Je, kuna kudanganya umma kwa manufaa ya umma?

Je, kuna kudanganya umma kwa manufaa ya umma?

Halafu kwanini ni corona tu?
Mbona magonjwa mengine tunafata kila kitu wanachosema wataalam wa afya?
Kwanini corona ?
Shida kubwa ni kwamba tulipewa hela toka taasisi tatu tofauti, zaidi ya bilioni 100, wakapeleka kwenye uchaguzi. Sasa hakuna hela ya kupambana na corona. Ili kuificha aibu ya kutokuwa na hela, wanawaambia watu watumie nyungu.

Inashindikana hata kupata hela ya kununulia barakoa ili wapewe wasio na uwezo wa kununua.
 
Shida ni kwamba rais wako amejipa sifa ya umungu hivyo hataki kuonekana amekosea, yaani yeye kujifunza kutokana na kosa alilofanya na kubadirika hawezi ,analazimisha tu watu muendelee kuamini yupo sahihi labda mpaka na yeye afe ninyi mfe.
Aise! Nimemsikiliza anatoa hotuba kanisani ,,anafurahia na anampongeza mtu ambaye hajavaa barakoa"

Nimeshangaa sana.
 
Sasa ameweka vita na barakoa. Barakoa ni kupunguza tu kasi ya kuweka majimaji ya mate kwenye hewa kila mtu akivaa mate mate yatapungua sasa yeye anaongelea kama vile barakoa za nje eti zimewekwa vitu fulani na ni vita ya uchumi ! Ushahidi uko wapi?. Anasema walioambukiza corona ni wale waliochanja! Ushahidi uko wapi? Yaani Raisi sasa naona kama anachanganyikiwa na kupata shida sana. Huwezi kuamrisha kila kitu hadi kanisa anataka kuamrisha. Sayansi iko wazi

Halafu anasema itaisha ni kweli lakini baada ya watu kuumwa. Tujue aalimia 85% wanaumwa na kupona na wanapata kinga ya muda miezi 3 au siku 90. Vilevile Tanzania kuna watu milioni 13 tu kati ya milioni 61 ambao wamezidi miaka 35 hivyo wengi wataumwa bila hata kujua kama ni corona. Hivyo tunavyoona watu wanakufa tujue wameumwa watu wengi sana sana. Hivyo itapungua lakini ni kwasababu ya watu kuumwa na kupata kinga hizi za muda sio kwasababu ya kusalia au nini. Lakini baada ya miezi sita ikibasilika ikaja nyingine mbaya kama hii ya South African itachukua tena watu.
 
Back
Top Bottom