Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?

Hoja yako haina mashiko kihoja.

Rais mstaafu, Mzee Mwinyi ni mfupi sana lakini pamoja na kuwa public figure hatujawahi kumuona aki-act kama hoja zako zinavyodai.

Mwingine ni Mzee Kawawa...

Kwa watu walioishi Japan na sehemu za Asia kama ufilipino ambako watu wake wengi ni wafupi watapingana na hoja zako.

The list goes on and on
Wewe ni mvivu wa kusoma.
Mbona limetolewa angalizo kuwa si watu wote Ila baadhi kama si wengi wao?
 
Ukiamua kuandika english basi egemea huko huko na kama ni kiswahili andika kiswahili tu hizo sijui morphological, psychoanalysis sijui ni wadudu gani mnaharibu lugha ya taifa
Mdau ukiona Mtu anapenda sana kuchanganya Lugha mbili kwenye Maongezi yake,
Ingawa Si mara zote, mara nyingi si Mzuri katika Lugha zote husika (Nionavyo mimi)
Ila, Kwa Huyu bwana naona hata akichanganya yupo sahihi Lugha zote,
Sasa pengine ni makusudi tu kutukoga tuliokimbia Umande,
Eee! Tutajuaje kuwa nayeye Msomi?
Muache tu a mix, achanganye na akoroge kabisa ikibidi hasa ukizingatia hayuko Darasa la Lugha yoyote hapa.
 
Wanabodi

Declaration of interest, mimi ni mtu mfupi na nina tatizo moja tuu la kutokubali kudanganywa kirahisi, ila huwa sikasiriki ninapodharauliwa, sio mwana saikolojia ya kufundishwa darasani bali saikolojia ya kujifunza by observations kwa nini mtu fulani ana behaviour fulani?.

Hili ni bandiko la swali juu ya political psychoanalysis kuhusu ya saikolojia ya wanasiasa wetu kwenye mambo ya body morphological na anatomically kuhusu uhusiano uliopo kuhusu umbile la mtu and the way he thinks, feels and behave. Ni kuhusu, urefu, ufupi, unene, wembamba, weusi, weupe etc, kuna hoja kuwa umbo la mtu lina direct relations na anavyo behave.

Hii nimeipata kwenye kitabu kiitwacho "Man Watcher" kilichoandikwa na mwana sosho saikolojia Dr. Desmond Morris, kuwa wengi wa watu wafupi (sio wote), wana matatizo ya kisaikolojia yanayoleta tatizo liitwalo inferiority complex zinazo wafanya wakose confidence hivyo ku practice superiority complex wanapoudhiwa wanakuwa wakali kweli kweli na huchachamaa!. Pia nimesoma hoja hizi katika vitabu vya Dr. Sigmund Freud.

Hata katika andiko hili imeelezwa
https://www.google.com/url?sa=t&sou..._1tiAWRMwjT8yuC6w&sig2=gJ6XUA15Le0I_9po8DNoMQ

Sasa inapotokea watu wafupi hawa kujihisi wamedharauliwa halafu ikatokea mfupi huyo ni mwanamume mwenye tabia za male chauvinism, halafu kudharauliwa kwenyewe, of all the people, kuwe ni kudharauliwa na mwanamke, halafu mwanamke mwenyewe awe amemzidi urefu huyo mtu mfupi, hivyo kujihisi sio amedharauliwa tuu bali amefedheheshwa tena mbele ya kadamnasi ya watu!, can you just imagine itakuwaje?!.

Kitu cha kwanza atakuwa provoked na na mtu anapokuwa kwenye the highest stages za provocation anapata hali inayoitwa "pseudo insanity" anakuwa insane, hivyo anaweza kufanya lolote, at that particular moment ila akiwa ni miongoni mwa wafupi hawa then be very careful, not to provoke them, maana wanaweza kushika chochote kilicho karibu na kukudhuru nacho hata kukuua, na akiwa na mwanasheria mzuri akajenga hoja ya acting under provocation, then he will walk free!.

Watu hawa huwa wana bust with rage, kama ana pistol anaweza kuua!. Huwa wanakasirika hadi wana wish wa ku crush kwenye blenda, wakutwange kwenye kinu au wakusage sage!.

Kuna hiki kisa sijui kama ni cha kweli. ..kwenye kampeni fulani kuna mgombea mrefu alimtibua mgombea mwenzake mfupi, yule mfupi alikasirika sana hadi kuchukua gongo na kumtwanga nalokichwani yule mrefu akaanguka akazimia!.

Jee hoja hizi zina ukweli wowote?. Jee urefu wa mtu una uhusiano na mambo ya confidence and lack of confidence?.

Ndio maana kwenye board rooms kiti kimoja hufanywa kirefu, kiti cha mfalme huwa kirefu, ili kumuongezea confidence?.

Mimi ni single hand driver, nikiendesha gari za juu kama ma SUV nakuwa very confident ila nikiendesha vigari vidogo vya chini kama Suzuki Alto au ki Kirikuu nakosa kabisa confidence!.

Tukija kwenye siasa tuelekee moja kwa moja
kule mjengoni kwetu Dodoma, kuna warefu na wafupi. Mfano wabunge warefu wanajisikia sana, wanaongea wakiwa proud and very confident. Iko wizara Waziri ni mfupi naibu mrefu, Waziri akiongea anaonekana kabisa hana confidence lakini naibu yuko very confident.

Kuna Mhe. Mbunge mmoja mfupi ni so notorious kwa kutukana!. Akiongea kama anashout ili sauti isikike, huku anakukuruka utadhani anataka kupanda juu ya meza watu wamuone hivyo lazima ataongea kituko kuvunja watu mbavu!. Jee inawezekana hiyo notoriety inatokana na ufupi wake?.

Ukipima kiwango cha utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wetu tukilinganisha na adhabu walizopatiwa kwa utovu huo, is there any proportionality or any correlations kati makosa yao, kujisikia kwao, dharau zao, viburi vyao na jeuri zao ukilinganisha na heights zao na kiwango cha heights za wanao wakasirisha? .

Angalizo: Mambo ya political psychoanalysis ni mambo ya ma GT only. Ma GT huwa hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo sitarajii kuona majina yoyote yakitajwa tajwa humu na hata kama kuna mfupi yoyote unayemjua au kumdhania, kuwa na tabia kama hizi, please please please nakuomba usimtaje jina, bali muhifadhi ili hasira zake zisije kunishukia mimi!.

Hivyo ukiona mtu ana behave kiajabu ajabu ku seek attention kuwa yeye ni mtu muhimu sana, anaongea kwa vitisho with over confidence, anatoa adhabu za ajabu ajabu, kabla hijalaumu, fikiria kwanza height yake, then utaelewa sababu, jambo ukiishalielewa, halikupi shida!.

Paskali
Ni kweli Lakini Pia Watu wafupi hasa Wanaume asilimia Nzuri wanafanikiwa sana Kwenye Elimu na Finance kwa sababu Wanajisukuma Kwa Nguvu nyingi kuwaprove watu wrong! Yaani kuwa wao sio inferior na kwa njia hiyo by accident wanajikuta wakifanikiwa sana. Eg Julius Caesar!

Kadhalika Kiuongozi, Kijeshi na Michezo itumiayo Nguvu Wanaume Warefu Wanafanikiwa kwa Kuwa Wanajiamini Kupitiliza na kwa kadiri wanavyoendelea kujiamini kwao kunakuwa ni reality. Kwa Wanawake Trend hii haipo kwenye Kimo ila kwa Wale ambao sura zao sio Kivile!
 
Yani hilo kamanda weka tiki kisha rejea nyuma watizame watu wetu na tabia zao, hawana tofauti na matrafiki wa kike, huwa moto mara moja.
 
upload_2017-6-16_11-39-20.jpeg
 
Niliwahi kushauri humu, zikitolewa tuhuma, kabla hamjalaumu, angalie heights za wanaokasirika!.

P
Hata kitendo cha kujibu kila kinachosemwa kwenye juu yako, wewe unakijibu kupitia mamlaka yako, pia ni muendelezo wa lack of confidence. Kujibu kwa hasira sana ni dalili ya loosing confidence, sisi wafupi kiukweli tunakasirika sana!.

Kama ingekuwa kila kiongozi anajibu kila anachoambiwa kwenye social media, ingekuwaje?.

A Way Forward.
Kwenye dunia hii ya the world of information age ya dunia kiganjani, iwe ni mandatory kwa viongozi wetu wote, wakiwemo wakuu,wawe na kurasa zao za social media, ili zikiibuliwa hoja kwenye social media, zijibiwe huko huko kwenye social media, na sio kutumia kiti kujibia social media.

P.
 
Mayalla,
Wanabodi

Declaration of interest, mimi ni mtu mfupi na nina tatizo moja tuu la kutokubali kudanganywa kirahisi, ila huwa sikasiriki ninapodharauliwa, sio mwana saikolojia ya kufundishwa darasani bali saikolojia ya kujifunza by observations kwa nini mtu fulani ana behaviour fulani?.

Hili ni bandiko la swali juu ya political psychoanalysis kuhusu ya saikolojia ya wanasiasa wetu kwenye mambo ya body morphological na anatomically kuhusu uhusiano uliopo kuhusu umbile la mtu and the way he thinks, feels and behave. Ni kuhusu, urefu, ufupi, unene, wembamba, weusi, weupe etc, kuna hoja kuwa umbo la mtu lina direct relations na anavyo behave.

Hii nimeipata kwenye kitabu kiitwacho "Man Watcher" kilichoandikwa na mwana sosho saikolojia Dr. Desmond Morris, kuwa wengi wa watu wafupi (sio wote), wana matatizo ya kisaikolojia yanayoleta tatizo liitwalo inferiority complex zinazo wafanya wakose confidence hivyo ku practice superiority complex wanapoudhiwa wanakuwa wakali kweli kweli na huchachamaa!. Pia nimesoma hoja hizi katika vitabu vya Dr. Sigmund Freud.

Hata katika andiko hili imeelezwa
Short Man Syndrome Explained - Health Guidance
Napoleon complex - Wikipedia

Sasa inapotokea watu wafupi hawa kujihisi wamedharauliwa halafu ikatokea mfupi huyo ni mwanamume mwenye tabia za male chauvinism, halafu kudharauliwa kwenyewe, of all the people, kuwe ni kudharauliwa na mwanamke, halafu mwanamke mwenyewe awe amemzidi urefu huyo mtu mfupi, hivyo kujihisi sio amedharauliwa tuu bali amefedheheshwa tena mbele ya kadamnasi ya watu!, can you just imagine itakuwaje?!.

Kitu cha kwanza atakuwa provoked na na mtu anapokuwa kwenye the highest stages za provocation anapata hali inayoitwa "pseudo insanity" anakuwa insane, hivyo anaweza kufanya lolote, at that particular moment ila akiwa ni miongoni mwa wafupi hawa then be very careful, not to provoke them, maana wanaweza kushika chochote kilicho karibu na kukudhuru nacho hata kukuua, na akiwa na mwanasheria mzuri akajenga hoja ya acting under provocation, then he will walk free!.

Watu hawa huwa wana bust with rage, kama ana pistol anaweza kuua!. Huwa wanakasirika hadi wana wish wa ku crush kwenye blenda, wakutwange kwenye kinu au wakusage sage!.

Kuna hiki kisa sijui kama ni cha kweli. ..kwenye kampeni fulani kuna mgombea mrefu alimtibua mgombea mwenzake mfupi, yule mfupi alikasirika sana hadi kuchukua gongo na kumtwanga nalokichwani yule mrefu akaanguka akazimia!.

Jee hoja hizi zina ukweli wowote?. Jee urefu wa mtu una uhusiano na mambo ya confidence and lack of confidence?.

Ndio maana kwenye board rooms kiti kimoja hufanywa kirefu, kiti cha mfalme huwa kirefu, ili kumuongezea confidence?.

Mimi ni single hand driver, nikiendesha gari za juu kama ma SUV nakuwa very confident ila nikiendesha vigari vidogo vya chini kama Suzuki Alto au ki Kirikuu nakosa kabisa confidence!.

Tukija kwenye siasa tuelekee moja kwa moja
kule mjengoni kwetu Dodoma, kuna warefu na wafupi. Mfano wabunge warefu wanajisikia sana, wanaongea wakiwa proud and very confident. Iko wizara Waziri ni mfupi naibu mrefu, Waziri akiongea anaonekana kabisa hana confidence lakini naibu yuko very confident.

Kuna Mhe. Mbunge mmoja mfupi ni so notorious kwa kutukana!. Akiongea kama anashout ili sauti isikike, huku anakukuruka utadhani anataka kupanda juu ya meza watu wamuone hivyo lazima ataongea kituko kuvunja watu mbavu!. Jee inawezekana hiyo notoriety inatokana na ufupi wake?.

Ukipima kiwango cha utovu wa nidhamu wa baadhi ya wabunge wetu tukilinganisha na adhabu walizopatiwa kwa utovu huo, is there any proportionality or any correlations kati makosa yao, kujisikia kwao, dharau zao, viburi vyao na jeuri zao ukilinganisha na heights zao na kiwango cha heights za wanao wakasirisha? .

Angalizo: Mambo ya political psychoanalysis ni mambo ya ma GT only. Ma GT huwa hawa discuss watu, wana discuss ideas, hivyo sitarajii kuona majina yoyote yakitajwa tajwa humu na hata kama kuna mfupi yoyote unayemjua au kumdhania, kuwa na tabia kama hizi, please please please nakuomba usimtaje jina, bali muhifadhi ili hasira zake zisije kunishukia mimi!.

Hivyo ukiona mtu ana behave kiajabu ajabu ku seek attention kuwa yeye ni mtu muhimu sana, anaongea kwa vitisho with over confidence, anatoa adhabu za ajabu ajabu, kabla hajalaumu, fikiria kwanza height yake, then utaelewa sababu, jambo ukiishalielewa, halikupi shida!.

NB. Kufuatia hali hiyo ya ufupi, vichwani wako smart, wana bidii sana ya kazi kwa kujituma to prove ufupi sio hoja, hivyo wengi wako very successiful kimaisha.

Paskali
nimecheka sana. Ila huenda yanayotokea bungeni yanasababishwa na maumbile yetu.
 
Mfano Ayubu Ndungi alivyompiga gongo yule mgombea mwenzake ilikuwa ni nini? Kwani ana kimo gani ?

Anavyolifanya bunge ,, kuongea kwa dharau na dhikaha hata anapofanya ndivyo sivyo, nikutaka aheshimiwe? Kwa nini adai heshima kwa nguvu ? Kwani ana kikmo gani?

20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom