Je, kuna ukweli Juu ya maneno haya kwa wanawake au ni chuki Tu?

Shetani ndio kamwambia mwanamke avae artificial?! Makubwa 🚶🚶
Ni mpango wa shetani katika kutimiza azma yake.

Alianza na mkutano wa Beijing,haki sawa mwanamke na mwanaume..(sasa hapa kuna mambo mengi mno ikiwa ni pamoja na hizo vitu bandia,kuchubua miili..na mengine mengi hata nikiyaelezea sitoeleweka)

Sasa anaenda kwa wanaume.

Unafikiri hapa tulipo tupo salama!!!ni huruma ya Mungu inahitajika tu.
 
Nishaanza kunywa bingwa hapa uje ulipe sasa.

kunasiku nilijipeleka kujibandika hayo makucha bhana..kha!!nilikuwa natembembea vidole nimeweka kama mamba nilishwandwaga kabisa.

Kubaki asilia ni nzuri zaidi

Ila na nyie wanaume hamueleweki saa ingine..akikatiza mdada katupia hayo makorokocho huwa mnavurugwa kabisaaa..

Cha muhimu ni kila mtu abaki vile anavyoona moyo wake unafurahi.

Hahaha unakunywa bingwa

Nooo ni wanaume wachache sana wanavutiwa na wanawake wenye kutumia artificial urembo...

Nakupa hii siri sisi wanaume tunapendezwa sanaaa na wanawake wenye asili yao, kwa kweli huwa mnatupa mvutoo wa ajabu sana mkiwa asili
 
Sasa utavaa vitu vya artificial mkienda kuishi wote asubuhi mkiamka vuruguvurugu mwanaume unaanza kujiuliza hivi huyu nimempendea nini, nakupa hiyo siri ba wengine mjue hili
 
Ni mpango wa shetani katika kutimiza azma yake.

Alianza na mkutano wa Beijing,haki sawa mwanamke na mwanaume..(sasa hapa kuna mambo mengi mno ikiwa ni pamoja na hizo vitu bandia,kuchubua miili..na mengine mengi hata nikiyaelezea sitoeleweka)

Sasa anaenda kwa wanaume.

Unafikiri hapa tulipo tupo salama!!!ni huruma ya Mungu inahitajika tu.
Hawezi kukuelewa nae ni walewale
 
Hahaha unakunywa bingwa

Nooo ni wanaume wachache sana wanavutiwa na wanawake wenye kutumia artificial urembo...

Nakupa hii siri sisi wanaume tunapendezwa sanaaa na wanawake wenye asili yao, kwa kweli huwa mnatupa mvutoo wa ajabu sana mkiwa asili
Eheee nakunywa bingwa bhana..nishafika bingwa ya sita leo 77😅😅

Wooooooozaaaaaaaaahhhhh.....

Kama ni kweli hili ulisemalo basi tunashukuru..tutaanza kubaki na uziri wetu wa asilia aise..
Leo naenda kutafuta mafuta ya samli nianze pakaa ngozi iwe nyororo😅😅
 
Eheee nakunywa bingwa bhana..nishafika bingwa ya sita leo 77

Wooooooozaaaaaaaaahhhhh.....

Kama ni kweli hili ulisemalo basi tunashukuru..tutaanza kubaki na uziri wetu wa asilia aise..
Leo naenda kutafuta mafuta ya samli nianze pakaa ngozi iwe nyororo

Chukulia mfano uwepo wa artificial hivi ni mwanaume gani anavutiwa nao, uwepo wa madukani???
 
Wapi wanaovutiwa nao ..

Inaonekana wewe hupendi hayo makorokocho lkni ninauhakika pia kuna wengine wanayapenda.

Lkni pia inasemeka kuwa mnasema hamyapendi hayo ma artnini sijui huko ili kuepuka gharama kwa mwanamke😉😉😉😉😄😄😄 kuwa mkweli hapa😊😊
 
Ni mpango wa shetani katika kutimiza azma yake.

Alianza na mkutano wa Beijing,haki sawa mwanamke na mwanaume..(sasa hapa kuna mambo mengi mno ikiwa ni pamoja na hizo vitu bandia,kuchubua miili..na mengine mengi hata nikiyaelezea sitoeleweka)

Sasa anaenda kwa wanaume.

Unafikiri hapa tulipo tupo salama!!!ni huruma ya Mungu inahitajika tu.
Doh, Aya bwana, I agree to disagree in the end
 
Back
Top Bottom