-Gharama za uendeshaji ni kubwa sana kutoka na technolojia iliyotumika kulinganisha na SGR. Kwa mfumo wa SGR vipuri vinapatikana kwa urahisi zaidi.Sawa,
1.) Je, ni nini kinachofanya tunashindwa kuitumia hii reli ya zamani yenye uwezo mdogo; na nini kitakachobadilika hapo baadae kiasi tutaweza kuitumia hiyo reli mpya yenye uwezo mkubwa? (au kwa sasa hatuna haja ya kupunguza ,malori barabarani kwa kutumia reli na treni zilizopo?)
2.) Ni nini hasa kinachoifanya hii reli iwe na uwezo mdogo? je vyuma vilivyotumika ni vilaini sana ama? na je uwezo unakuwa determined na reli au na ukubwa wa kichwa cha treni pia?
-Kinachofanya kuwa na uwezo mdogo ni technolojia iliyotumika na uchakavu wa miundo mbinu kiongozi
-Uwezo unakuwa determine na technolojia mfano mdogo Kompyuta ya kwanza iliyokuwepo UDSM ilikuwa na ukubwa sawa na chumba cha kulala zaidi ya 3mx3m ila kwa technolojia sasa hivi Kompyuta haijai kiganjani.