Je, kuna nchi inazidi China kwa miundombinu ya kuvutia?

Je, kuna nchi inazidi China kwa miundombinu ya kuvutia?

Traxtion

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2021
Posts
7,868
Reaction score
16,157
Hivi duniani kuna nchi ina mind-blowing infrastructure kushinda China

  • Barabara na highways
  • Reli (railway systems)
  • Viwanja vya ndege (airports)
  • BRT system
  • Train stations
  • Bandari (ports & harbours)
  • Nishati (energy infrastructure)
  • Maji na usafi (water & sanitation)
  • Mawasiliano (telecommunications)
  • Usafiri wa umma (public transport)
  • Makazi na mipango miji (urban planning & housing)
  • Miundombinu ya viwanda (industrial infrastructure)

Naangalia video za Chinese infrastructure, kila nikiangalia sioni nchi inayokaribia kwa kweli

Maendeleo yanahusisha vitu vingi
Ila ukiniuliza mimi upande wa miundombinu, kiujumla sijaona nchi iliyoendelea kuliko China

These people are awesome. Wanajua kujenga nchi
photo-1574504500022-de9a6309a501 (1).jpeg
photo-1523281855495-b46cf55b1e7e.jpeg
photo-1620964780032-81ef649db4d9.jpeg
photo-1567991964677-38d6cb81637a.jpeg
istockphoto-596065956-612x612.jpg
istockphoto-952608244-612x612.jpg
gettyimages-2189901653-612x612.jpg
gettyimages-1360347891-612x612.jpg
Optics_Valley_Suspended_Monorail_(7).jpg
051_xxjpbee007417_20230511_pepfn0a001.webp
 
Nasikia inabidi ujifunze Kichina mwaka mzima kwanza
Ukielewe halafu ndio uanze kusoma mwaka unaofuata. Ukiwa serious unasoma na kufaulu vizuri tu
yaap potelea mbali, ila sijui kama kuna kazi za kufanya kuongeza kipato. wajuzi tafadhari
 
"China's progress in advanced infrastructure is more than 100 times faster than the US."
– Elon Musk (Feb 2018 on twitter)​
Hii nakubaliana nayo 100%
Infrastructure in China is so amazing, na bado inadevelop very fast
No country is even close
 
Shida raia wake hawapo huru kifikra. Muda wote wanafuatiliwa na mamlaka wanachozungumza. Ukiisema vibaya serikali au kiongozi Mkuu ujue utakamatwa na kufungwa. Ndiyo maana wale wanaotaka uhuru wa fikra wanakimbilia Ulaya, USA au Canada
Yeah, weakness ya China nasikia ndio hii
Lakini at least wao even under dictatorship nchi yao inakua kwa kasi kuliko nchi za Magharibi especially kwenye technology na infrastructure

Tofauti na huku kwetu Tz, nchi ipo under dictatorship na maendeleo ni sifuri

Lakini kila nchi ina weakness yake. While Marekani ni salama kwa watu wanaokosoa serikali lakini public safety ipo chini. Kupigana risasi, school shootings, kidnapping, wizi nk wakati China crime rate ni very low.

Watu wanatembea nje usiku, na risk ya kukutana na ujambazi ni ndogo sana
 
Hii nakubaliana nayo 100%
Infrastructure in China is so amazing, na bado inadevelop very fast
China wana amazing infrastructures na mega projects ambazo zitakuacha mdomo wazi ukitembelea

China imejijengea sifa kubwa duniani kwa ujenzi wa miundombinu mikubwa (mega projects) kwa kasi, ukubwa, na uratibu wa hali ya juu
 
Nasikia inabidi ujifunze Kichina mwaka mzima kwanza
Ukielewe halafu ndio uanze kusoma mwaka unaofuata. Ukiwa serious unasoma na kufaulu vizuri tu
Sio lazima kuna course zinafundishwa kwa Kiingereza mfano hasa za STEM

Ila vyuo huwa vinatoa short course za kujifunza Kichina kwa wageni ili waweze kuwasiliana na jamii na kupata kazi za part time

Ila kama course inafundishwa kwa lugha ya Kichina hapo lazima ujifunze Kichina
 
Yeah, weakness ya China nasikia ndio hii
Lakini at least wao even under dictatorship nchi yao inakua kwa kasi kuliko nchi za Magharibi especially kwenye technology na infrastructure

Tofauti na huku kwetu Tz, nchi ipo under dictatorship na maendeleo ni sifuri

Lakini kila nchi ina weakness yake. While Marekani ni salama kwa watu wanaokosoa serikali lakini public safety ipo chini. Kupigana risasi, school shootings, kidnapping, wizi nk wakati China crime rate ni very low.

Watu wanatembea nje usiku, na risk ya kukutana na ujambazi ni ndogo sana
Kama serikali inawatengenezea mazingira mazuri kwanini uiseme vibaya? Nafikiri wameweka utaratibu wa kukosoana bila kuvuka mipaka na ndo ustaarabu
 
Ndoto ya Wachina wengi ni kwenda kuishi US au Europe
Wala sio ndoto yao ni kwamba Mchina ana jicho la kuona fursa, hata ukienda Songea ndani ndani wapo huko wanachimba madini nilikutana nao wengi Itumbi Chunya migodini

Nyie endeleeni kuzubaa Mchina popote pale kwenye fursa ataenda wewe unalialia eti mbali nitaishije.

Wengine wapo Antarctica wakifanya researches za upatikanaji wa nishati

By the way hapa tunapoongea wengine wako misitu ya Congo kuchimba madini muhimu ya kutengenezea vifaa vya kielektroniki

Wako Canada, Marekani na pande zote za dunia kwa sababu wameziona fursa, kwa nini taifa lao lisijengeke
 
Kwa nini unasema China iko under dictatorship?
Sio maneno yangu, nimekuwa nikiona watu wengi wakilalamika hivyo mitandaoni especially Chinese diaspora

Ukiuliza ChatGPT response ni hii. Mkmi binafsi sifuatilii politics za China kihivyo

1. Chama kimoja tu kuongoza muda wote
China inaendeshwa na Communist Party of China (CPC) pekee
Hakuna vyama vingine vinavyoweza kushinda uchaguzi wa kitaifa
Hii inamaanisha raia hawana chaguo la kweli kuamua viongozi wa taifa
2. Uhuru wa kisiasa ni mdogo
Raia hawawezi kuanzisha au kuendesha kampeni za kisiasa zinazopingana na CPC
Protests zinazopingana na serikali huzuiliwa au kufungwa kwa wakosoaji
3. Udhibiti wa habari na mtandao
Internet, mitandao ya kijamii, na magazeti yote yupo chini ya uangalizi mkali
Websites, apps, na posts zinazopingana na serikali hukamatwa au kufutwa
Hii inakwamisha uhuru wa kujieleza
4. Hukumu na sheria zinadhibitiwa kisiasa
Mahakama nyingi zinategemea serikali au vyombo vya chama
Raia wana migogoro ya kisiasa au wakosoaji wanaweza kupata adhabu kali
5. Kukosoa serikali kunaweza kuwa hatari
Watu wanaojaribu kuonesha maoni tofauti ya kisiasa wanaweza kuadhibiwa, kufungwa au kufuatiliwa
Mfumo huu unazidisha notion ya authoritarian / dictatorship
 
1. Chama kimoja tu kuongoza muda wote
China inaendeshwa na Communist Party of China (CPC) pekee
Hakuna vyama vingine vinavyoweza kushinda uchaguzi wa kitaifa
Hii inamaanisha raia hawana chaguo la kweli kuamua viongozi wa taifa
Kuwa na vyama vingi vya siasa kumelisaidiaje bara la Afrika kiuchumi na kiteknolojia?
 
Back
Top Bottom