Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?

Wewe ni mvivu wa kusoma.
Mbona limetolewa angalizo kuwa si watu wote Ila baadhi kama si wengi wao?
 
Ukiamua kuandika english basi egemea huko huko na kama ni kiswahili andika kiswahili tu hizo sijui morphological, psychoanalysis sijui ni wadudu gani mnaharibu lugha ya taifa
Mdau ukiona Mtu anapenda sana kuchanganya Lugha mbili kwenye Maongezi yake,
Ingawa Si mara zote, mara nyingi si Mzuri katika Lugha zote husika (Nionavyo mimi)
Ila, Kwa Huyu bwana naona hata akichanganya yupo sahihi Lugha zote,
Sasa pengine ni makusudi tu kutukoga tuliokimbia Umande,
Eee! Tutajuaje kuwa nayeye Msomi?
Muache tu a mix, achanganye na akoroge kabisa ikibidi hasa ukizingatia hayuko Darasa la Lugha yoyote hapa.
 
Ni kweli Lakini Pia Watu wafupi hasa Wanaume asilimia Nzuri wanafanikiwa sana Kwenye Elimu na Finance kwa sababu Wanajisukuma Kwa Nguvu nyingi kuwaprove watu wrong! Yaani kuwa wao sio inferior na kwa njia hiyo by accident wanajikuta wakifanikiwa sana. Eg Julius Caesar!

Kadhalika Kiuongozi, Kijeshi na Michezo itumiayo Nguvu Wanaume Warefu Wanafanikiwa kwa Kuwa Wanajiamini Kupitiliza na kwa kadiri wanavyoendelea kujiamini kwao kunakuwa ni reality. Kwa Wanawake Trend hii haipo kwenye Kimo ila kwa Wale ambao sura zao sio Kivile!
 
Yani hilo kamanda weka tiki kisha rejea nyuma watizame watu wetu na tabia zao, hawana tofauti na matrafiki wa kike, huwa moto mara moja.
 
Niliwahi kushauri humu, zikitolewa tuhuma, kabla hamjalaumu, angalie heights za wanaokasirika!.

P
Hata kitendo cha kujibu kila kinachosemwa kwenye juu yako, wewe unakijibu kupitia mamlaka yako, pia ni muendelezo wa lack of confidence. Kujibu kwa hasira sana ni dalili ya loosing confidence, sisi wafupi kiukweli tunakasirika sana!.

Kama ingekuwa kila kiongozi anajibu kila anachoambiwa kwenye social media, ingekuwaje?.

A Way Forward.
Kwenye dunia hii ya the world of information age ya dunia kiganjani, iwe ni mandatory kwa viongozi wetu wote, wakiwemo wakuu,wawe na kurasa zao za social media, ili zikiibuliwa hoja kwenye social media, zijibiwe huko huko kwenye social media, na sio kutumia kiti kujibia social media.

P.
 
Mayalla,
nimecheka sana. Ila huenda yanayotokea bungeni yanasababishwa na maumbile yetu.
 
Hahahahahahaaa unamchokonoa mkulu sasa wewe..........
 
Mfano Ayubu Ndungi alivyompiga gongo yule mgombea mwenzake ilikuwa ni nini? Kwani ana kimo gani ?

Anavyolifanya bunge ,, kuongea kwa dharau na dhikaha hata anapofanya ndivyo sivyo, nikutaka aheshimiwe? Kwa nini adai heshima kwa nguvu ? Kwani ana kikmo gani?




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…