua kitu, si tusi)

Reli iliyopo ilijengwa 1907 na mjerumani km sijakosea.
Standard G inayojengwa ni ya kisasa zaidi, imara zaidi, train utatumia umeme na sio disel,

Reli itaraisisha usafiri wa mizigo na watu ,kwa bei nafuu zaidi ya gari na ndege na meli.

Tungeshauri badala ya kujenga uwanja wa ndege chato na katavi wange imari sha reli kwanza,
Zile hela za bombadie zingesogeza sana km zingeimarisha Reli.
 
Nadhani mleta mada umeridhika na majibu uliyopata. SGR ni pana kuliko ya sasa (kwa hiyo kama ulisoma phyisics kidogo utagundua) upana uliozidi una-lower centre of gravity kwa hiyo unapunguza uwezekano wa ajali. Reli inapita katikati ya nchi. Maendeleo yatakapoendelea kupatikana mazao mengi zaidi (na hata madini yatakayochimbwa) yatakuwa yanasafirishwa kwa reli. Reli ya sasa imechakaa. Badala ya kuitengeneza kila saa, ni afadhali kujenga mpya bora zaidi ambayo ni SGR. Tunafikiria mipango ya miaka 50 ijayo sio kusema kwamba sasa hakuna mizigo- miaka ijayo itakuwepo. Nchi jirani (Rwanda, Burundi Congo, Zambia) zitapitisha mizigo yao kwenye reli hiyo, Kwa vile mizigo itakayoweza kubebwa na SGR ni mingi kuliko kwenye reli ya sasa, nchi yetu itapata faida kubwa. Mambo ya kusema ni 'white elephant' ni negative thinking.
 
Hivi Trillions 7 zingegawiwa kama mitaji ya wafanya biashra na wakulima si ingesaidia sana jamani

Mtu kama hawezi tafuta mtaji wake mwenyewe hata km uki mpa hata endelea (African)
Hivi yale mabilioni ya JMK alitoa milioni 500 kila wilaya wakati Fulani , km mkopo ziko wapi tuwakopeshe wengine?????? I
 
Nadhani mleta mada umeridhika na majibu uliyopata. SGR ni pana kuliko ya sasa (kwa hiyo kama ulisoma phyisics kidogo utagundua) upana uliozidi una-lower centre of gravity kwa hiyo unapunguza uwezekano wa ajali. Reli inapita katikati ya nchi. Maendeleo yatakapoendelea kupatikana mazao mengi zaidi (na hata madini yatakayochimbwa) yatakuwa yanasafirishwa kwa reli. Reli ya sasa imechakaa. Badala ya kuitengeneza kila saa, ni afadhali kujenga mpya bora zaidi ambayo ni SGR. Tunafikiria mipango ya miaka 50 ijayo sio kusema kwamba sasa hakuna mizigo- miaka ijayo itakuwepo. Nchi jirani (Rwanda, Burundi Congo, Zambia) zitapitisha mizigo yao kwenye reli hiyo, Kwa vile mizigo itakayoweza kubebwa na SGR ni mingi kuliko kwenye reli ya sasa, nchi yetu itapata faida kubwa. Mambo ya kusema ni 'white elephant' ni negative thinking.
Miaka 50 ni mingi mno ktk kupanga maendeleo ya nchi.hivi tunajuaje muda huo ukija treni zitakua zinaumuhimu wowote! Kama tuna mizigo ya kutosha kwa sasa ni sawa ila kama unatumia mapesa yote hayo kwa kutegemea mizigo itakayokuwepo baada ya miaka 50 bas tunakosea.TAZARA inatushinda.hivi hatujiulizi kwanini Tazara imefeli? Kama ingekua ni uwezo wangu ningetumia hayo matrilion kuboresha utalii.ukiangalia bajet ya wizara ya utalii ni ndogo sana ila ndio inaongoza kuingiza pesa.hebu fikiria hixo pesa ungeziingiza kwenye miundombinu ya utalii.si tungeweza hata kuleta watalii milion 20 kwa mwaka! Kama watalii milion1.2 wanatupa trilion 4 kwa mwaka..sasa wakija milion 20 kwa mwaka watatupa trilion kama 66.Na hilo linawezekana.
 
Tazara sio SGR acha kudanganya watu tazara imejengwa miaka ya 70 standard gauge wakati huo ni teknolojia mpya bado wanapambana nayo ulaya bali ni reli bora kuliko ya kati.
CHOICE Kajifunze zaidi nadhani wewe ndio hujui maana ya standard gauge Railway. SGR ni reli yenye vipimo vya kimataifa ambayo in wagons zenye boogie pana na Locomotive za wheel kubwa. Hii ikiwa na maana treni inaweza kuondoka bandari ya DAR hadi South Africa bila kubadili Mabehewa. lakini reli ya kati is Narrow gauge ni ya EAST AFRICA TU. sio kwamba SGR zote zinatumia umeme. Hata Diesel Locomotive Engine zinatembea kwenye SGR.
 
Ni vema tukajua kwanini serikali inajenga miundombinu ya kudumu na kwann TZ ni wakati muafaka kuijenga SGR kumbuka hata wakati inajengwa hiyo TAZARA walikuwepo watanzani na walikuwa na hali ngumu kweli kimaisha na kwa kunyimwa wao ndio maana unafaidika wewe leo na kuiona ni bora hata hiyo ya KATI kuna damu na nguvu za watanzania waliumia wakafa ikakamilika ambayo leo hii bado wewe unaiona ni bora na ifanyiwe maboresho usipende kukaa uliposimama jaribu kusogea mbele huenda ukaona mti wenye kivuli angalia gharama zilizotumika kujenga hizo reli ambazo ni bora kwako sasa kwamba zingetumika kufanya kile unachoona kwako ni sahihi nadhani kwa wenye upeo wa mbali watanielewa faida za kuwa na SGR>>>>
1: Kusafirisha mizigo mingi zaidi na kwa wakati maana yake unaongeza kipato
2: Kurahisishia watu kusafiri na kufika sehemu kwa wakati kwaajili ya kufanya shughuli za maendeleo unagusa pato la mtu mmoja mmoja
3: Wafanya biashara kufikia masoko kwa wakati na kwa gharama nafuu unaingiza kodi nyingi zaidi
4:Kusafirisha malighafi nyingi na kwa haraka kufika kwenye viwanda na kwa bei nafuu zaidi na kufanya bidhaa zipungue bei mtaani
5: Bandari yetu itakuwa na uwezo wa kupakua na kupakia mzigo mwingi unaoingia na kutoka na kuongeza pato la taifa
6: Kuwafanya wafanyabiashara wa mataifa jirani kutumia reli yetu ambayo itakuwa inauwezo wa kusafirisha mzigo kwa haraka na wakati na usalama zaidi
NB: nasubiri tu ikamilike nitakuwa nawaambia nyumbani Kigoma pikeni ugali nakuja sasa hv nakuta hata haujapoa
 
Miaka 50 ni mingi mno ktk kupanga maendeleo ya nchi.hivi tunajuaje muda huo ukija treni zitakua zinaumuhimu wowote! Kama tuna mizigo ya kutosha kwa sasa ni sawa ila kama unatumia mapesa yote hayo kwa kutegemea mizigo itakayokuwepo baada ya miaka 50 bas tunakosea.TAZARA inatushinda.hivi hatujiulizi kwanini Tazara imefeli? Kama ingekua ni uwezo wangu ningetumia hayo matrilion kuboresha utalii.ukiangalia bajet ya wizara ya utalii ni ndogo sana ila ndio inaongoza kuingiza pesa.hebu fikiria hixo pesa ungeziingiza kwenye miundombinu ya utalii.si tungeweza hata kuleta watalii milion 20 kwa mwaka! Kama watalii milion1.2 wanatupa trilion 4 kwa mwaka..sasa wakija milion 20 kwa mwaka watatupa trilion kama 66.Na hilo linawezekana.

History[edit]
As railways developed and expanded, one of the key issues was the track gauge (the distance, or width, between the inner sides of the rails) to be used. The result was the adoption throughout a large part of the world of a "standard gauge" of 1435 mm (4 ft  8 1⁄2 in), allowing inter-connectivity and inter-operability.
Origins[edit]
A popular legend that has been around since at least 1937[6] traces the origin of the 1435 mm (4 ft  8 1⁄2 in) gauge even further back than the coalfields of northern England. Kwa taarifa NDG CHIKUNDI SAID, SGR ipo tangu mwaka 1937. kuna mdau alibisha kuwa TAZARA sio SGR angalia hapo juu Ukitaka Kumficha Mtanzania jambo liweke kwenye Maandishi.
 
Pamoja na hiyo SGR Tanzania tangu mwaka 1975 tunayo standard gauge Railway ambayo tulijengewa na MCHINA hii ni reli ya TAZARA lakini sijui imekuaje matumizi yake yameshuka sana kama tujuavyo TANZAM road hii ina malori mengi je tumejitahidi kiasi gani kuyaondoa hayo malori 500 barabarani. TAZARA imeunga bandari ya DAR hadi New Kapiri Mposhi kuhudumia mizigo ya DRC, Zambia hadi Zimbabwe pia Mizigo ya Malawi hadi Depot ipo Pale Mbeya Iyunga (Malawi Cargo) kwa ajiri ya mizigo ya Malawi. Je hali yake iko vipi ni aibu kwasasa matumizi ya barabara ni makubwa kuliko reli tafadhali serikali hebu tuingalie hii reli yenye uwezo mkubwa SGR tuiijenga kwa kilometa nyingi sana kwa kukopa huko CHINA 1890km (kurasini hadi Kapiri mposhi Zambia). Nadhani hii tukiitilia mkazo ni mkombozi wa barabara zetu na kukuza uchumi wetu.
Km umeshawahi upanda Treni ya Tazara then ungejua speed yake ni ndogo around 40km/h (i stand to be corrected)...ss mimi km mfanya bishara why nitumie treni ya speed hio while kuna maroli au mabasi yanayokwenda 80km/h na zaidi?kinachofanya wafanyabiashara wanaziacha hizi reli zetu sio tu uwezo ila kikubwa zaidi ni speed...una samaki umewatoa mwanza unawaleta dar ukitumia basi zitafika siku hio hio ila treni zitafika a next day ukiwa ushalichelewa soko na mzigo ukiwa na posibility ya kuharibika...ukiwa na treni ya speed ya 120 or 160km/hr why nitumie roli la 80km/hr?
 
Back
Top Bottom