Je kuna tukio lilishawahi kukupa depression

Marmeid

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2024
Posts
549
Reaction score
1,253
Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy .

Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto kwenye heka 150, zilipona heka 40 ambazo ndo zilikua kwenye matazamio ya uzalishaji , na ndo ilikua kama kazi yangu ya kwanza kukabidhiwa mradi niwe kama incharge, baada ya hapo nlipitia msoto mkubwa sana cjawahi experience mpaka nilihisi kupata depression
ilifika kipindi nakaa hata siku mbili sili chakula pia siongei nnacho waza kichwani nna wezaje kurudisha fidia ya pesa iliyo tumika kuanzisha huo mradi, lakini mungu mkubwa yaliisha.

JE ni kitugani kilikuletea msongo wa mawazo kupita kiasi ?

Depression is REAL
 
Mzee naandika muda huu hapa nina depression sio ya kitoto

Nimekosa pesa january hii nikaingia mikopo ya mtandaoni nikakopa nikalipa nikakopa tena mpk ikafika 560,000/= mzee jamaa kumbe ile kuwapa access ya kucheki call logs wamechukua namba zote za simu wakaanza kunizushia na kunipakazia tuhuma za kufedhehesha.
Hiyo jana ndio wamefanya hivyo bila shaka asubuhi hii wanaendeleza kazi.
 
Niliwahi kutuma mzigo wa dagaa kutoka mwanza kwenda dod0ma kwa mteja mmoja.. zilikuwa gunia tano za dagaa ..
Kipindi ule mzigo ukiwa njiani, yule jamaa akanaipigia simu kuwa amehairisha kuchukua mzigo wangu na wakati tulikuwa tumekubaliana nae kuwa atachukua mzigo wote. Nilipata stress za ghafla na depresion juu. Nilipambania ule mzigo na mwisho wa siku niliishia kupata hasara
 
Pole sana mkuu kwa unayo pitia
 
Inasikitisha mno
 
Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy .

Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto kwenye heka 150, zilipona heka 40 ambazo ndo zilikua kwenye matazamio ya uzalishaji , na ndo ilikua kama kazi yangu ya kwanza kukabidhiwa mradi niwe kama incharge, baada ya hapo nlipitia msoto mkubwa sana cjawahi experience mpaka nilihisi kupata depression
ilifika kipindi nakaa hata siku mbili sili chakula pia siongei nnacho waza kichwani nna wezaje kurudisha fidia ya pesa iliyo tumika kuanzisha huo mradi, lakini mungu mkubwa yaliisha.

JE ni kitugani kilikuletea msongo wa mawazo kupita kiasi ?

Depression is REAL
Nilipewa milioni 800 kusimamia mradi, hakika sitasahau maisha yangu yoote 🙏
 
Nipo kwenye hiyo hali sasa.
chovya chovya ya mademu imeniponza.
aged 33 hadi sasa na nina watoto 7 ambao nimezaa na wanawake watatu tofauti... maisha yalinipiga nikaamua kujilipua na hatimae nikapata kazi ya mshahara 500k... juzi ilibaki kidogo nitolewe kazini na hii kazi inanifanya niendeshe maisha! Nawaza siku hii kazi ikiisha nitaishije?

Presha ni kubwa sana! natamani kuanzisha biashara lakini pesa haitoshelezi... kila nikisema ni-save nipate mtaji angalau wa biashara napata matatizo natumia hela ya savings!
 
Suh pole saa mkuu
Watoto 7
Hapo lazima kichwa kiwake moto
 
Back
Top Bottom