Je, kuna Tundu (Hollow) katika Ncha ya Kaskazini linalotoa miale ya Mwanga kutokea Ndani ya Dunia?

Tatizo kubwa hii elimu tunayoipata inazuia uwezo wa kufikiri ndio maana watu tunabisha bisha tu, sayansi sio kila kitu inauelewa nacho, pia kuna vitu wanasayansi wameviseti tu kwa manufaa yao au kutudanganya sisi tusiojua hali halisi. Kwa mfano gravity, theories of origin of universe, nk ni ngumu kumeza. Ukiona wanasansi wanakinzana hapo ndio ujiulize what is fact?
 
Sasa kama kuna hole kwanini hao NASA wanaficha shida ninini? Kwani dunia ikiwa na uwazi kwa ndani wao kinachowakera ninini hata waedit picha?
Hilo nalo neno. Hata hivyo inadaiwa viongozi duniani wakiwemo wa dini, huwa wanaogopa kuwa, ukweli ukijulikana kuwa kuna viumbe wengine ulimwenguni mbali na binadamu, italeta mkanganyiko mkubwa sana. Possibly itabadili kabisa hata mitazamo ya wanadamu kwenye dini zao. So, wanaona ni bora humanity ibakie gizani kuliko kuleta kihoro duniani.
 
Pure conspiracy. Hollow? no way! Baadhi ya majaribio ya kisayansi hufanya hoja kuwa kubwa kwa nadharia kwamba kuna tundu katika Dunia. Hilo haliwezekani. Physics ya leo inataka gravity kuwa ndo nguvu kuu katika vitu vilivyopo na vinavyotembea katika uso wa Dunia.
Katika Dunia hii tunayoishi kuna theory of electromagnetism ambayo ndo inasaidia mambo kama umeme, mwanga etc.. Hivyo basi katika mfano huo, kitu kama centrifugal force hutenganisha dunia kwa njia ya density na kutoa mwanga kama mfano wa shimo.. Hata hivyo, sehemu nyingine ya Dunia na anga itakuwa hasa ushawishi na kivutio electrostatic na kuunganisha katika suala kutoka anga, hivyo kuelezea anga yetu kuwa nyepesi katika molekuli, na hivyo kuchangia kitu kama mwanga kuendelea kuvinjari kwenye outer space ya Dunia/Universe.
Nimalizie kwa kusema kuwa hizo ni Conspiracy na Uongo mkubwa wa wana sayansi wa Dunia hii.

Phobos-mosaic.jpg
 
Mmh basi kazi ipo. Lakini mambo ya tafiti hayana ukomo kama watafiti wa mwanzo walikosea baadae ukweli ukapatikana juu ya jambo husika kwanini iwe shida kuwekwa wazi?
 
so hlo tundu mmh mbna lnanichanganya tuseme ndani ya dunia kuna makazi ya viumbe wengne imekua ni siri kwa baadhi ya watu lakini hizi tetesi wangekuepo tungesha waona si unajua dunia haina siri au ndo tushaanza kuelewa kidogokdgo laiki yote na yote ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe
 
Mmh basi kazi ipo. Lakini mambo ya tafiti hayana ukomo kama watafiti wa mwanzo walikosea baadae ukweli ukapatikana juu ya jambo husika kwanini iwe shida kuwekwa wazi?
Aliens aliens vurugu tupu tu kama wapo watajitokeza tu
Tangu incident ya Roswell nchini Marekani 1947, inayodaiwa kuhusisha UFO (Unidentified Flying Object), kumekuwepo masimulizi mengi yanayoonyesha kutokea kwa Aliens maeneo mbalimbali.
Vilevile, wanasayansi kadhaa hasa wale retired from NASA, wamekuwa wakitoa shuhuda za kuhusika moja kwa moja na UFOs. Aidha, ni mara kadhaa Viongozi wa Marekani wamekuwa wakilazimika kukanusha juu ya Nchi yao kushirikiana na Aliens kiteknolojia walioko kwenye eneo la siri, Area 51.
Kuna wanasayansi kadhaa wa Marekani waliuawa baada ya kutoboa Siri juu ya Aliens nchini humo.
Halafu jiulize swali muhimu: Kwa nini muonekano wa Aliens uko common? Kama Aliens hawapo, hizo picha maarufu zinazoonyesha sura zao zilitokeaje? Nani aliwachora na wote kukubaliana kuwa wanafanana hivyo? Kwa nini vyombo vyao vya usafiri (UFOs) vinafanana?
IMG_5489.JPG
IMG_5486.JPG
 
Baadhi ya Wataalamu wa Conspiracy Theory wamekuwa wakionyesha kuwa, Dunia ni hollow (Tundu) ambalo lina mwanga (Jua dogo) kwa ndani na kuwa kuna viumbe (Aliens) wanaoishi ndani yake wakiwa na ustaarabu wa hali ya juu. Ustaarabu huo unaitwa Agartha na Mji Mkuu ni Shamballah
View attachment 817224
Wataalamu hao wamekuwa wakieleza kuwa, Ncha za Kaskazini na Kusini zina uwazi (hollow) ambayo huwa hauonyeshwi kwa makusudi na picha za satellite. Wanadai licha ya jitihada nyingi za NASA ku-edit eneo hilo, bado baadhi ya picha zinaonyesha shimo (hole) kwenye Ncha ya Kaskazini.
View attachment 817270

Aidha, inaelezwa kuwa, ukifika eneo hilo joto huongezeka licha ya eneo la Ncha ya Kaskazini kufunikwa na barafu kutokana na joto linalotoka ndani ambako kuna jua dogo.
Eneo hilo linalindwa na Marekani na ndege haziruhusiwi kupita eneo hilo, ukilazimisha unadunguliwa.
View attachment 817227

Wajuvi wa mambo nadhani mtatusaidia juu ya hii kitu.
Ukifuatilia You Tube juu ya Hollow Earth utajifunza mengi.
Unajua mkuu Uzi uliyouleta ni mgumu sana na unaumiza kichwa sana kwa sababu imebeba mambo matatu makubwa.
Mosi; Dunia yetu ina Hollow
Pili; kwamba kuna other world beneath our own.
Tatu; kuna Jua ndani ya Sayari Dunia

Hebu kwanza tuyajadili hayo ya juu yanawezekana?

Licha ya hivyo kuna mambo nayo yanaleta maswali ambayo hayana majibu. Umetolea mfano kwamba Marekani hilo eneo ameweka no fly zone, Vipi kuhusu china? Vipi kuhusu Russia? Kwa sababu hii ishu ina concern Dunia yetu. Why America?
 
Tangu incident ya Roswell nchini Marekani 1947, inayodaiwa kuhusisha UFO (Unidentified Flying Object), kumekuwepo masimulizi mengi yanayoonyesha kutokea kwa Aliens maeneo mbalimbali.
Vilevile, wanasayansi kadhaa hasa wale retired from NASA, wamekuwa wakitoa shuhuda za kuhusika moja kwa moja na UFOs. Aidha, ni mara kadhaa Viongozi wa Marekani wamekuwa wakilazimika kukanusha juu ya Nchi yao kushirikiana na Aliens kiteknolojia walioko kwenye eneo la siri, Area 51.
Kuna wanasayansi kadhaa wa Marekani waliuawa baada ya kutoboa Siri juu ya Aliens nchini humo.
Halafu jiulize swali muhimu: Kwa nini muonekano wa Aliens uko common? Kama Aliens hawapo, hizo picha maarufu zinazoonyesha sura zao zilitokeaje? Nani aliwachora na wote kukubaliana kuwa wanafanana hivyo? Kwa nini vyombo vyao vya usafiri (UFOs) vinafanana?
View attachment 821502View attachment 821501
Katika suala la aliens sina uhakika nalo ila nitagusia kuhusu hizo flying object hivyo vi saucer.

Niliingalia documentary moja ya kirusi YouTube kwa bahati mbaya ilizuiliwa kupakulika ilikuwa inazungumzia hizo ndege za mfano wa sahani zinazoruka angani. Walikuwa wanazungumza ni majenerali wa kivita wa Urusi na ni ya mda hiyo documentary. Baada ya vita ya pili kukaribia kuisha wanasayansi wa Hitler walikuwa wanachukuliwa na mataifa makubwa na kuna wengine walikamatwa wakiwa na projection za zana za kivita moja wapo ni hiyo ya flying object "saucer" Hitler alikuwa nayo tena alivifanikisha na vikawa vinapaa na store yake ya siri na matengenezo ya hizo ndege visahani aliyafanya bara la Antarctica.

Mpaka na michoro ya hizo saucer ya Hitler, wanasayansi waliyohusika, Warusi waliwaongelea kwenye hiyo documentary mpaka mwanasayansi aliyefanikiwa kutengeneza engine ya hiyo ndege walimtaja tena na picha zao zinaoneshwa kabisa. Vita ilipoisha America alivutiwa na hiyo sayansi naye akaendeleza kulekule kwa Hitler bara la Antarctica na hizo unidentified flying object. Ndizo hizo zinazoonekana baadhi ya maeneo na kuwatia watu hofu na zikionekana kwa baadhi ya watu America inakuambia ni Aliens ili kuficha kwa watu.

Ila ukweli ni kwamba zinakasi sana na meli jeshi la America na nyenginezo zilipoenda bara la Antarctica kipindi vita ya pili ya Dunia inakaribia kuisha walishambuliwa vibaya sana na hizo flying object saucer".
 
Last edited:
Pure conspiracy. Hollow? no way! Baadhi ya majaribio ya kisayansi hufanya hoja kuwa kubwa kwa nadharia kwamba kuna tundu katika Dunia. Hilo haliwezekani. Physics ya leo inataka gravity kuwa ndo nguvu kuu katika vitu vilivyopo na vinavyotembea katika uso wa Dunia.
Katika Dunia hii tunayoishi kuna theory of electromagnetism ambayo ndo inasaidia mambo kama umeme, mwanga etc.. Hivyo basi katika mfano huo, kitu kama centrifugal force hutenganisha dunia kwa njia ya density na kutoa mwanga kama mfano wa shimo.. Hata hivyo, sehemu nyingine ya Dunia na anga itakuwa hasa ushawishi na kivutio electrostatic na kuunganisha katika suala kutoka anga, hivyo kuelezea anga yetu kuwa nyepesi katika molekuli, na hivyo kuchangia kitu kama mwanga kuendelea kuvinjari kwenye outer space ya Dunia/Universe.
Nimalizie kwa kusema kuwa hizo ni Conspiracy na Uongo mkubwa wa wana sayansi wa Dunia hii.

Phobos-mosaic.jpg
Mi nadhani inatakiwa utumie akili yako kuwaza pia sio tu kukariri hizi theory. We unaushahidi wa uwepo wa hiyo gravity? Unianmbie kwa maneno yako sik kukariri ya Newton, kwakuwa umeisoma na ukailewa
 
Mi nadhani inatakiwa utumie akili yako kuwaza pia sio tu kukariri hizi theory. We unaushahidi wa uwepo wa hiyo gravity? Unianmbie kwa maneno yako sik kukariri ya Newton, kwakuwa umeisoma na ukailewa
You have a point. Though siwezi kubuni theory mpya overnight nikakuwekea hapa. whether ukubali or ukatae, there's no way unaweza kumwepuka Newton kwani katika issue zinazohusu sayansi lazima ukutane na Newton na ndo gwiji wa hayo mambo. Mhh...mkuu unabisha kuhusu uwepo wa gravity? huko sitii neno.It was just my opinion bro, vipi ndugu...mchango wako uko wapi ili nami nijifunze kutoka kwako?
Regards,
pro
f
 
Last edited:
Sasa kwa nini kitu kirahisi kufuatilia kama hicho kinaitwa tena ni conspiracy??!...yaani ni kiasi tu cha watu kwenda hapo north pole na kuthibitisha kama kweli hilo shimo lipo au laa basi!!....shimo lipo hapahapa duniani still inakuwa ni conspiracy theory kana kwamba ni issue ambayo ipo mbali huko sayari nyingine??!
 
Last edited:
hii idea siyo ya jana wala leo.

ipo siku nyingi saana kwa jamii hasa za Jews, budha n.k. ndiyo maana ukiangalia ile movie ya underworld idea yake inaendana na hii.

Kuna scientist anaitwa Edmond alishaitambulisha miaka ya 1600s.

lakini hakuna evidence yoyote iliyoweza kuthibitisha hili zaidi ya ufananisho wa mambo yanayohusiana.
 
Back
Top Bottom